Dhana ya kubebana hostel

Dhana ya kubebana hostel

kokaumba

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
402
Reaction score
188
Habari wakuu!
Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia nataka unibebe tuchangie hostel, ina maana itakua tunalala kitanda kimoja au ananunua godoro lake, anashusha chini analala? Au ni Vipi, kwa sababu sidhani vitanda vya hostel vina ukubwa tofauti Na vitanda vya mabweni ya secondary
Na ukitegemea kuna mazingira mengine yana joto sana mf dar.
Hebu nipeni ujuzi juu ya suala hilo
 
Mnalalaa kitanda kimoja...vitanda ni 3 kwa sita ni vikubwa kuliko vya secondary...kawaida mbona hata mabibo tunabebana
 
Kwa Mabibo au Campus kama wewe ni mnene au hutaki shida suala la kumbeba mwenzako litakunyima raha.
Wengi wanakubali ila baadae wanaumia moyoni.
Vitanda ni futi2 kwa futi 6 sasa fikiria kama utaweza ndio ukubali.
 
Sijawahi kubeba wala kubebwa na huwa sipendi kabisa

Tena wanafunzi wa udsm hamna sababu ya kubebana maana nyumba za kupanga zimejaa msewe huko ,changanyikeni,survey etc
 
Vipi hostel za mbagala
 
Sijawahi kubeba wala kubebwa na huwa sipendi kabisa

Tena wanafunzi wa udsm hamna sababu ya kubebana maana nyumba za kupanga zimejaa msewe huko ,changanyikeni,survey etc
Thanks sana
 
Ila sa hizi nadhani hostel zitatosha si nasikia wameingia mkataba na landmark
 
Habari wakuu!
Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia nataka unibebe tuchangie hostel, ina maana itakua tunalala kitanda kimoja au ananunua godoro lake, anashusha chini analala? Au ni Vipi, kwa sababu sidhani vitanda vya hostel vina ukubwa tofauti Na vitanda vya mabweni ya secondary
Na ukitegemea kuna mazingira mengine yana joto sana mf dar.
Hebu nipeni ujuzi juu ya suala hilo
Aisee msaidie huyo na ww utabebwa mwakani, usijali size ya kitanda... ukifika mwaka wa pili utajua kwnn watu wanabebwa
 
Ndo mwanzo wa mazingira hatarishi ya kupopoana!

Hatare sana, hujui background ya Mtu mnaanza ku share kitanda! Tena ukute Vijana wengine wamezoea kula Kuku wa Kisasa na Mayai ya kisasa.
 
Usikubali kumbeba mtu kama hujui inakuwaje utajuta,kama una pesa huwezi kuwaza kubebwa utapanga maana vyumba vya kupanga ni vingi.
Umechaguliwa chuo gani?
 
Sijawahi kubeba wala kubebwa na huwa sipendi kabisa

Tena wanafunzi wa udsm hamna sababu ya kubebana maana nyumba za kupanga zimejaa msewe huko ,changanyikeni,survey etc
Kuna rafiki yangu mmoja alijidai kumbeba jamaa mmoja kumbe yule jamaa si mfilaji namsikia rafiki yangu anasema sasa huo mkono unaupeleka wapi mkuu? Siku ya pili alimtoa nduki jamaa.
 
Back
Top Bottom