Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

Hafadhali shosti umeamua kunena hapa
yaani ni wachafu kupundukia
ukiwaona kwa nje wana mvuto lakini ndani wameoza wananuka
1-kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.

2-kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa

3-kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.

4-kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.

5-kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.

6-kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.

7-kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.


8-kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.

Kuna ambaye hajafanya dhambi moja kati ya hizi??
 
Dada mie ninazo zote .... Mungu anisaidia, those are very common mistake kwa wanaume ...
 
1-Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.

2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa

3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.

4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.

5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.

6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.

7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.


8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.

Kuna ambaye hajafanya dhambi moja kati ya hizi??


Unajua maana ya neno dhambi???
Bado una usingizi, nenda ulale!!!!!!!
 
Ha ha haaa lol..you made my night, you mean utakuwa comedian flani?

ndio maana yake tena bora uwe mfupi ukiwa mrefu na kitambi juu upigilie singlend.. kutakuwa hamna haja ya kuwekea waototo katuni.....:majani7:
 
Hii kwangu ni mpya! Au ni mwanaume punguani?

Hii nayo inashangaza!

Hii ina kweli sana. Lakini mara nyingi wake zetu pia wanapenda kuhamisha vitu na kuweka wanapotaka bila kutoa taarifa kuwa wamehamisha. Either way, ni dhambi amabyo wengi tunaifanya.


Hii labda ni kwa wachache

The african way!Ukarimu wa mke ndio "unapimwa" vizuri!

Hizi pia ni kwa wachache sana.

Niseme nini wakati hapo unakuta kesha ni boa kwa kumsubiri zaidi ya nusu saa!?

​mkuu inaonesha mke wako mkali sana
 
  • Thanks
Reactions: SMU
1-Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.

2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa

3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.

4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.

5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.

6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.

7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.


8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.

Kuna ambaye hajafanya dhambi moja kati ya hizi??

Udhaifu wangu ni hiyo ya namba 8, mi mgumu sana kumsifia mke wangu akipendeza. Najua lazima anapendeza kwa vile nampa anunue anachotaka!
 
kula bata na mpenz wake wakati nyumbani kaacha mia tano ya matumizi

Dah sometimes unagonga panapouma mkuu, iko jamaa yangu yuko tayari aingie SACCOS avute mukwanja munene ale bata na demu la nje wakati home wanakula dagaa za kuvizia ndani ya mchuzi!!,
 
Hiyo no 14 ukweli mtupu,mtu anaamka anaacha neti hivyo hivyo,akirudi usiku anafunua net anaingia kulala,aisee kumbe hawa watu wanafanana eeh

Haa haa....safiri wiki nzima huo upenyo ndio utakuwa mlango wa kuingilia na kutokea kila iitwapo leo.
 
Hiyo namba5 kama ungekuwa ndo Mke wangu nina uhakika ungechukia sana...chakula kitu gani bwana...!!

Unafikiri issue ni uchoyo mkuu? Nafikiri issue kubwa hapa ni taarifa ili kama kawaida kunapikwa kilo moja ya unga, basi iongezwe nusu nyingine.....Maisha ya siku hizi kimazingira, ni tofauti na tulivyolelewa ambavyo ukiweka sufuria jikoni, ni lazima uongeze kidogo kipimo just in case atatokea mgeni....
 
Back
Top Bottom