Dhana ya kubebana hostel

Dhana ya kubebana hostel

Haya mambo yakupakatwa haya makonda ayaangalie sana maana hata zile tabia hatarish zinatoka huku huku in a normal sense futi 2 mnalalaje tena wanaume?
 
Jamaan kwa anaeuza kitanda nicheki 0784994014
Mabibo hostel
 
maswali mengine bhana, uko darasa la ngapi wewe unashindwa hesabu rahisi kama 1+1? ushaona wapi kitanda kina upana wa futi 6 na urefu wa futi 3??
Sikuuliza Kwa namna ulivyoelewa Wewe
Bali ni kuonyesha msisitizo kuwa bado ni kidogo sana
Kulingana na maelezo ya mchangiaji
 
Back
Top Bottom