Dereva mzoefu mwenye akaunti ya Bolt anahitajika

Dereva mzoefu mwenye akaunti ya Bolt anahitajika

Madamboss

Member
Joined
Sep 7, 2021
Posts
6
Reaction score
194
Anahitajika dereva mwenye leseni halali ya udereva na mwenye akaunti ya Bolt, pamoja na uzoefu wa kuendesha Bolt jijini Dar es Salaam.

Gari lililipo ni Toyota, IST linatumia mfumo wa mafuta (petrol). Malipo yatafanyika kwa mfumo wa hesabu ya siku na si kwa mkataba wa muda mrefu.

Dereva atahitajika kunipeleka kazini kila siku asubuhi kabla ya kuendelea na shughuli zake za Bolt. Hivyo, itapendeza zaidi awe anaishi maeneo ya Bombambili au maeneo ya jirani.

Aliye tayari na mwenye sifa tajwa, tafadhali anicheki DM kwa mawasiliano zaidi.
 
Ko kwa mfano siku sijapata chochote kitu silipwi,na vipi siku hiyo hesabu ya mafuta?
Kwenye Bolt haufanyi Movement tu bila sababu maalumu. Unaweza kukosa hesabu ila ni 1% chance ya kukosa ila ukikosa it means mafuta hayajatumika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom