Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

1-Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.

2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa

3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.

4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.

5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.

6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.

7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.

8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.

Kuna ambaye hajafanya dhambi moja kati ya hizi??

5 na 6 ni malalamishi yanayoashiria roho mbaya, uchoyo na wivu usiokuwa wa msingi, vyote kwa pamoja. Vingine vyote uko sawa kabisa, iwapo tu huwa kweli vinafanyika hivyo
 
Dah!!! Huu ni uchafu tena wa hali ya juu...Unamwambia tu usiniguse na vijuisi humpi.

9. Kubinya dawa ya mswaki katikati....

10. Kuvaa boxer / singlend chafu

11. Kutongoza haus gel

12. Kuwa wavivu kuoga/kupigaswaki ...........

Nitarudi!!!!
 
Last edited by a moderator:
Dhambi wazifanyazo wanawake walioolewa
1: Kumuacha mume avae boxer au singlend chafu!
2: Kumuacha housegirl afanye kazi zote ikiwa ni pamoja na kutandika kitanda chenu,kumwandalia mume wako nguo na kumpelekea maji ya kuoga bafuni.
3: Kununa kisa mume amekuja na mgeni nyumbani
4:
5:
6:
7:
8:
 
13. Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
14. Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
15. Kutofua boxer na socks zake hadi wife awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi
Hizi zote zina nihusu. Mke wangu akiwa hayupo home, nakosa raha na nyumba naiona kama pango. Namtegemea sana mke wangu, bila yeye maisha yangu ni mabaya. I love u mama J
 
G
Dhambi wazifanyazo wanawake walioolewa
1: Kumuacha mume avae boxer au singlend chafu!
2: Kumuacha housegirl afanye kazi zote ikiwa ni pamoja na kutandika kitanda chenu,kumwandalia mume wako nguo na kumpelekea maji ya kuoga bafuni.
3: Kununa kisa mume amekuja na mgeni nyumbani
4:
5:
6:
7:
8:
Mke wangu hausiki na hizi. I think I have a smart wife. Haruhusu kurudia nguo hata suruali. She keeps our bed room in a very attractive enviroment.
 
Namba 3 hahahahaaaaaa kumbe mko hivyo wanawake wote maana hata sijazigusa nguo ntaambiwa nimechangua nguo wakati alipanga!!!! Huko kwengine kote ninajitahidi kama no maksi napata 98%
 
Dhambi wazifanyazo wanawake walioolewa
1: Kumuacha mume avae boxer au singlend chafu!
2: Kumuacha housegirl afanye kazi zote ikiwa ni pamoja na kutandika kitanda chenu,kumwandalia mume wako nguo na kumpelekea maji ya kuoga bafuni.
3: Kununa kisa mume amekuja na mgeni nyumbani
4:
5:
6:
7:
8:
kukagua Simu ya mumewe na kujitahidi kujua kila ssimu inayopigwa inatoka kwa bank

Kupenda mme awepo nyumbani muda wote ru bila kujali mambo mengine

Kwenda kushinda saluni wakiongea umbea
 
kukagua Simu ya mumewe na kujitahidi kujua kila ssimu inayopigwa inatoka kwa bank

Kupenda mme awepo nyumbani muda wote ru bila kujali mambo mengine

Kwenda kushinda saluni wakiongea umbea

Kupenda mume awepo nyumbani muda wote!!
 
Hiyo ya viatu ndani, naona karibia wanaume wote.
 
Back
Top Bottom