Denis Msacky, Zitto Kabwe waungana kumjulia hali Kibanda

Denis Msacky, Zitto Kabwe waungana kumjulia hali Kibanda

Ningeshangaa usingemtaja Dk Slaa maana ndiye target yenu.
Dr. Slaa hawezi kuwa target kwa sababu yeye ndiyo nguzo na mratibu wa mission zote ambazo Lwakatare alikuwa anazisimamia.

Mungu ametumulikia mwanga kuyaona maovu yalikuwa yanafanywa na viongozi wa CHADEMA kwa ajiri ya mtaji wa kisiasa.

GOD IS GREAT.
 

Wote mnafahamika kwa aina ya comment zenu humu, wala hamsumbui vichwa vya watu makini waliojaa ndani ya CHADEMA.
Iko wazi ya kuwa mpo kwa nia ya kutimiza kale akunabii uchwara ka yule mtu wa kale ndani ya chama chenu.......Mtambue wazi HAMTAFANIKIWA NA WALA HUO UNABII HAUTA TIMIA!
Mimi naona bado hamjajifunza yaliyotokea kwa Odinga leo, mwenzenu kawa kimyaaaa
nyie bado longolongo hamtaki kupatana wala kutambua ukweli
Bado hamjaamini D. Msacky na Zitto wapo pamoja na Kibanda mnang,ang,ania oooo tunafuatwa HAMTAFANIKIWA
482793_10151838304278989_1144919687_n.jpg
 
Back
Top Bottom