habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
1-Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.
2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa
3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.
5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.
6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.
7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.
8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
Kuna ambaye hajafanya dhambi moja kati ya hizi??
Dyuuuuuu....
Sema baadhi ya wanaume.... Usiwaingize kundini wanaume wote bana!!!
Ha ha haa...hii iliwahi kunikuta, kwa kweli niliona 'gubu' tu..kumbe ni kweli mna'maindi'!
Mmesahau kosa lingine la wanaume kunuka miguu na mdomo
16. Kuvaa chupi za wife
16. Kuvaa chupi za wife
17.Kuvaa sox hadi zianze kutoa harufu!
9. Kubinya dawa ya mswaki katikati....
10. Kuvaa boxer / singlend chafu
11. Kutongoza haus gel
12. Kuwa wavivu kuoga/kupigaswaki ...........
Nitarudi!!!!
Hii kwangu ni mpya! Au ni mwanaume punguani?1-Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari...
Hii nayo inashangaza!2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa..
Hii ina kweli sana. Lakini mara nyingi wake zetu pia wanapenda kuhamisha vitu na kuweka wanapotaka bila kutoa taarifa kuwa wamehamisha. Either way, ni dhambi amabyo wengi tunaifanya.3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
Hii labda ni kwa wachache4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.
The african way!Ukarimu wa mke ndio "unapimwa" vizuri!5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa..
Hizi pia ni kwa wachache sana.6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.
7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.
Niseme nini wakati hapo unakuta kesha ni boa kwa kumsubiri zaidi ya nusu saa!?8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
18. Kumkataza wife kuvaa chachandu a.k.a.......... zile za wamasai zenye rangi nzuri nzuri.
Hii kwangu ni mpya! Au ni mwanaume punguani?
Hii nayo inashangaza!
Hii ina kweli sana. Lakini mara nyingi wake zetu pia wanapenda kuhamisha vitu na kuweka wanapotaka bila kutoa taarifa kuwa wamehamisha. Either way, ni dhambi amabyo wengi tunaifanya.
Hii labda ni kwa wachache
The african way!Ukarimu wa mke ndio "unapimwa" vizuri!
Hizi pia ni kwa wachache sana.
Niseme nini wakati hapo unakuta kesha ni boa kwa kumsubiri zaidi ya nusu saa!?