Candlestick
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 238
- 456
Hesabu yake kwa mtindo wa tax mtandao ipoje?Magari sasa hivi abilia wengi hawapandi. Wanapanda bajaj achana na gari tafuta bajaj. Mimi nimebadilisha nakimbiza mbaya.

Mkataba bajaj 20k kwa siku. Hesabu ya kawaida elf 15.Hesabu yake kwa mtindo wa tax mtandao ipoje?