Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

Kujifunga taulo na kukaa kifua wazi na kutembea hivyo hivyo nje ya nyumba.
 
5 na 6 ni malalamishi yanayoashiria roho mbaya, uchoyo na wivu usiokuwa wa msingi, vyote kwa pamoja. Vingine vyote uko sawa kabisa, iwapo tu huwa kweli vinafanyika hivyo

taarifa mhimu mkuu sio kuja na rafiki bila taarifa na unafahamu kabisa mke wako huwa anapika chakula cha wastani
 
14. Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
Hii kwa jina jingine inaitwa ''kufufuka''
 
17. kutonyanyua toilet seat akienda kujisaidia haja ndogo
 
Back
Top Bottom