Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

Hizi zote zina nihusu. Mke wangu akiwa hayupo home, nakosa raha na nyumba naiona kama pango. Namtegemea sana mke wangu, bila yeye maisha yangu ni mabaya. I love u mama J

hii allegations ya kurudi home mchana uonane na housegirl hujaitolea maelezo Mpwa
 
No no no siingii na viatu, sandles au hata kandambili, siwezi kabisa maana hua hata mimi napiga deki tukiwa wenyewwe

Ukiwa unapiga deki unakuwa umevaa bukta au kanga ya mkeo?
Ila hii tabia naichukia sana, utakuta lijitu linakuja kwako, nje kuna kapeti na viatu lakini atapangusa tope lake hapo na kuingia na viatu.
Sipendi, sipendi.
Ukiuliza eti ananuka miguu au soksi.
Wanakera.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mimi sio mchafu ILA usafi WA mke wangu unanikera sasa, live example ni Leo, nimeenda ibadani tena asubuhi kurudi tu nikabadilisha nivae nguo nyepesi ninywe chai, mara nashtuka nguo ziko kwenye dishi.

Kuna mahali tumetoka mchana tukarudi saa 11 jioni, nikavua tisheti yangu nipate upepo, natoka sasa hivi natafuta fulana nivae eti kaifua. Nimenuna kwakweli
 
Sasa kuvaa boxer au nguo chafu si kosa la mwanamke mwenyewe jamani.

Sasa wewe uvae nguo chafu useme mke hajakufulia au hajakuandali nguo safi???

Hivi hiyo ni sababu kweli?

Hiyo nguo unaivaa mwilini mwako au kwenye mwili wa mkeo?

Mikono mmepewa ya kazi gani?

(Nimekutumia wewe kama mfano kutokana na swali lako)
 
Mimi sio mchafu ILA usafi WA mke wangu unanikera sasa, live example ni Leo, nimeenda ibadani tena asubuhi kurudi tu nikabadilisha nivae nguo nyepesi ninywe chai, mara nashtuka nguo ziko kwenye dishi.

Kuna mahali tumetoka mchana tukarudi saa 11 jioni, nikavua tisheti yangu nipate upepo, natoka sasa hivi natafuta fulana nivae eti kaifua. Nimenuna kwakweli

uyo mkeo atakuwa mnyakyusa afu maza house enh!!!
 
Mimi sio mchafu ILA usafi WA mke wangu unanikera sasa, live example ni Leo, nimeenda ibadani tena asubuhi kurudi tu nikabadilisha nivae nguo nyepesi ninywe chai, mara nashtuka nguo ziko kwenye dishi.

Kuna mahali tumetoka mchana tukarudi saa 11 jioni, nikavua tisheti yangu nipate upepo, natoka sasa hivi natafuta fulana nivae eti kaifua. Nimenuna kwakweli

Shukuru kaka.
Kuna wengine majumbani mwao majanga matupu.
Mwanaume anavaa singlend mpaka inabadilikia rangi mwilini.
 
Kunya bila kunawa na sabuni
Kuachia rasta nywele za sirini na kwapani
 
13. Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
14. Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
15. Kutofua boxer na socks zake hadi wife awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi
Hiyo no 14 ukweli mtupu,mtu anaamka anaacha neti hivyo hivyo,akirudi usiku anafunua net anaingia kulala,aisee kumbe hawa watu wanafanana eeh
 
9. Kubinya dawa ya mswaki katikati....hatutaki usumbufu wa kuminya dawa mara nyingi ili isogee mbele

10. Kuvaa boxer / singlend chafu-- kama hamjafua unategemea tuvae nini?

11. Kutongoza haus gel- kaja kwangu kimbau mbau sasa kanona, niwaachie wenzangu waonje kabla yangu?

12. Kuwa wavivu kuoga/kupigaswaki ........... hii si kweli, pombe zote za jana, ntashindaje bila kupiga mswaki, kuoga lazima kwa kuwa jana kwenye pombe wahudumu walikuwa wananikumbatia ovyo.

Nitarudi!!!!Karibu tena
. !!!
 
1-Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.

2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa

3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.

4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.

5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.

6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.

7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.

8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.

Kuna ambaye hajafanya dhambi moja kati ya hizi??
Nahisi hizi kero na siyo dhambi
 
Back
Top Bottom