Kuna wana siasa wengine watafukuzwa wakienda kumuona Kibanda hakuna haja ya kuwataja wanajijua wenyewe.
Yaani wewe hujui jinsi Slaa anavyohusika na kutekwa kwa Kibanda?
Yaani wewe hujui jinsi Slaa anavyohusika na kutekwa kwa Kibanda?
Mzizi wa ufitini umefika mwisho Zitto analingia kitu fulani lakini anatusaidia wananchi kumfahamu alipo, nina uhakika mawakiri wa Lwakatare watamuunganisha kama mtoa ushahidi si bure ile video ya Lwakatare Zitto,Msacky,Ludovicky na Mwigulu na Nape wanaijua syndicateMh. Zitto bana,
Ni wale wanasiasa ambao wao wako tayari kwa lolote. Either, YOU LOVE HIM or LOATHE HIM.
Jana ametema cheche hapa ambazo watu bado wanazijadiri, leo yuko South Africa kwa Kibanda.
He keeps on turning CHADEMA stomach.
Duh tumefika huko?duh hiyo kali kwa hiyo uko south africa na msacky kumpasha Kibanda kwamba Dr Slaa akimteka ,haya bwana tutauona mwisho wako tunakufuatilia na tutakuja kukwambia unafiki wako utakapokutumbukiza baharini
Wa kwanza ni MEMBE..,wa pili NAPE.
usije ukakwapua cm yangu,
We ujui Kikwete kumfunga Babu seya kwa ajili ya demu.Yaani wewe hujui jinsi Slaa anavyohusika na kutekwa kwa Kibanda?
Kuna wana siasa wengine watafukuzwa wakienda kumuona Kibanda hakuna haja ya kuwataja wanajijua wenyewe.
Simameni kidedea, msipende kukanusha vitu kwa sababu vtawaua kisiasa ... kama hampendi mambo fulani, semeni kuwa hampendi. Mkiitwa wanafiki poa tu!!Na uko Twitter aliandika hivi...."@zittokabwe: Offf to Jburg to see my brother and advisor #Kibanda .""@zittokabwe: Kaka yangu, ndugu yangu na rafiki yangu absakibanda anaendelea vizuri sana http://t.co/NV58vaq6ly""@zittokabwe: Ni lazima watu waliofanya unyama huu kwa absakibanda wapatikane. Sisi rafiki zake tusipohakikisha hilo tutakuwa tunamsaliti""@zittokabwe: Mola ashukuriwe sana, sikuamini kama nitamkuta Absalom Kibanda mzima na anapata nafuu."Anaendelea hiviii...."@zittokabwe: Demokrasia ni dhana. Kwenye demokrasia, watu wanapopishana mawazo ndio dhana inakomaa. Wanapopishana na kudhuriana dhana inauwawa"
Magamba na membe wana laana kwa kutesa..wote tuseme AMINA.
alikua anamaanisha yule marienge wenu
Ningeshangaa usingemtaja Dk Slaa maana ndiye target yenu.Mh.Zitto anaanza
kuwafunulia Viongozi wa CHADEMA maana ya ujumbe wake wa jana na vile
vile kuwasuta pale aliposema,
Mh. Zitto, kumbuka pia, JASUSI Lwakatare anatumia nyenzo za CHADEMA
kwenye kesi yake na huku Dr. Slaa akimkumbatia.
Kwani Kibanda kapelekwa Afrika Kusini lini? Msacky alikuwa anamsubiri Zitto atoke Jeshini ndio waende kumjulia hali Kibanda, au?
Membe unamaanishaKuna wana siasa wengine watafukuzwa wakienda kumuona Kibanda hakuna haja ya kuwataja wanajijua wenyewe.