Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,893
- 16,074
Aaaaaaaaaaaaaaagh mkuu mbona umepose! Tiririka umalizie uhondo huu kwani nchi hii ina makabila zaidi ya mia. Karibu sana mkuu usimuonee haya mtu.Ni watu ambao wanawake zao hawaolewi nje ya ukoo wao kama vile
Kwa wachagga ni wamachame
wapare ni washana
Tanga ni wabondei
Kama wewe hutoki katika makabila hayo tajwa basi usije ukaoa kwenye hao niliyowataja. Hutapata amani na mafanikio maishani mwako. I stand to be corrected.
Aaaaaaaaaaaaaaagh mkuu mbona umepose! Tiririka umalizie uhondo huu kwani nchi hii ina makabila zaidi ya mia. Karibu sana mkuu usimuonee haya mtu.
Nitajuaje mlango wangu?? Kifyatu
Nimependa hapo mkuu (reded), hawa wanajua mapenzi mkuu.Ila there is a gunuine problem na wamachame. Kule Machame kwenyewe asilimia 70 ya wanawake ni wajane yaani waume zao wamefariki. Hii haiko sehemu nyingine yoyote Tanzania.
Mmachame akiolewa hata na mchagga ambaye sio mmachame ni disaster kubwa kwenye ndoa achilia mbali akiolewa na watu ambao sio wachagga. Chakushangaza wamachame ni wazuri kupitiliza na ni hard working ile mbaya. TATIZO NI NINI.
Wanawake wa kipare huwa hawajunji ndoa kirahisi, hata ukimlazimisha kumwacha atalazimisha ndoa idumu ispokua kwa washana tu.
Hebu tujiulize labda kuna scientific reason behind hawa watu.
Ukioa mnyamwezi kama wewe sio mnyamwezi jiandae kua kama ndondocha. utaosha vyombo, utakogesha watoto bila kusahau deki utapiga na mshahara wote utamkabidhi memsahip au kwa hawa dotcom utakabidhi ATM card.
Mkuu, makabila mengine vipi?Mimi ninavyofahamu kuhusu Mlango wa Nane ni ukoo ambao una mikosi, wachawi/washirikina, wenye magonjwa ya kurithi kama Kifafa, Kichaa nk.
Hii ipo zaidi kwa watu wa jamii ya Tanga, ukiambiwa ule ni Mlango wa Nane inamaanisha mambo hayo niliyoyataja hapo juu. Mara nyingi kijana akitaka kuoa au kuolewa wazee huutazama huo ukoo kama sio Mlango wa Nane. Mara nyingi watu wa Mlango wa Nane huoa na kuolewa na Mlango wa Nane wenzao ingawa siku hizi kwenye jamii hii kasumba imeondoka ama kupungua kutokana na mihemko ya Vijana
Mlango wa nane ni kabila au ukoo au familia yenye nuksi ambao wanawake wao hawaolewi na watu wengine kuogopa kuleta nuksi hizo kwenye familia zao.
Tuje ili tule makalalu hahahahaaa umetukosaaKweli n'jomba, kwetu panya analiwa hadi sasa hivi navyocomment hapa...Analiwa zaidi bara hasa Masasi na Newala...na sababu kuu ni uhaba wa mboga, hamna mito na wako mbali na bahari...
Ukifika Mtwara mjini, Mnazi bay, Msanga Mkuu, Kilambo usijaribu hata kuulizia panya, Huku ni pwani, utapata samaki wa kila aina, huku ulizia pweza, viyokolo, chaza, papa nk
Bout unyagoni....no comment...ila Mtwara raha, apendaye na aje.
Kim nana nipo hapa Busati njoo tusalimiane
Tuje ili tule makalalu hahahahaaa umetukosaa
Ukipata jibu nishtueKifyatu nitajie me mlango wa ngap
Tarehe 10/10