Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

9. Kubinya dawa ya mswaki katikati....

10. Kuvaa boxer / singlend chafu

11. Kutongoza haus gel

12. Kuwa wavivu kuoga/kupigaswaki ...........

Nitarudi!!!!
kha wewe ndo umekuja kuua kabisa.Ni uamuzi wangu mwenyewe..... naomba lolote litakalotokea Charmin...aulizwe
 

Tupo ambao hatufanyi hizo dhambi, na huenda tuko smart zaidi ya nyie wake zetu
 
naona mnafunguka ili tupate kuwajua wanaume wenu walivyo wachafu,lakini msisahau munekano wa mwanaume ni matunda ya mwanamke na mwonekano wa mwanamke ni matunda ya mwanaume
 
13. Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
14. Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
15. Kutofua boxer na socks zake hadi wife awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi

duh kama tunaishi wote? umepiga kwenyewe kabisaa
 
9. Kubinya dawa ya mswaki katikati....

10. Kuvaa boxer / singlend chafu

11. Kutongoza haus gel

12. Kuwa wavivu kuoga/kupigaswaki ...........

Nitarudi!!!!

wallah usirudi, hapa tu ushaua bendi ukirudi itakuwaje?? acha bana...japo si yote ya kweli lakini mmhh!!
 

mi sina la kunena ila naahidi "BIG RESULT NOW" na ntaanzia chini kupanda juuu
 
Namba moja, tano hadi nane mi simo.
 
hii analysis umeichukua wapi!!
Obviously itakuwa nyumbani kwako!!
 
Aliyesema wanaume ni kama watoto hakukosea......mana kuna vitu vinafanywa na wanaume ukifikilia haumpatii majibu.....
 
...hahahahah halafu kuna kale katabia kao kengine utakuta amekaa kwenye kochi, just mbele yake tu ambapo hata akinyoosha mkono anafikia kuchukua kitu km simu, utakuta anasema 'naomba nipatie simu yangu io hapo'...
 
ndiyo yupo naye ni Excellent au
nakosea bestito kuwa wewe hujawafanya hivyo vilivyolistiwa hapo juu?

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…