Dereva Taxi mtandao\Bolt

Dereva Taxi mtandao\Bolt

Ben golden

Member
Joined
May 12, 2025
Posts
19
Reaction score
7
Habari!

Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitano Sasa Kwa umakini na uaminifu mkubwa, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kufanyia Bolt. Akaunti ya Bolt ninayo, Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu Binafsi au Kampuni.​

Namba zangu Hizi:
0614424736
 
Hesabu gari ya mkataba na kawaida sh ngap Kwan wiki sahv Mkuu na kazi zinaenda fresh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom