Hans,
..katika jedwali uliloleta frm 1973 to 1999 wenyeviti wa NECTA walikuwa ni Vice Chancellors wa UDSM.
..pia Prof.Mwaikambo ndiye mwanamke pekee aliyepata kuteuliwa kuwa mwenyekiti wa Necta, ambapo yeye na Prof.Mmari[former sokoine & udsm vc] walishika nafasi hiyo wakitokea nje ya chuo kikuu cha DSM.
..baada ya hao wawili, utamaduni wa VC wa UDSM kuwa mwenyekiti wa NECTA umerejeshwa kwa uteuzi wa Prof.Mukandala.
NB:
..je, kwa experience yako ulipokuwa shuleni umewahi kuonewa kutokana na imani yako?
Safi sana kaka
Lakini waislam wao wanadai kuwa tangu kuondoka kwa Mkoloni Wakristo wamekuwa kama mabaki ya wakoloni na ukoloni. Ukiondoa shule za msingi na sekondari za Kata, huko katika shule za sekondari za Serikali, vyuo vya kati na vyuo vikuu wanafunzi na wafanyakazi ni Wakristo kwa zaidi ya asilimia 80. Siku hizi katika shule za Kata wanafunzi Waislamu wameanza kuonekana. Katika taasisi za elimu mfano T.I.E, TEA, NECTA, Bodi ya Mikopo, I.A.E na vyuo vyote nchini, uongozi umekuwa ni mali ya Wakristo. Ushaidi huo hapo juu
Lakini wa kristo walijibu vilivyo hizi hoja na huko mwanzo walidai kwamba hamna Muislamu mwenye elimu ya kutosha kuongoza. Kwa siku za hivi karibuni madai yao kwa wale Waislamu wachache waliofanikiwa kupata elimu ni kuwa hawafai kwa vile wana, "udini".
Lakini ukitazama data zilizopo ukweli kunabaki kuwa katika Wizara ya Elimu (MOEVT) tangu Wizara hiyo kuundwa uongozi umekuwa mali ya Wakristo kwa zaidi ya asilimia 90. Nafasi kama ya Kamishina wa Elimu haijawahi hata kuwa na Kaimu Muislamu na wala haitarajiwi chini ya Mfumochristo. Nafasi za wakurugenzi nazo zimemilikiwa na Wakristo. Mfumokristo umejikita barabara.
Uongozi wa Shule za Sekondari na Vyuo vya Ualimu nao umemilikiwa vilivyo. Nafasi za Maafisa elimu Wilaya na Mikoa na wakaguzi wakuu wa elimu wa Kanda kwa zaidi ya asilimia 85 zinaendelea kuwa miliki ya hawa Wakristo.
Kwenye hili, naamini waislam wanaolalamika hoja wanayo kwani kwenye elimu hili lilishapigiwa sana kelele lakini hakuna hata moja lilofanyika na matokeo yake ni hizi data zilizotolewa na wizara ya elimu zinaonyesha wazi kuna matatizo na watawala wao wamezidi kuziba masikio
Sisemi waislam wapewe kwa sababu ya imani zao lakini ninachosema kuwa kuwepo kwa fairness na hasa ukizangatia kulikuwepo kwa tuhuma zamani na juzi juzi not only wizarani mpaka kwenye idara kama NECTA.