Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

Cha kushangaza huyo Kamanda Mtatiro hajasema chochote kuhusu abiria aliyekuwa na huyo dreva. KULIKONI? Wamemuachia huru? Wamemkamata? Na kama amekamatwa kosa lake ni lipi? Kwanini hajahojiwa ili na yeye aseme kile kilichojiri hadi dreva akauawa?
 
Waislamu wana nini na polisi wetu?? Alianza Hamza sasa Saidi anataka kutuulia askari wetu tena. Au ndio mambo ya jihadi sijui haya !!!!
Hawa watu ni hatari kwa usalama wa nchi...wakimaliza polisi watahami kwa raia wema mana wanaona polisi ni kikwazo kwao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Polisiccm kwanini hawasemi kweli kuhusu kumpora Hamza mali yake? Kwanini hakuna uchunguzi huru ili kujua chanzo halisi cha Hamza kuamua kuwaua polisiccm tu na siyo raia?
Polisiccm ni magaidi na wanafanya unyama na ukatili wa kutisha nchi nzima zikiwemo dhuluma. Nchi ingekuwa ina utawala wa sheria basi hili jeshi lisingekuwa hivi lakini pamoja na Watanzania kulalamika kuhusu polisiccm na kuonyesha chuki kubwa dhidi ya polisiccm Serikali imepiga kimya tu huku polisiccm wakiendeleza udhalimu wa kutisha kote nchini.
Swali la kujiuliza..mbona wakati ana mimina risasi alikua anataja mungu wa dini ya haki?

#MaendeleoHayanaChama
 
Swala la kujiuliza kwanini hawa waliomfahamu kwa karibu walimuona ni mtu mwema hadi wengine kumuona ni shujaa? Polisiccm ilimkorofisha nini hadi aamue kuwaua!?



Swali la kujiuliza..mbona wakati ana mimina risasi alikua anataja mungu wa dini ya haki?

#MaendeleoHayanaChama
 
#
JamiiForums-489022816.jpg
 
"kitu kama kisuu " hii kauli tuu inaonyeshwa ni cooked

Walivyomuua walishindw kujua alikuw na ni nn
 
Usijifanye unawajua watanzania wakati hata mikoa mitano ya Tanzania hujafikisha...

Hyo habari nimeiona ITV ,Ni Kama ina ukakasi flani Mara waseme Ni jambazi Mara Ni dereva..
Na mpk dereva anashuka kwenye Gari alikuwa tayari ameacha njia imeenda kusimamia porini

Hatuwezi jua Ni kwa namna gani wale Askari waliisimamisha Gari mpk lipotee njia...

Majeruhi wenyewe hawajahojiwa na mwandishi Wala kuoneshwa sura km tunavyoona kwenye matukio mengine.

Tazama marudio ya taarifa halafu uje hapa useme police wanaonewa au la
Sibishani na mtu asiejielewa. Ni lazima nizunguke TZ nzima ili niwajue wa TZ? Nonsense
 
Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki.

Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinki anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari hao walilikwepa kisha gari likaingia msituni.

Dereva alishuka katika gari na kuwafuata askari huku askari wakidhani dereva yule ana nia ya kuomba radhi kwa alichokifanya lakini haikuwa hivyo na dereva huyo alitoa kitu mwilini kinachosadikiwa kuwa ni kisu na kuanza kumshambulia askari na kumjeruhi huku akitaka kumnyang'anya silaha lakini askari alifanikiwa kumdhibiti kwa kumpiga risasi.

Askari watatu walijeruhiwa katika tukio hilo.
Polisi wetu wamefundishwa kuua na siyo kudhibiti wahalifu.

Huyu jamaa angejeruhiwa kisha akamuliwe ukweli wa tendo alilotaka kufanya lina lengo gani.

Au inawezekana walitoleana maneno na polisi wakaamua isiwe tabu wakamfyatua.

Polisi mwenye silaha unasogelewaje na raia huku ana kisu usichukue tahadhari na kumdhibiti hata za miguu?
 
"Akashuka na kisu akawajeruhi askari watatu"
DHIMA YA MWANDISHI
Mwandishi wa maudhui hii ya kipolis
Ni kuwachora polisi kama viumbe wapole na wastaarabu na wasio na papara
Pia mwandish amemchora marehemu dereva kama kiumbe mwenye wenge, mapepe, asiye na simile wala mswalie Mtume

KUFAULU KWA MWANDISHI
mwandishi hajafauli kabisa andiko lako linatiashaka mwanzo katikati na mwisho

KUFELI KWA MWANDISHI
mwandishi kafeli mwanzo katikati na mwisho ,ameanyosha viashiria vyote muhimu vya uzandiki na ulafi katika hadithi yake
Naam
Umeiweka vyema sana hii hekaya inayofunika ukweli wa uhai wa Mtanzania aliyeuwawa na majambazi wakiwa kwenye sare za polisi
 
Kuna watu huwa wanaamini kuwa zile gun wanazobeba police hawapigi ningekuwa mimi ningemchapa anavyotaka kunisogelea tu hiyo sub kazi yake ni kuua watu wajinga kama hao sheria inasema silaha itatumika kwaajili ya kuokoa askari na watu wanaomzunguka wanapotaka kujeruhiwa au hatari ya kuuawa soja mpaka anajeruhiwa anaangalia tu hiiiiiii alivyoshuka tu kwenye lori anavyokuja chuma ipo chemba inasubili kutafuna mtu.
 
Huyu Raia mwema aliyeuliwa na Polisi ameniuma sana, Unakuta gari iko spidi 120 tena Lori lkn askari anang'ang'ana kusimama barabarani kuzuia gari husika.
Tunaomba Uchunguzi huru huyo RPC na genge lake waadhibiwe.
Kule ROMBO walimuua askari mwenzao wakaja kwenye media wakasema kagongwa na Pikipiki. Uchunguzi ulivyofanyika ukweli ukabainika kwamba ameuliwa kisa ugomvi wa kugawana Rushwa za Magendo. Sitakaa niamini hizi gonjera za Polisi kirahisi
 
.akina hamza tupo wengi polisi mjitafakari Mimi mwenyewe kuna polisi namtafuta ipo siku nitakuja kumsomea hukumu.
Alinitapeli laki moja na elfu themanini
 
Back
Top Bottom