Dena Amsi na Mr Rocky

oooooooooooooh myyyyyyyyyyyyyyy gooooooooooooooooood!!!
binamu Mr Rocky waaaaaaaaaaat hav you done?!?!!?!??!?!?!?!?!?

mpenzi sosoliso com zis way please unipepee presha imepanda


Binamu Paloma hiyo ndio habari bana
mambo yamekuwa hayo na mwambie sosoliso aniletee yale mafile mengine kule kwako
Amini binamu mambo yalifungwa sasa yamefunguliwa
 
Last edited by a moderator:
Nasubiri kauli ya Dena Amsi , natumai atatumia utaratibu alioutumia kunifikishia ujumbe alipoamua kujitoa, until then I keep my fingers crossed..

We endelea kusubiri kauli ila taarifa rasmi angalia angalia tuu humu utaipata Baba V

Tunaaminiana sana ila ushemeji kula no!!! I said stay away from my nkulo.

Hata yeye anajijua jinsi ninavyo mpeee………….!!?? Mpenda.


Mkuu Slave sawa bana naona huniamini kabisa aise ila mimi na Dena Amsi tumesharudiana naamini usalama kwa mkeo Evelyn Salt utakuwepo sana
 
Last edited by a moderator:
Jamani muwe mnaupdate status zenu kwenye profile....especially mkiwa singo!!!!!!!
yani kumbe Mr Rocky muda wote huo ulikuwa singo?
Ukisikia kupishana na gari la mshahara ndo huku sasa.....haya bana.
 
Last edited by a moderator:
Jamani muwe mnaupdate status zenu kwenye profile....especially mkiwa singo!!!!!!!
yani kumbe Mr Rocky muda wote huo ulikuwa singo?
Ukisikia kupishana na gari la mshahara ndo huku sasa.....haya bana.

Alikuwa single!??? nataka nimskie Mamndenyi anasemaje, maana nilimuonya sana hadi akawa mkali sasa leo naona ndo amejua kuwa kumbe NYUKI HAKUMBATIWI...
 
Last edited by a moderator:
Mhhh hebu ngoja nitafakari kidogo kuhusu hili hapa la wewe kuwa :shock: halafu nitakuambia
Huwa unatafakari wewe!?? afu juzi nimepita CHANJI nimemkuta yule mwanamke uliyemzalisha watoto mapacha, peleka pesa kwa ajili ya matunzo ya watoto, sio unajua kuoaoa tu.
 
Back
Top Bottom