Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,164
- 866,406
Kuna ufafanuzi wa kitaalam wa Kifyatu heshima kwake lakini Tukija kwenye tafsiri ya kawaida ya 'kiswahili' kwa muktadha wa mtoa mada mlango wa nane ni roho ya kufisha na kuharibuMshana Jr, Arestkimario na Rakims tafadhali tunawaomba hapa!
Kama mtu akioa mwanamke mlango wa nane vyote alivyowahi kuwa navyo hupukutika na kuisha kabisa na cha mwisho kuondoka ni yeye mwenyewe
Kama mtu akilala na mwanamke mlango wa nane (inaitwa nuksi) kwa wale zoazoa basi siku ya pili itakuwa mikosi kwake mwanzo mwisho
Kitu cha kushangaza sana kuhusu huo mlango wa nane mara nyingi hauhusishwi na wanaume bali kwa asilimia kubwa ni wanawake