Denis Msacky, Zitto Kabwe waungana kumjulia hali Kibanda

Denis Msacky, Zitto Kabwe waungana kumjulia hali Kibanda

Kuna wana siasa wengine watafukuzwa wakienda kumuona Kibanda hakuna haja ya kuwataja wanajijua wenyewe.

Nape alifukuzwa kama mbwa alipojaribu kupiga picha na kibanda kwa ajili ya kuweka facebook.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
sifagilii watu wanatanda pipa kwa gharama wanakaa hotelini ili wamwone kibanda huku akimlisha maneno matupu au chupa ya fanta kama ugua pole huku wakiwa wametumia mahela kujirusha kwenye mahoteli ya kimadiba. Atakaye panic kwa mawazo haya ni yeye aneenda hospitali anamwachia mgonjwa jero wakati alienda na benz. Watanzania hosp kuna gharama changia ili mgonjwa aondolewe na msongo nani ananilipia au zinatoka wapiza bili.
 
Kuna wana siasa wengine watafukuzwa wakienda kumuona Kibanda hakuna haja ya kuwataja wanajijua wenyewe.

Wa kwanza atakuwa yule mwenye orodha ya watu 11 atakaowatwanga kweupe na kuwahamisha kwenda nchi jirani.
 
Mh. Zitto bana,
Ni wale wanasiasa ambao wao wako tayari kwa lolote. Either, YOU LOVE HIM or LOATHE HIM.

Jana ametema cheche hapa ambazo watu bado wanazijadiri, leo yuko South Africa kwa Kibanda.

He keeps on turning CHADEMA stomach.
 
Wote mnafahamika kwa aina ya comment zenu humu, wala hamsumbui vichwa vya watu makini waliojaa ndani ya CHADEMA.
Iko wazi ya kuwa mpo kwa nia ya kutimiza kale akunabii uchwara ka yule mtu wa kale ndani ya chama chenu.......Mtambue wazi HAMTAFANIKIWA NA WALA HUO UNABII HAUTA TIMIA!
 
Mh. Zitto bana, Ni wale wanasiasa ambao wao wako tayari kwa lolote. Either, YOU LOVE HIM or LOATHE HIM. Jana ametema cheche hapa ambazo watu bado wanazijadiri, leo yuko South Africa kwa Kibanda. He keeps on turning CHADEMA stomach.
Mtu wa watu, hataki uzushi na majungu anapenda kazi kwa kwenda mbele
 
Wote mnafahamika kwa aina ya comment zenu humu, wala hamsumbui vichwa vya watu makini waliojaa ndani ya CHADEMA.
Iko wazi ya kuwa mpo kwa nia ya kutimiza kale akunabii uchwara ka yule mtu wa kale ndani ya chama chenu.......Mtambue wazi HAMTAFANIKIWA NA WALA HUO UNABII HAUTA TIMIA!
Usinijadiri mimi, kwa kufanya hivyo, unapoteza fursa muhimu ya kujadiri mada iliyoko mezani. I'M NOTHING.

Tumia muda wako vizuri ambao ninatumaini ni aghari kama lugha ya Malkia wa Uingereza inavyosema, TIME IS MONEY.
 
mh. Zitto bana,
ni wale wanasiasa ambao wao wako tayari kwa lolote. Either, you love him or loathe him.

Jana ametema cheche hapa ambazo watu bado wanazijadiri, leo yuko south africa kwa kibanda.

He keeps on turning chadema stomach.

uchwara...!
 
Kuna wana siasa wengine watafukuzwa wakienda kumuona Kibanda hakuna haja ya kuwataja wanajijua wenyewe.

Kama nape alivyofukuzwa baada ya kutaka kupiga picha na Kibanda
 
Mwandishi Wa Gazeti la mwananchi ndgu Denisy Msacky Ameungana na Naibu Katibu Mkuu Wa CHADEMA NDUGU ZITTO KABWE KUMJULIA HALI NDUGU ABSALOM KIBANDA HUKO AFRIKA KUSINI SOURCE OMARY LYAS FECBOOK WALL
 
Mh. Zitto bana,
Ni wale wanasiasa ambao wao wako tayari kwa lolote. Either, YOU LOVE HIM or LOATHE HIM.

Jana ametema cheche hapa ambazo watu bado wanazijadiri, leo yuko South Africa kwa Kibanda.

He keeps on turning CHADEMA stomach.

Kwani kuna ugomvi wo wote kati ya Kibanda na CHADEMA? Ninakumbuka wakati Kibanda bado amelazwa katika hospitali yetu kuu tukufu ya Muhimbili, Mhe Mbowe alipitia kumjulia hali au ninachnganya matukio!!!!!
 
Back
Top Bottom