Dhana ya kubebana hostel

Dhana ya kubebana hostel

Kuna rafiki yangu mmoja alijidai kumbeba jamaa mmoja kumbe yule jamaa si mfilaji namsikia rafiki yangu anasema sasa huo mkono unaupeleka wapi mkuu? Siku ya pili alimtoa nduki jamaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
IVI JAMANI TULOCHAGULIWA 2nd round UDSM TUTAPATA HOSTEL MBONA MAJINA YETU AWAJABANDIKA
 
Habari wakuu!
Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia nataka unibebe tuchangie hostel, ina maana itakua tunalala kitanda kimoja au ananunua godoro lake, anashusha chini analala? Au ni Vipi, kwa sababu sidhani vitanda vya hostel vina ukubwa tofauti Na vitanda vya mabweni ya secondary
Na ukitegemea kuna mazingira mengine yana joto sana mf dar.
Hebu nipeni ujuzi juu ya suala hilo
We utakuwe first year. Anyway kubebabana mnalala kitanda kimoja na kwenye godoro moja. Kwa ufupi kama double Decker mlalana Watu 4
 
Ila sa hizi nadhani hostel zitatosha si nasikia wameingia mkataba na landmark
Land mark wanataka 120000 per month. Hiyo ni pesa kubwa kwa wanafunzi hasa wa kipato cha chini. Akati nasoma mabibo hostel nilikuwa ni 15000 per month sawa na 500 per day
 
Aisee msaidie huyo na ww utabebwa mwakani, usijali size ya kitanda... ukifika mwaka wa pili utajua kwnn watu wanabebwa
Akikataa mwakani ataisoma namba. Nakumbuka vyumba walikuwa wanapewa first year tu. Baada ya hapo akili kichwani
 
Nlikuwepo mwezi wa 8 pale nkasikia wanataka kuingia mkataba kwa 4000 kwa siku maybe walishindwana au zilikuwa ronja tu za kurutu
Yaani 4000 ni kubwa sana kwa maisha ya kishule shule. Kwadababu serikali inatenga around 8500 kwa kila mwanamfumzi mwenye mkopo kama gharama ya kujikimu. Sasa ukianza mchanganuo nusu ya pesa atalipa hostel alafu 4500 ndo apange mipango mingine. Kama pen,chakula, stationary, mavadhi kiasi ambacho bado ni kidogo. Kama kweli ni 4000 ni Bora mtu upange Chumba cha. 50000 au ata 45000 ambayo ukijumlisha gharama ya umeme na maji tufanye 25000 inaweza fika 70000
 
daah!mambo ya kubebana tenah kama advance bhana mnapiga mtungo!!pande zile ilikua sheeedah
 
Kuna rafiki yangu mmoja alijidai kumbeba jamaa mmoja kumbe yule jamaa si mfilaji namsikia rafiki yangu anasema sasa huo mkono unaupeleka wapi mkuu? Siku ya pili alimtoa nduki jamaa.
😀😀😀
 
Land mark wanataka 120000 per month. Hiyo ni pesa kubwa kwa wanafunzi hasa wa kipato cha chini. Akati nasoma mabibo hostel nilikuwa ni 15000 per month sawa na 500 per day
Ni kweli ni gharama kubwa sana...
 
Yaani 4000 ni kubwa sana kwa maisha ya kishule shule. Kwadababu serikali inatenga around 8500 kwa kila mwanamfumzi mwenye mkopo kama gharama ya kujikimu. Sasa ukianza mchanganuo nusu ya pesa atalipa hostel alafu 4500 ndo apange mipango mingine. Kama pen,chakula, stationary, mavadhi kiasi ambacho bado ni kidogo. Kama kweli ni 4000 ni Bora mtu upange Chumba cha. 50000 au ata 45000 ambayo ukijumlisha gharama ya umeme na maji tufanye 25000 inaweza fika 70000
Ni kweli kabisa bora kupanga tu maana kwa mwezi ni 120000 sasa hapo si unapanga kabisa na kubaki na hela ya kula hata mwezi mzima
 
Back
Top Bottom