Dena Amsi na Mr Rocky

Swaiba !
Mr Rocky sio kama umekurupuka? Nway kichwa ya mtu serikali ya mtu!
Btw si ungetutaka ushauri swaiba zako bifoo hujavunja privias kopo?
Au umekua "advicesable proof ?"
 
Last edited by a moderator:
Swaiba !
Mr rocky sio kama umekurupuka? Nway kichwa ya mtu serikali ya mtu!
Btw si ungetutaka ushauri swaiba zako bifoo hujavunja privias kopo?
Au umekua "advicesable proof ?"
Mkuu wangu kaka yangu Judgment nimeseek ushauri kwa washauri wengi tuu kabla ya kuchukua maamuzi ndo maana wakati anaondoka Dena Amsi alipokea talaka moja tuu maana anaweza rejea muda wowote ndo maana mkuu wangu
Ushauri wako ni wa muhimu sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom