Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Status
Not open for further replies.
Hakuna shaka wengi waliosoma, wafanya kazi, na watawala wa ngazi za juu na wanaotoa maamuzi muhimu serikalini na makampuni ya umma ni wakiristo,
Hadi sasa ni miaka50 bado Tanzania ni nchi ya kimasikini duniani, wakati nchi kama Malaisia ambayo tumepata nao uhuru kwa wakati mmoja wao wametuacha mbali.

Inanifanya niamini kuwa Waislam ni watu wasio na tamaa, walioridhika na niwaaminifu hasa kuhusiana na mambo ya Fedha.

Tumeshuhudia mafisadi wengi, wenye tamaa na elimu ya kufoji ni Watawala-Kristo (waislamu wachache), uchafu kama huu haupo sana sehemu kama Zanzibar na ktk jamii za waislamu

JE!!!
1. Iko haja ya kufumua mfumo wa tawala-kristo na kuleta utawala mseto kwa ajili ya maslai na maendleo ya nchi?

2. Tuwaache waendelee watajirekebisha ?

3. Unafikiri hakuna uhusiano kati ya utawala-kristo na ufisadi, umaskini na uchafu mwingineuliojaa nchini ?

Tafadhali tujadili kwa kujibu maswala matatu hapo juu, kwa ustaarabu bila matusi wala jazba
 
Hao jamaa wameiuwa nchi kwa wizi. Hawana imani na Tanzania hata kidogo.
 
Binafsi huwa sipendi majadiliano yanayohusisha imani za kidini na maendeleo ya nchi....kwanza mtoa mada tupe maana ya mfumo-kristo,ndiyo nini? baada ya hapo,utuekeze kwa nchi yetu hii viongozi wale wa juu wanatoka dini gani? halafu rudi nyuma na ukumbuke wkt wa Mwinyi,akiwahi kutoa kauli gani dhini ya watu waliokuwa na mawazo km yako? na mwisho,mbona umekimbilia kutoa mf wa Malaysia uka skip S.Africa,S.Korea,Japan etc
Kwa kifupi mtazamo wangu huu mjadala hauna tija (samahani km utakereka na hili)
 
Mbona unachukia sana wakristo au ndio mnavyo fundishwa. Angalia nchi za kiislam je ni zote tajiri kama unavyo taka tuamini? Mfano mzuri ni solia ,na afghanistani hao wanaubaguzi sana wa dini lakini ni maskini wa kutupwa.
 
Sichukii ukiristo najaribu kutafakari na kuangalia asili ya umasikini wetu pamoja na maliasili zetu zisizotusaidia
Nataka kujua kama kuna correlation kati ya dini na ufisadi, kwani naamini mazingira anayo kulia yanamchango mkubwa kuleta maamuzi.

Tujadili tz sio somalia wala Afghan ambako hakuna rasili mali kama TZ
 
Hakuna shaka wengi waliosoma, wafanya kazi, na watawala wa ngazi za juu na wanaotoa maamuzi muhimu serikalini na makampuni ya umma ni wakiristo,
Hadi sasa ni miaka50 bado Tanzania ni nchi ya kimasikini duniani, wakati nchi kama Malaisia ambayo tumepata nao uhuru kwa wakati mmoja wao wametuacha mbali.

Inanifanya niamini kuwa Waislam ni watu wasio na tamaa, walioridhika na niwaaminifu hasa kuhusiana na mambo ya Fedha.

Tumeshuhudia mafisadi wengi, wenye tamaa na elimu ya kufoji ni Watawala-Kristo (waislamu wachache), uchafu kama huu haupo sana sehemu kama Zanzibar na ktk jamii za waislamu

JE!!!
1. Iko haja ya kufumua mfumo wa tawala-kristo na kuleta utawala mseto kwa ajili ya maslai na maendleo ya nchi?

2. Tuwaache waendelee watajirekebisha ?

3. Unafikiri hakuna uhusiano kati ya utawala-kristo na ufisadi, umaskini na uchafu mwingineuliojaa nchini ?

Tafadhali tujadili kwa kujibu maswala matatu hapo juu, kwa ustaarabu bila matusi wala jazba

Kwanza labda ningekuomba ueleze maana ya mfumo kristo ili tukusaidie vizuri. Lakini Tanzania haina dini wala serikali yake haiendeshwi kwa mfumo wa dini. Kama Tanzania ingeendeshwa kwa mfumo kristo bila shaka leo tungekuwa mbali sana kimaendeleo. Mfn, wakati wakristo nchi wanahaha kupeleka watoto shule, waislam wanawatoa shule watoto ili wakaolewe, na kuhimiza zaidi elimu ya kuran na kuignore elimu dunia. Ndiyo maana leo kuna shule, vyuo vikuu, hospitali nk zinazomilikiwa na wakristo na kutoa huduma bila ubagudhi wowote huku wakibeba mzigo wa waislam ambao hawana mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi. Hadi leo MUM ni chuo kikuu peke yake cha kiislam, ambacho pia ni cha kibagudhi. Laiti Tanzania ingeongozwa kwa mfumo kristo tungekuwa mbali sn
 
hali ya umaskini tulio nayo hapa nchini ni mtunda ya nyerere kukumbatia udini...huo ndo ukweli...we jiulize kws nini kanisa katoliki linamiliki maeneo makubwa karibu kila wilaya hapa nchini....nani aliwapa hay maeneo??.....nyerere ndo chabzo cha matatizo yetu...alishindwa kuwahibiti watendaji wake na leo hii wanatuibia.....
 
Angalia nitakureport wewe,,,kwani raisi wako ni mlokole kama mimi?acha mambo ya udini,kama unataka nyadhifa za juu na wewe uingie ktk siasa ama kasome,,sasa we darasa la 7 tukupe ugavana wa BOT?
 
Hivi sheria za Jamii Forum zinasemaje mtu akileta mjadala/chuki za kidini?
 
Mtoa mada ebu fanya ht kautafiti kadogo manake nijuavyo mm nchi hii imekabwa na waislam kwa ngaz za juu,mf rais na makam,upande wa majeshi,angalia no ya mawaziri waislam,wakuu wa mikoa na wilaya.sema nyie waislam mnapenda kujiona mnajua sn na kl mfikiriacho ni sahihi.Tena am sure hizo ngaz za juu zote wangekuwa wakristo tungekuwa mbali sn,jaman tuache visingizio na sbb ambazo hazina kichwa wala miguu.
 
Udini+ubaguzi=mgawanyiko,leta madazenye kuamsha maendeleo wewe na sio propaganda ya kutugawa watanzania,wakuja wewe..
 
Mbona unachukia sana wakristo au ndio mnavyo fundishwa. Angalia nchi za kiislam je ni zote tajiri kama unavyo taka tuamini? Mfano mzuri ni solia ,na afghanistani hao wanaubaguzi sana wa dini lakini ni maskini wa kutupwa.

baba enu marekani anawagombanisha ndio maana hawaendelei
 
hali ya umaskini tulio nayo hapa nchini ni mtunda ya nyerere kukumbatia udini...huo ndo ukweli...we jiulize kws nini kanisa katoliki linamiliki maeneo makubwa karibu kila wilaya hapa nchini....nani aliwapa hay maeneo??.....nyerere ndo chabzo cha matatizo yetu...alishindwa kuwahibiti watendaji wake na leo hii wanatuibia.....

Hivi wewe unaakili timamu kweli? wakati nyinyi mnaweka misikiti mitaani kanisa Katoliki linatafuta pori mbali kabisa linaweka kanisa, shule , na hospitali ambako hamna watu kabisa but automatically watu kwakuwa wanauhitaji na huduma kama hizi basi husogea karibu na huduma.

Nikupe mfano:
juzi hapa Arusha kanisa katoliki lilofungua Hospitali yake huko umasaini porini kabisa ambako wewe usingeweza thubutu tia mguu. but believe me baada ya siku chache utaona bara bara inajengwa kwa sababu ya demand kubwa ya huduma za kijamii.Tazama Pugu ilipo kulikuwa ni porini kule lakini angalia sasa hivi nafikiri kutakuwa na msikiti kule.. Ndugu nyie sio wabunifu kabisa, misikiti yeni mnajenga kando ya bara bara na mitaani mmekosa ustaarabu kabisa.
 
hali ya umaskini tulio nayo hapa nchini ni mtunda ya nyerere kukumbatia udini...huo ndo ukweli...we jiulize kws nini kanisa katoliki linamiliki maeneo makubwa karibu kila wilaya hapa nchini....nani aliwapa hay maeneo??.....nyerere ndo chabzo cha matatizo yetu...alishindwa kuwahibiti watendaji wake na leo hii wanatuibia.....
Utakuwa umerukwa akili
 
Mtoa mada ebu fanya ht kautafiti kadogo manake nijuavyo mm nchi hii imekabwa na waislam kwa ngaz za juu,mf rais na makam,upande wa majeshi,angalia no ya mawaziri waislam,wakuu wa mikoa na wilaya.sema nyie waislam mnapenda kujiona mnajua sn na kl mfikiriacho ni sahihi.Tena am sure hizo ngaz za juu zote wangekuwa wakristo tungekuwa mbali sn,jaman tuache visingizio na sbb ambazo hazina kichwa wala miguu.

tungekuwa mbali kweli wakati wa baba haambilik.i. Nyerere Tulipanga mawe ili tupate sukari guru na kipande cha sabuni hii ndani ya miaka 20 na ya utawala wake
 
Siku zote huwa naamini mtu au kiongozi aliyefilisika kimawazo, kisiasa au kiakili, hupenda kutazama mambo kwa miwani ya dini au kabila au eneo na kulazimisha vitu anavyoviona kupitia HALUCINATION kuwa wengine nao wavione.

Fikiria yafuatayo;

1. Je nchi hizo zote zimeendelea kutokana na sababu za dini zao? China, Japan, Malaysia, Brazil, Singapore, South Africa, Egypt, Saudi Arabia?
2. Kikwazo cha maendeleo ya nchi hizi ni dini? Mauritania, Mali, Mozambique, Bangladesh,Senegal, Uganda, Tanzania, Congo DR?

Adui wa maendeleo yako mwanzisha mada ni yule unayemuona ktk kioo. period!
 
hapa ndipo napokuwa na shaka na uwezo wa kufikiri wa hawa watu,hivii huwa najiuliza okey mimi ni mkristo je hyo serikali wanayodai inatupendelea wakristo imenifanyia nn kuvifeva mimi,nimefaidika nayo vp ili nijiridhishe kweli mfumo kristo umenisaidia,nagungua kuwa hakuna kitu,kuhusu wakatoliki kuchukua maeneo,kwaniii,waislamu walikatazwa bull,hamkuwa na upeo wa kufikiria mbali ndo maana hamkuwa na mawazo kama ya waroma,acheni lawama jamani,jengeni mashule,mavyuo muone ka mtakuwa na mawazo haya ya ajabu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom