Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Status
Not open for further replies.
Binafsi huwa sipendi majadiliano yanayohusisha imani za kidini na maendeleo ya nchi....kwanza mtoa mada tupe maana ya mfumo-kristo,ndiyo nini? baada ya hapo,utuekeze kwa nchi yetu hii viongozi wale wa juu wanatoka dini gani? halafu rudi nyuma na ukumbuke wkt wa Mwinyi,akiwahi kutoa kauli gani dhini ya watu waliokuwa na mawazo km yako? na mwisho,mbona umekimbilia kutoa mf wa Malaysia uka skip S.Africa,S.Korea,Japan etcKwa kifupi mtazamo wangu huu mjadala hauna tija (samahani km utakereka na hili)
Afgnistani,Somali,Niger, Libya, Syria, zote hizi mkuu zinaongoza na wakristo
 
Zanzibar lazima ni nchi ya kwanza kwa utajiri? 100% viongozi ni waislam
 
Ivi wakristo tumewakosea nini ndugu zetu waislam,mbona mnatuandama ivyo, mara kafiri, mara mfumo kristo,loo, basi nyanja zote za utawala shikilieni tu, kwa maana mlizoshikilia bado mnaona chache. Awali ya yote mkamateni sana elimu, usimwache aende zake.
 
Binafsi huwa sipendi majadiliano yanayohusisha imani za kidini na maendeleo ya nchi....kwanza mtoa mada tupe maana ya mfumo-kristo,ndiyo nini? baada ya hapo,utuekeze kwa nchi yetu hii viongozi wale wa juu wanatoka dini gani? halafu rudi nyuma na ukumbuke wkt wa Mwinyi,akiwahi kutoa kauli gani dhini ya watu waliokuwa na mawazo km yako? na mwisho,mbona umekimbilia kutoa mf wa Malaysia uka skip S.Africa,S.Korea,Japan etc
Kwa kifupi mtazamo wangu huu mjadala hauna tija (samahani km utakereka na hili)

ur totaly ryt
 
Sichukii ukiristo najaribu kutafakari na kuangalia asili ya umasikini wetu pamoja na maliasili zetu zisizotusaidia
Nataka kujua kama kuna correlation kati ya dini na ufisadi, kwani naamini mazingira anayo kulia yanamchango mkubwa kuleta maamuzi.

Tujadili tz sio somalia wala Afghan ambako hakuna rasili mali kama TZ
mkuu hapo haujajaribu kutafakari ila ulihukumu kabisa
 
hali ya umaskini tulio nayo hapa nchini ni mtunda ya nyerere kukumbatia udini...huo ndo ukweli...we jiulize kws nini kanisa katoliki linamiliki maeneo makubwa karibu kila wilaya hapa nchini....nani aliwapa hay maeneo??.....nyerere ndo chabzo cha matatizo yetu...alishindwa kuwahibiti watendaji wake na leo hii wanatuibia.....
Nyerere aliongoza nchi kwa kufuata sera za kina Karl Marx na Vladimir Lenin(Socialists/Communists) hao watu walikua hawaamini kama kuna Mungu. Fafanua zaidi ni jinsi gani JKN alikumbatia Ukatoliki.
 
Mkuu Bull Somalia,Pakistan,Afghanistan,Mali nchi zote hizi zinafuata mfumo Kristo ha ha ha ha ha.
 
Last edited by a moderator:
hali ya umaskini tulio nayo hapa nchini ni mtunda ya nyerere kukumbatia udini...huo ndo ukweli...we jiulize kws nini kanisa katoliki linamiliki maeneo makubwa karibu kila wilaya hapa nchini....nani aliwapa hay maeneo??.....nyerere ndo chabzo cha matatizo yetu...alishindwa kuwahibiti watendaji wake na leo hii wanatuibia.....

mbona hujiulizi kwanini kanisa lina shule, vyuo na hospitali nyingi ambazo hutoa huduma nafuu kwa watz wote hata nyie wapenda misaada? Wakati mwingine jk anapewa lawama binafsi kumbe dini yenu imewazoesha kuomba omba tu. Hamna skills za kujitegemea. Hivi rostam naye ni mkristo?
 
KInachotakiwa Tz ni ukombozi wa kujitawala na ujiamlia. Hakuna dini inayoleta maendeleo zaidi ya watawala wasio na muono. Angalia hata kama kuna makosa kiutawala kuanzia mwalimu, ruksa, njomba hata sasa mkere. Utaona utofauti wa maendeleo ya nchi yetu. Pia ukiangalia ufisadi anagalia kuanzia Lz1 na baba yake jmk, chenge, balali, Lwasa, id simba na wengine, wote wezi.

Pia angalia katika kusimamia hoja katika utawala zote. je viongozi wanafanya wanayoamini au wanakurupuka 2. ****** katika wakati huu angalia anachofanya suti moja na serikali yake yote, tangu balozi wa nymba 10 hadi yeye wote wanaangalia wasafiri lini kulika kuwatmikiawananchi.

Dini siyo kitu katika maendeleo ya tz zaidi ya utashi wa kweli na kutembea katika tunachokiamini.
 
Kuna haja ya sisi tusio na dini kuangalia pia nafasi yetu katika mfumo huu.
 
u j i n g a wako ndo sababu ya umaskini wako, unakimbilia majibu mepesi mepesi! Ukitoka kwenye udini utahamia wapi? Acheni upotoshaji!

Ni kweli Mkuu kazi ipo, ujinga wa kufikiri, umaskini wa kufikiri na maradhi ya kufikiri vinasababisha haya yote, hakika kama hatutaleta mabadiliko katiaka haya matatu, tutabaki kutafuta sababu nyepesi na majibu mepesi kwa mambo mazito. Ni mtazamao wangu lakini ila tukiamua tutafanya la maana badala ya kutoa visingizio visivyo na mshiko.
 
Hao jamaa wameiuwa nchi kwa wizi. Hawana imani na Tanzania hata kidogo.

Angalieni maneno yenu hayo...tutakapoanza kukamata wezi wa mali ya umma hasa wa awamu ya mwisho, story isije kuwa tofauti. Dunia inatuangalia kwa macho mawili kila kitu tunachofanya. Na ushirikina ambao ndio tunautumia kama nguzo kuu ya ushauri wa kuendesha nchi unatumiwa na mfumo gani? haya mambo ya hoja za jumla jumla ni hoja za wakosaji....maana wengi mnaoleta hizi hoja hamna usafi wa kihivyo mbele ya Mwenyezi Mungu na watu mnaowatumikia.
 
kwa akili za watu kama hawa nchi hii kuendelea ni kazi sana!
 
Hakuna shaka wengi waliosoma, wafanya kazi, na watawala wa ngazi za juu na wanaotoa maamuzi muhimu serikalini na makampuni ya umma ni wakiristo,
Hadi sasa ni miaka50 bado Tanzania ni nchi ya kimasikini duniani, wakati nchi kama Malaisia ambayo tumepata nao uhuru kwa wakati mmoja wao wametuacha mbali.

Inanifanya niamini kuwa Waislam ni watu wasio na tamaa, walioridhika na niwaaminifu hasa kuhusiana na mambo ya Fedha.

Tumeshuhudia mafisadi wengi, wenye tamaa na elimu ya kufoji ni Watawala-Kristo (waislamu wachache), uchafu kama huu haupo sana sehemu kama Zanzibar na ktk jamii za waislamu

JE!!!
1. Iko haja ya kufumua mfumo wa tawala-kristo na kuleta utawala mseto kwa ajili ya maslai na maendleo ya nchi?

2. Tuwaache waendelee watajirekebisha ?

3. Unafikiri hakuna uhusiano kati ya utawala-kristo na ufisadi, umaskini na uchafu mwingineuliojaa nchini ?


Tafadhali tujadili kwa kujibu maswala matatu hapo juu, kwa ustaarabu bila matusi wala jazba

Mbona Kikwete alishaubadilisha na sasa waislamu ni wengi wenye vyeo vikubwa serikalini lakini ufisadi uko palepale? huku ufisadi mwingine ukihusishwa na yeye mwenyewe.
 
wewe sijui kama ni mtu mzima hamsomi alama za nyakati pigeni buku mtakuwa viongozi tu acha kelele za dini wewe
 
unajua kwa nini Tanzania haiendelei? ni kwa sababu ya kuwa na watu wenye fikra mgando kama hawa,wanawaza kwa kurudi nyuma.dini ni imani ya mtu,ni vip sasa wewe unaihusisha imani ya mtu na uchumi au ufisadi? je kuna dini inaruhusu wizi?
fikirieni mambo ya msingi,tufikirie juu ya wadogo zetu ambao wanasoma chini ya miti,juu ya wazazi wetu ambao pensheni zao zinachakachuliwa....tunzungumzie makato ya mishahara yasiyo na tija...
tutabakia hivihivi tukijadili upuuzi wakati nchi inazidi kuchukuriwa na wakenya na waganda..
hivi watanzania nani katuroga .............
kwa kweli Mods jaribuni kuepusha mijadara kama hii,inakera na inarudisha nyuma fikra za watanzania,au kama vipi muhamishie kwenye majukwaa special huku zinatukera....
 
Kweli watu wangu wanangamia kwa kusoma maarifa yao, Mungu mkuu wa Israel nakuomba akoa watoto wako ambao wapo chini utumwa wa fikra, maana Baba ulisema kuwa hutatuacha kamwe mpaka mwisho wa dahari pia Bwana Yesu ulisema kwamba wewe ndio Chanzo cha Amani duniani na ww ndiye Mfalme wa amani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom