Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Status
Not open for further replies.
Hizi mada za mara mfumo kristo mara mafumo islamu havitusadii kitu. Ni kama ushindani usiokuwa na maana na mwisho wake hakuna mshindi isipokuwa pande zote kubaki na maumivu tu. Tuangalie mambo ambayo yanaweza kutuunganisha zaidi kuliko kuangalia mambo yanayotugawa. Kwa sasa tungekazania katiba.

Siioni button ya thanks.Nakugongea THANKS mkuu
 
Afrika ilikuwa tusikubali dini zote zilizoletwa, zinaleta ogomvi tu, lakini kwali uislamu mwingine bado uko kama ndoto.
 
Mfumo islam look somalia.angalia N.sudan wanavyo watesa south waislam mna asil ya Ubaguzi tena ule mbaya sana,kwa taarifa yenu muslim wil never conqurer this world by any means. Endeleeni kujilipua ,kuamini mapepo,kuoa vitoto,na lile neno la "kiyama"mko kwenye kiyama chenu wenyewe hapa duniani sajawahi ona imani inayoeleza uongo kama muslim .mna vurugu za maono sana.

Nakusoma endelea ktufumba macho mkuu.
 
hizi mada za mara mfumo kristo mara mafumo islamu havitusadii kitu. Ni kama ushindani usiokuwa na maana na mwisho wake hakuna mshindi isipokuwa pande zote kubaki na maumivu tu. Tuangalie mambo ambayo yanaweza kutuunganisha zaidi kuliko kuangalia mambo yanayotugawa. Kwa sasa tungekazania katiba.

know the truth, and the truth shall set you free!
 
Hizo zote ni porojo..lkn at the end mtakuja agree kuwa uislamu ndo dini sahihi
 
Chini ni habari zaidi kutoka Ubalozi wa Waislam, Moscow, Russia.

SHUGHULI YA HITIMA UBALOZI WA TANZANIA - RUSSIA


Mh. Balozi: Jaka Mgwabi Mwambi (mwenye kofia ya baraghashea) akishiriki katika dua ya kuwarehemu marehemu ndani ya ukumbi wa ubalozi wa Tanzania Urusi mjini Moscow.

Salam bro. Michuzi,tumai u mzima wa afya, naomba msaada wako kwa niaba ya familia ya Mh.Balozi: JAKA MGWABI MWAMBI, MKE WA BALOZI, EDDY MKALI, SULEIMAN DITOPILE MZUZURI, HASSAN HASHIMU KAPILIMA wote waishio jijini Moscow kwa kuniwekea Tangazo la HITIMA la NDUGU ZETU tuliolifanya kwa pamoja tarehe 23-04-2011, katika ukumbi wa UBALOZI WA TANZANIA, RUSSIA hapa jijini MOSCOW. Tafadhali picha na maelezo yapo katika attached document in m-word.tumai ombi langu utalipa uzito wake.wako,Hassan Hashimu Kapilim
viewer%2B%25283%2529.png


viewer%2B%25282%2529.png


viewer%2B%25281%2529.png
 
mFUMO ISLAM ndiyo ulioleta umoja na uhuru wa binaadam kueshimiana ,huwezi kusoma historia ya AMERICAN DREAM ,bila kutaja uislam ,uislaam ndiyo uliwakomboa AFRICAN AMERICA kwenye ubaguzi mkubwa wa rangi,MARTIN LUTHER KING walimuua kwasababu alitaka kusilimu, .hapa tanzania UISLAAM ndiyo ulipigania uhuru wa nchi hii mpaka ukapatikana,ALL CHRISTIANS LEADERS are UNCLE TOMS,MFANO wakatoliki wanaitumikia VATIKAN.

si tanzania kumbuka mauaji ya rwanda yalichangiwa sana na kanisa katoliki,MKUMBUKE MKAPA alivyoiuza nchi hii kwa wageni mpaka leo wa TZ wanalia njaa.wenzako duniani kote wanaanza kuadopt mfumo islam pls refer to AMERICAN,PARIS,GERMAN,Kuna vikao kila kukicha kuhusu uislaam wanauhitaji sana ulaya uko ..fungua sauti ya iran wanaripoti kila kitu kinachofanyika
 
1. Propaganda za waislamu kuwa kuna mfumo kristo ni unafiki na upotoshaji mkubwa

2. Tanzania tuna mfumo islamu proof yake ni uongozi wa nchi kushikiliwa na waislamu (rais, makamu wa rais-muungano), visiwani viongozi wa ngazi za juu wote waislamu.......ni ukweli hamna longolongo

3. Mfumo islamu uliishashindwa, proof yake ni maandamano ya kuwang'oa viongozi wao kote ktk nchi za kiarabu.........
---watu wengi wanaamini kuwa dunia bila uislamu eti ingekuwa sayari salama sana pa kuishi

kuna mtu anataka mfumo islamu uendelee?
Nasikia mkuu ulikuwa muongozaji wa kwaya kanisani...!

Unakumbuka huu wimbo:

♫ ♪ ♪♯ Bwana tupelekee kuleee mbinguni nikaishi nawe kwenye mji wa lulu♫ ♪ ♪♯ hmmmmmm, hmmmmmm....♫ ♪ ♪♯ kweli ndani ya yesu kuna raha ya ajabu... ♫ ♪ ♪♯Hisio na mwisho... ♫ ♪ ♪♯kweli jamani ndugu...♪♯Ⱡ oh oh luluu... oh oh lulu...!♫ ♪ ♪♯
 
Hapa JF ni mapambano ya dini. Yaani mtu anaamka na kuanza kukashifu na kutukana bila sababu halafu yeye ndiye anajiita non-violent na mstaarab. Mtu anaanza tu kuchokoza kundi jingine kutokana na frustrations za maisha yake na wengine nao unga mkono. Kwakweli huu ni upuuzi na ukifikiria zaidi unamuonea hata huruma aliyeanzisha mada hii.
 
Hizo zote ni porojo..lkn at the end mtakuja agree kuwa uislamu ndo dini sahihi

Weweeeeeeee! Hata aibu huna? Cpendi kusema dini ya watu lakini kuna mambo ungeyajua hakika ungejuta kupoteza muda.
 
JUMAPILI HII Maelfu ya WAISLAM wamekutana katika ukumbi wa Diamond Jubilee na kuazimia namna nzuri ya kujitatulia matatizo yao yanayosababishwa na walichokiita "mfumo kristo".

Mada kuu ilikuwa ni kuzindua kitabu (cover and some pages attached) kinachotoa ushahidi wa madai yao na Pia wamechukua maazimio ya kujitatulia shida zao kwa njia iliyo nzuuuuuuuuri.

tukipata soft copy ya kitabu chote tutawarushia ma thinker wa jamii forums mkichambue.
 

Attachments

  • DIAMOND 3.JPG
    DIAMOND 3.JPG
    476.5 KB · Views: 120
  • DIAMOND 1.JPG
    DIAMOND 1.JPG
    475.5 KB · Views: 97
  • DIAMOND 2.JPG
    DIAMOND 2.JPG
    501.3 KB · Views: 73
kikwete
said mwema
bilal
mwantumu
jaji mkuu
radio al nuur ..
huu ndio mfumo kristo?
wat else you want....
 
kikwete
said mwema
bilal
mwantumu
jaji mkuu
radio al nuur ..
huu ndio mfumo kristo?
wat else you want....

Akili yako hapo ndo uwezo wake wa kufikiri! Hivyo sikulaumu sana,lakini You don't deserve to be called a greatthinker because you have a very narow mind.Thanx for a poor show.
 
Mimi nafikiri hapo hapo walipo wakijadili kuhusu maendeleo watafanikiwa sana badala ya kuwaza mambo ya udini, nawashauri wapitishe harambee hapo na kila mmoja atoe ahadi yake wajenge hata shule au chuo watafaniwa tu.
 
JUMAPILI HII Maelfu ya WAISLAM wamekutana katika ukumbi wa Diamond Jubilee na kuazimia namna nzuri ya kujitatulia matatizo yao yanayosababishwa na walichokiita "mfumo kristo".

Mada kuu ilikuwa ni kuzindua kitabu (cover and some pages attached) kinachotoa ushahidi wa madai yao na Pia wamechukua maazimio ya kujitatulia shida zao kwa njia iliyo nzuuuuuuuuri.

tukipata soft copy ya kitabu chote tutawarushia ma thinker wa jamii forums mkichambue.

Kusema ukweli TZ hatuna udini na mfumo wetu hauna element yoyote ya udini, sema tu rais wetu ndo ana mawazo ya udini lakini kutokana na mfumo unashindwa kumfavour kuuonyesha kwa kiwango anachowish angekifikia.
Hawa ndugu zetu ndio hasa watatuletea udini kwa sababu ni wazo wamelijenga kichwani na sasa linawatesa.
 
Bora tungeanza na ushahidi wa Igunga ndipo tukaendelea na hivi propaganda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom