MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
Mh.Zitto anaanza kuwafunulia Viongozi wa CHADEMA maana ya ujumbe wake wa jana na vile vile kuwasuta pale aliposema,
Mh. Zitto, kumbuka pia, JASUSI Lwakatare anatumia nyenzo za CHADEMA kwenye kesi yake na huku Dr. Slaa akimkumbatia.
CHADEMA sio pango la watesaji wala wauaji........Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi.
Mh. Zitto, kumbuka pia, JASUSI Lwakatare anatumia nyenzo za CHADEMA kwenye kesi yake na huku Dr. Slaa akimkumbatia.