Dhana ya kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa

Dhana ya kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
351
Reaction score
475
Wajumbe mko pouwaaa?Nimeona tushare pamoja juu ya hii dhana,ambapo inasemekana kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa ndiyo maana anakuwa mtulivu na hana bugudha na wewe.Hivi watafiti mnasemaje Yana ukweli haya au kutiana presha tu
 
Wewe kama huduma anakupa, upendo na heshima unapata, unataka kuchokonoa nini!?
Au unatafuta sababu ya kumuacha
Curiosity killed the cat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom