Deus Kibamba: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Mkuu wa 2020 unaweza kushirikisha wapiga kura wachache kuliko chaguzi zote

Milioni 19 siyo wengi?

Hahaaa hahaaa 19m kisha hakukuwa na misururu ya kujiandikisha, wakati uchaguzi uliopita watu 22m watu walikuwa wanaamka usiku wa manane kwenda kupanga foleni. Hivi majuzi vitambulisho vya NIDA, wapi hukuona misururu kwa ajili ya hilo, na hao ni karibu 20m. Je huu uhuni wa juzi uliona misururu kituo chochote? Hiyo 19m isiyo na misururu ni ya wapi?

Ngoja nikupe maana ya watu 19m. Watanzania tupo 55m. Walio chini ya miaka 18 ni karibia 30m. Wanabaki 25m above 18. Kwa maneno marahisi kama waliojiandikisha ni 19m, kila watu watatu wenye umri wa kupiga kura wawili wamejiandikisha. Mfano mwingine ujue kuwa hiyo 19m Ni figure ya kupika, wanaomiliki simu ni 24m, wangalau kwenye watanzania 55m kila watu wawili mmoja ana simu. Ndio maana karibu kila mtu mzima unayemjua ukiacha mtoto anamiliki simu, kiasi kwamba mtu mzima akiwa hana simu inashangaza. Je kwenye hao waliojiandikisha hivi sasa, kila watu watatu unaokutana nao wawili wamejiandikisha kwenye uchaguzi huu? Tumia akili kidogo hata kama umekabidhi hapo ofisini lumumba.
 
Taarifa!

Viongozi na wanachama wote wa ccm kwasasa wanapitia wakati mgumu Ni jukumu la kila mmoja wetu kuhakikisha mwanaccm yeyote uliyekaribu nae umsaidie kumfikisha kwa wataalamu wa afya za akili, vinginevyo taifa zima litaangamia.

Ahsante!
 
Hahaaa hahaaa 19m kisha hakukuwa na misururu ya kujiandikisha, wakati uchaguzi uliopita watu 22m watu walikuwa wanaamka usiku wa manane kwenda kupanga foleni. Hivi majuzi vitambulisho vya NIDA, wapi hukuona misururu kwa ajili ya hilo, na hao ni karibu 20m. Je huu uhuni wa juzi uliona misururu kituo chochote? Hiyo 19m isiyo na misururu ni ya wapi?

Ngoja nikupe maana ya watu 19m. Watanzania tupo 55m. Walio chini ya miaka 18 ni karibia 30m. Wanabaki 25m above 18. Kwa maneno marahisi kama waliojiandikisha ni 19m, kila watu watatu wenye umri wa kupiga kura wawili wamejiandikisha. Mfano mwingine ujue kuwa hiyo 19m Ni figure ya kupika, wanaomiliki simu ni 24m, wangalau kwenye watanzania 55m kila watu wawili mmoja ana simu. Ndio maana karibu kila mtu mzima unayemjua ukiacha mtoto anamiliki simu, kiasi kwamba mtu mzima akiwa hana simu inashangaza. Je kwenye hao waliojiandikisha hivi sasa, kila watu watatu unaokutana nao wawili wamejiandikisha kwenye uchaguzi huu? Tumia akili kidogo hata kama umekabidhi hapo ofisini lumumba.
Maelezo mazr sana
 
Watapika data. TV hazitaruhusiwa onesha vituo. Matokeo yatakuja wapiga kura ni mamilioni zaidi ya 20
 
Kibamba amedai kuwa demokrasia ya Tanzania imegawanywa katika vipande viwili wale wanaoruhusiwa kufanya siasa na wale waliozuiwa na hii ni hatari kwa ustawi wa jamii.
Huu ni upotoshaji Kibamba anafanya ....aonywe!....hakuna aliyezuiwa kufanya siasa bali ilielekezwa kila mtu afanye siasa kwenye sehemu husika na kwa kufuata taratibu. Siasa holela ndizo zilidhibitiwa. Kama kunawatanzania walikuwa wanafanya siasa holela hao wamedhibitiwa....na hao sisi watanzania tunaona hawatufai kwani siasa holela zinakwamisha maendeleo yetu.
 
Hahaaa hahaaa 19m kisha hakukuwa na misururu ya kujiandikisha, wakati uchaguzi uliopita watu 22m watu walikuwa wanaamka usiku wa manane kwenda kupanga foleni. Hivi majuzi vitambulisho vya NIDA, wapi hukuona misururu kwa ajili ya hilo, na hao ni karibu 20m. Je huu uhuni wa juzi uliona misururu kituo chochote? Hiyo 19m isiyo na misururu ni ya wapi?

Ngoja nikupe maana ya watu 19m. Watanzania tupo 55m. Walio chini ya miaka 18 ni karibia 30m. Wanabaki 25m above 18. Kwa maneno marahisi kama waliojiandikisha ni 19m, kila watu watatu wenye umri wa kupiga kura wawili wamejiandikisha. Mfano mwingine ujue kuwa hiyo 19m Ni figure ya kupika, wanaomiliki simu ni 24m, wangalau kwenye watanzania 55m kila watu wawili mmoja ana simu. Ndio maana karibu kila mtu mzima unayemjua ukiacha mtoto anamiliki simu, kiasi kwamba mtu mzima akiwa hana simu inashangaza. Je kwenye hao waliojiandikisha hivi sasa, kila watu watatu unaokutana nao wawili wamejiandikisha kwenye uchaguzi huu? Tumia akili kidogo hata kama umekabidhi hapo ofisini lumumba.
Hujataja wazee, wasiojiweza,walioko magerezani, mahospitalini, wenginebasi tuu hawakujiandikisha. Hatutaki.
Hao 19m. Kawapata wapi.
 
Huu ni upotoshaji Kibamba anafanya ....aonywe!....hakuna aliyezuiwa kufanya siasa bali ilielekezwa kila mtu afanye siasa kwenye sehemu husika na kwa kufuata taratibu. Siasa holela ndizo zilidhibitiwa. Kama kunawatanzania walikuwa wanafanya siasa holela hao wamedhibitiwa....na hao sisi watanzania tunaona hawatufai kwani siasa holela zinakwamisha maendeleo yetu.
Kwa kadiri ya utafiti wa TWAWEZA, wajinga wamejaa CCM. Hivi kati ya mjinga na mwerevu, nani ana uwezekano mkubwa wa kufanya siasa holela?

Wewe bila shaka, ni miongoni mwa hao wajinga. Shughuli za kisiasa zimeanishwa kwenye katiba. Katiba ndiyo inayotoa uhuru, mipaka na haki za vyama vya siasa, wanasiasa na wanachi wote.

Kwenye katiba yetu kuna sehemu yoyote inayosema chama tawala pekee ndiyo kinaruhusiwa kufanya siasa wakati wote na mahali pote ila vyama vingine visubiri wakati wa uchaguzi? Hoja uliyoitoa inadhihirisha ukweli ule kuwa wana-CCM wengi na wafuasi wao ni watu wenye low IQ maana hata reasoning yao ni below average brain.

Kutokana na CCM kujaza watu wenye low IQ, na CCM kung'ang'ania kuwatumia makada kwenye mambo yote pamoja na yale yanayohitaji ujuzi, weledi na akili - inatufanya tusipige hatua kwa sababu tunawatumia watu wenye akili ndogo kupanga na kusimamia mipango mambo yanazidi uwezo wa akili zao. Kwa kuwatumia watu wa namna hii, hatuwezi kufika popote. Kwa sababu wana akili kidogo, mara nyingi wanatumia zaidi walicho nacho yaani NGUVU.

Nguvu haziwezi kulisaidia Taifa. Tembo, nyati, faru wana nguvu lakini hawana chochote wanachoweza kujivunia.
 
Umesema kweli mkuu maana kwetu hata wapinzani wakigombea hawana hata mhuri wa tawi maana hayafunguliwi tunasubiri ruhusa ya shughuli za siasa zitakapofunguliwa
 
....kuwatumia makada kwenye mambo yote pamoja na yale yanayohitaji ujuzi, weledi na akili - inatufanya tusipige hatua kwa sababu tunawatumia watu wenye akili ndogo kupanga na kusimamia mipango mambo yanazidi uwezo wa akili zao. Kwa kuwatumia watu wa namna hii, hatuwezi kufika popote
Kauli hizi ndizo zinawafanya mshindwe kuaminika mbele ya watanzania. Mwasema mnafuta katiba. Mbona vyama vyenu vinashindwa kufuata katiba za vyama hivyo na taratibu zake kiasi cha msajili wa vyama kuwalima barua za onyo!? Sasa kama mnashindwa kuheshimu katiba ya vyama vyenu kwa " akili kubwa " mliyonayo, Je. Mkikabidhiwa dhamana ya nchi na mfuate katiba ya nchi si "vichwa vyenu vitapasuka"!? Maana vichwa vyenu haviwezi kubeba jukumu kubwa la katiba ya nchi!
Vyama vyenu ni vyama vya "ulaji" ndiyo maana matendo ya vyama hivyo hayashawishi kukabidhiwa madaraka makubwa. Kueni kwanza " kiakili"...! Akili kubwa haitokani na kujisema 'una akili kubwa' bali matendo ya mtu ndiyo uakisi ' ukubwa wa akili ' yake.

Kajipange tena.
 
Hujataja wazee, wasiojiweza,walioko magerezani, mahospitalini, wenginebasi tuu hawakujiandikisha. Hatutaki.
Hao 19m. Kawapata wapi.
Tatizo lenu mnakuja na hitimisho kutokana na kufanya sampling ya vyanzo vya takwimu zenu kwenye maeneo mnayotaka!!! Kwa njia hiyo lazima mpate hitimisho "fake"! Na sisi hitimisho za hivyo tunaziita ' hitimisho chochezi', hazifai.
 
Hilo lilikuwa wazi, maana wananchi wengi walisusia kujiandikisha. Wananchi wengi kwa sasa wanauelewa wa kutosha na hawako tayari kuingia kwenye siasa za kishenzi. Wabaki hao wala rushwa wagawane vyeo bila ridhaa ya umma wakati tunaandaa plan B.

Niliwashangaa sana viongozi wa upinzani pale walipokuwa wanahamasisha watu wao na sasa naendelea kuwashangaa kwanini wanaishia kujitoa tu huku wakiacha kudai Tume huru na Katiba mpya kwanza?
 
Huu ni upotoshaji Kibamba anafanya ....aonywe!....hakuna aliyezuiwa kufanya siasa bali ilielekezwa kila mtu afanye siasa kwenye sehemu husika na kwa kufuata taratibu. Siasa holela ndizo zilidhibitiwa. Kama kunawatanzania walikuwa wanafanya siasa holela hao wamedhibitiwa....na hao sisi watanzania tunaona hawatufai kwani siasa holela zinakwamisha maendeleo yetu.
Mpaka sasa una maendeleo gani yaliyotokana na kuzuia siasa?
 
Huo ndio ukweli.Mimi nasubiri Tume Huru ya Uchaguzi na mfumo mzima wa uchaguzi ambao uadilifu wake siutilii shaka.Lakini kwa mwendo huu wa sasa,acha niwe mtazamaji.
 
2020 Mbali … sana .. siku moja ni miaka kwenye siasa ..mwaka mmoja utakuwaje ...ngumu kusema .. mda utasema !
 
Back
Top Bottom