Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,773
- 3,300
Tangu waziri wa Mambo ya ndani atangaze kuwa kutakuwa na ukaguzi, polisi wanazunguka mahotelini usiku wa manane na kugonga milango kwa nguvu kama umevamiwa na majambazi.
Kwa wageni hii ni aibu, fikiria mtu umechoka, saa 8 huu usiku unagongewa mlango kwa nguvu kama vile ni mhalifu.
Nchi hii viongozi wenye akili wako wapi?
Kwa wageni hii ni aibu, fikiria mtu umechoka, saa 8 huu usiku unagongewa mlango kwa nguvu kama vile ni mhalifu.
Nchi hii viongozi wenye akili wako wapi?