Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Ndugu zanguni,

Kama wote mjuavyo kuwa kama unataka uwe padri ni lazima uwe na moyop wa kusamehe, kusikiliza na Upendo. Kama ukishindwa kuwa nayo hayo matatu basi wewe huwezi kuwa mtumishi wa Mungu tena na inabidi ufukuzwe kwenye mafunzo ya upadre

Dr Slaa alisomea upadre na akashindwa, wengi hatujui ni kwa nini alishindwa hii kazi ya kutumikia kanisa na kuamua kuingia kwenye siasa . Lakini leo sote tumejua

Dr Slaa sio mtu wa kusamehe bali ni mtu wa visasi

Dr Slaa sio mtu wa kusikiliza maoni ya wanachama wake bali anapenda kusikia neno NDIO MZEE!

Dr Slaa sio mtu mwenye upendo kwani ameonyesha wazi jinsi anavyowachukia wanaompinga kwa kuwafukuza kama kuku. (Anasahau amri inayosema mpende adui yako)

Dr Slaa ni dikteta ndio maana maamuzi yake na ya Mbowe huwa ni ya kibabe zaidi biloa hata kujali demokrasia ya chama inasema nini.

Dr Slaa hawezi kuyafanyia matendo maneno anayohubiri ya kupiga vita ufisadi kwani yeye mwenyewe ni Fisadi namba moja.

Dr Slaa Mbowe na Lema ni hatari kwa Chadema na taifa kwa ujumla kwani wao ndio watakaoua upinzani ndani ya nchi kwa kusababisha migawanyiko kwa sababu ya tabia zao za kibinafsi na kikabila.

Ni wakati sasa kwa vijana wa Chadema kusimama na kujitambua.

Msikubali kuendeshwa kama misukule.

Dr utanisamehe, lakini nadhani ni wajibu wangu kusema ukweli kwani kama ulivyosema unafiki na uoga ni dhambi mbaya sana.
slaa-200px.jpg




JITAMBUE!


Uongo uliotukuka,
  • Zidumu Fikra duni kwetu sisi tulio duni.
  • Idumu Dhana ya kwamba sisi ndio wenye nchi na wenye dhamana ya wote
Ipo siku tutatambua madhira ya kuwa negative na destructive kwa vitu ambavyo ni productive.

Lakini ninaoufahamu ni kwamba Dr. Slaa si kwamba alikosa upadre ila alitosa Upadri. Mimi na Wewe tumeukosa Upadri na Ukatibu Mkuu Chadema, Ila Dr. Slaa aliupata Upadri akautosa, na sasa keshaupata U-katibu Mkuu CHADEMA ambao mimi na wewe tunaotumbua vimacho hapa JF usiku na mchana bado kupata............
 
Anadhulumu adi yatima atakuwa na upendo gani arudishe pesa za rambirambi. Mkuu umepatia kabisa
Hao yatima unaosema nimewadhulumu ni akina nani?

Au ile ahadi ya Chadema UK kutoa mchango ilichukuliwa kuwa ni ahadi yangu?

Unajua kuna mayatima wangapi Tanzania tena wasiokuwa na mzazi hata mmoja?

Au unadhani mimi ni UNICEF?
 
Hao yatima unaosema nimewadhulumu ni akina nani?

Au ile ahadi ya Chadema UK kutoa mchango ilichukuliwa kuwa ni ahadi yangu?

Unajua kuna mayatima wangapi Tanzania tena wasiokuwa na mzazi hata mmoja?

Au unadhani mimi ni UNICEF?

Dhambi ya kula rambirambi itakutafuna hadi kaburini.peleka rambirambi kwa mjane wa mwangosi na uombe radhi ili kujinusuru na mabalaa yanayokunyemelea.ni ushauri.
 
Naona watu wamehama toka kwenye mada hadi kumjadili mtu. Tutafika?
 
Wanaukumbi.

Baada ya sakata la Chadema kuwavua madaraka Kabwe Zuberi Zitto, Mb na Dk. Kitila Mkumbo, baada ya kufanya mkutano na waandishi wa habari viongozi wa Chadema pamoja na wanachama wengi wa Chadema walidhani watajitoa Chadema kinyume chake wameapa kubaki ndani ya chama kupigania demokrasia, mpaka ndoto zao zitakapokamilika kutumikia watanzania kupita Chadema Kabwe Zuberi Zitto, kwenye mkutano wake na waandishi wa habari alitoa mifano mingi ya viomgozi duniani ambao walifukuzwa ndani ya vyama vyao lakini hatimaye wakafanikiwa kupambana na demokrasia wakashinda, alitoa mfano waMahathiri Mohammed alikuwa Waziri Mkuu wa Malaysia kwa miaka 22, pamoja na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma na aliyekuwa wa Afrika Kusini Thabo Mbeki.

attachment.php

Ninatambua kwamba kuna watu walitegemea leo ningejibu mapigo na ningewazodoa watu kwa majina kama ilivyo kawaida katika siasa za Tanzania. Natambua pia kwamba, kama ilivyo kawaida wakati wa migogoro katika vyama vya siasa hapa Tanzania, kuna watu walitegemea leo ningetangaza 'maamuzi magumu'. Natambua kwamba wapo ambao wangependa kupata nafasi ya kuendelea kutumia suala hili katika harakati zao za kudhoofisha mapambano ya demokrasia na uthabiti wa siasa za ushindani nchini mwetu. Napenda wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia na siasa safi wote nchini watambue kwamba mimi bado ni mwanachama mwaminifu wa chama hiki na nitakuwa wa mwisho kutoka kwenye chama hiki kwa hiari yangu. Nitafuata taratibu zote ndani ya chama katika kuhitimisha jambo hili.

Naomba wanachama waelewe kwamba mimi kama binadamu ninaumia ninapopigwa. Tuhuma ninazorushiwa ni kubwa na zinanikwaza. Tuache siasa za uzushi ili tujenge chama chetu na nchi yetu, ili hatimaye tuwakomboe Watanzania wenye matarajio na imani kubwa kwa chama chetu.

Kama mwanasiasa kijana niliyekaa katika siasa kwa muda sasa yapo mengi mazuri nimeyafanya. Lakini kuna maeneo nilipojikwaa na yapo makosa niliyofanya kisiasa katika maisha yangu ya siasa.

Kinachoendelea ndani ya chama chetu ni mapambano ya kukuza demokrasia. Ni mapambano baina ya wapenda demokrasia dhidi ya wahafidhina, waumini wa uwajibikaji dhidi ya wabadhirifu na wapenda siasa safi dhidi ya watukuzao siasa majitaka. Hii ni changamoto kubwa ndani ya chama chetu inayohitaji uongozi shupavu kuikabili. Nitasimama daima upande wa demokrasia. Kama alivyopata kunena mmoja ya wanasiasa maarufu, 'kiwango cha juu kabisa cha uzalendo katika nchi ni kukubali kutofautiana kimawazo', na ninatamani huu ndio uwe utamaduni wa chama chetu.
MMG24743.jpg

Kukataa siasa za ushindani ndani ya chama ni kuhujumu demokrasia na ni usaliti kwa misingi mama ya chama ambayo ni uhuru wa kweli na mabadiliko ya kweli. Hisia za usaliti na umamluki zilitumika enzi za ukomunisti katika kunyamazisha wapinzani ndani ya vyama vya siasa na katika nchi. Zilikuwa ni njia haramu zilizozoeleka ambazo hatimaye zilizaa udikteta wa kutisha katika mataifa ya kikomunisti. Tusikubali utamaduni wa kuhisiana usaliti na umamluki ukaota mizizi katika chama chetu na katika nchi kwa sababu utaua demokrasia na mfumo wa vyama vingi utakuwa hauna maana tena.

6. Nitafuata taratibu zote za chama kama zilivyoelekezwa na Kamati Kuu na kwa mujibu wa katiba yetu, na nitashiriki kikamilifu katika kutuliza hali ya kisiasa ndani ya chama ili kuhakikisha kwamba tunabaki imara, na CHADEMA inaendelea kuwa tumaini la watanzania.
photo+%25287%2529.JPG


amesema kuwa chama hicho kitaendelea kuwafukuza wote wanaokihujumu huku akieleza kwamba, anaunga mkono kuvuliwa uongozi kwa Zitto Kabwe na Dk Kitila Mkumbo. Akizungumza katika mahojiano maalumu na gazeti hili, nyumbani kwake jana, Mtei aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu (BOT) na Waziri wa Fedha katika utawala wa awamu ya kwanza wa Mwalimu Julius Nyerere, aliweka wazi kuwa daima ataunga mkono dhamira ya kukisimamia chama hicho aliyoitaja kuwa ni safi.


"Naunga mkono uamuzi wote wa Kamati Kuu, kuwasimamisha na kuwavua uongozi Naibu Katibu Mkuu wetu Zitto Kabwe na Dk Kitila Mkumbo. Na kwa sababu Chadema inataka kusonga mbele, lazima iwafukuze mafisadi na wezi wanaoshirikiana kukihujumu chama.
 
Mmekazana CDM mbona Cheyo wa UDP na Mtikila hamjawaona?
 
Wanaukumbi.

Baada ya sakata la Chadema kuwavua madaraka Kabwe Zuberi Zitto, Mb na Dk. Kitila Mkumbo, baada ya kufanya mkutano na waandishi wa habari vioongozi wa Chadema pamoja na wanachama wengi walidhani watajitoa Chadema kinyume chake wameapa kubaki ndani ya chama kupigania demokrasia, Kabwe Zuberi Zitto, kwenye mkutano wake na waandishi wa habari alitoa mifano mingi ya viomgozi duniani ambao walifukuzwa ndani ya vyama vyao lakini hatimaye wakafanikiwa kupambana na demokrasia wakashinda, alitoa mfano waMahathiri Mohammed alikuwa Waziri Mkuu wa Malaysia kwa miaka 22, pamoja na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma na aliyekuwa wa Afrika Kusini Thabo Mbeki.
attachment.php


MMG24743.jpg


photo+%25287%2529.JPG



Mahathir hajawahi kukisaliti wala kuhujumu chama chake.Huu ni upotoshaji.

Hakuna mapambano yoyote isipokua traitors kuadhibiwa na pia chama kusimamia nidhamu.Chama kisichokua na nidhamu huzaa serikali ya kihuni isiyokua na heshima
 
Ndani ya CCM ukiwa na
mawazo tofauti wewe
ni kibaraka wa Upinzani,Ukiwa
Upinzani na mawazo tofauti wewe
ni msaliti-John Magale Shibuda
 
Wadau napata sana faraja kwa jina hili la cdm linavyosound masikioni yani ni tofauti sana na ...jaribu tu kulitamka utakubaliana na mimi hivi nani alitunga jina hili?
 
Ndugu zangu nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu , ambapo wengi wenu mumekuwa mukichangia juu kutokuwepo demokrasia ndani ya chama cha CHADEMA nakugundua kuwa hiki kitu DEMOKRASIA wengi wenu hamjui nini? Wengi wenu mumeweka akili zenu kwenye uchaguzi kwamba kuminya demokrasia ni kutofanya uchaguzi , na kama utacgagua umekuwa mudemokrasia. Kuchagua ni sehemu ndogo ya demokrasia, demokrasia ni pana sana.
Demokrasia ina sehemu tatu:
Sehemu ya kwanza ni kuunda demokrasia.
Katika kuunda demokrasia ni pale vigezo vya jinsi ya kutengeneza demokrasia huundwa. Ni nani watavitengeneza vigezo hivyo na vimepimika kuwa vitawawakilisha walio wengi? Vinapanga namna ya kufanya uteuzi, Ni nani atachagua na nani atachaguliwa. Na katika kuchagua anayechaguliwa amechaguliwa na wengi? Uchaguzi unaweza kufanyika lakini waliochagua wamewawakilisha watu wachache kwa maslahi yao. Au wanaochagua wameisha jipanga kivyao ili hata kama watakaochagua wakiwa ni wengi bado wanachagua kutoka katika watu wale wale. Kwa hiyo Kuchagua ili uwe msingi wa kidemokrasia, lazima waliochagua wawe wamechagua katika mfumo uliowashirikisha wengi katika kikundi.
Sehemu ya pili kuandaa na kutengeneza kitako cha demokrasia.
Katika kuandaa na kutengenekitako cha demokrasia ni kule ambapo kila mmoja anashiriki kufanya /kuchagua na kuchaguliwa. Kwa ngazi hii pia demokrasia inaweza kuonekana imefanyika kumbe hamna demokrasia kabisa. Endepo kipengele hiki kitafanyika kwa msukumo usio hoja bali nguvu ya fedha, vitisho, wizi wa kura, udanganyifu nk, hata kama aliyeshinda akipata 100% bado demokrasia itakuwa imeminywa.
Sehemu ya tatu ni kuhakikisha demokrasia inatekelezwa.
Katika kuhakikisha demokrasia inatekelezwa ni kule shughuli za uendeshaji za kila siku za kikundi husika kufanyika kwa taswiara ya matarajio ya wengi. Hapa ni katika Nyanja zote za kiutendaji na kiundeshaji.
Sasa narudia kile kilichonisukuma; ni ule msisitizo ambao umekuwa ukitamalaki humu katika mtandao kwa kipindi kirefu. Ukiuangalia sana ni kuwa kundi la CCM linawaona kundi la CDM kutokuwa na demokrasia ndani ya chama chao. Na wao wanajiimanisha kuwa wao kwao demokrasia ni safi.
Maswali yanakuja: CDM hawana demokrasia kwa sehemu ipi kati ya hizo sehemu nilizokutajia. Na CCM wao ni wazuri kwa sehemu ipi kati ya hizo hapo juu. Je kuna wakumcheka mwenzie kuwa yeye sio mwana demokrasia???
Muundo wa CCM ni mzuri ktk sehemu ya kwanza? Kuna uongozi kuanzia balozi wa nyumba kumi kumi, hizo nyumba kumi ni asilimia ngapi zinamchagua mjumbe huyo? Muundo wa tawi, kata, wilaya hadi taifa vina uwakilishi wa wingi wa wanachama wa CCM. Je kila mwanachama ana fursa sawa na mwingine ya kuchaaguliwa kwa ngazi zote (hapa nimewaona wale wa CDM wanahoji kama iliwahi Mkiti CCM kuwahi kuwa na mshindani mwingine ili wanachama wawe na uchaguzi mpana katika kumpata mkiti wao? Hili ni hapana) . Je chadema wao kwa hapa wakoje. Sina uhakika lakini inawezekana nao ni hivyo hivyo.
Sehemu ya pili tuangalie vyama kama havitumii rushwa, hakuna udanganyifu, hakuna vitisho, nk- Hapa CCM tulishawasikia wao wenyewe wakisema kuwa rushwa kwo ipo kwa kiwango kikubwa katika kuchagua na kuchaguana- Hivyo hakuna demokrasia. Kwa CDM sijasikia lakini inawezeka na wao rushwa ipo.
Sehemu ya kwanza na ya pili wana JF demokrasia inaweza kufinyangwa bado jamii ikafaidi matunda ya demokrasia kama demokrasia itakapoonekana ikitendeka. Hapa ni pale kama maamuzi ya takayokuwa yapitishwa yanakuwa katika maslahi ya wote (jamii, wanachama na raia kwa vyama vya siasa. )
Nihitimishe kuwa mimi ningepewa muda wa kutoa ukosoaji juu ya kutoona demokrasia inatendeka, CCM bado wanahitaji kuzodolewa sana, sana kuwa wao katika demokrasia wapo nyuma sana. Kigezo kikubwa ni jinsi wanavyotoa maamu bungeni. Utakuta maamuzi yanayofikiwa hayapo katika matakwa ya watanzania walio wengi. Unamkuta mbunge anasema ndio wakati kwa undani alitaka aseme hapana. Hapa demokrasia inabinywa kwa kiwango cha kupindukia.
Hivyo kama ni wanani wangekuwa wanastahili kuzomea kuwa wenzao hawana demokrasia, CDM wanastahili kuwazomea CCM>
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
CHADEMA JIMBO LA TEMEKE
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH:KUPINGA KAULI YA MWENYEKITI WA JIMBO LA TEMEKE NDUGU JOSEPH PATRICK YOHANA ALIOITOA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu wanahabari sisi viongozi na wanachama wa Chadema Temeke tunapinga kwa kauli moja tamko liliotolewa na mwenyekiti wa Chadema jimbo la Temeke lakupinga maamuzi ya kamati kuu na kudharau agizo la katibu mkuu wa chama Dr Wilbrod salaa ya kuwa mijadala yote inayohusu uamuzi wa kamati kuu kuwavua uongozi Zitto na wenzake imefungwa
Hii inadhihirisha kuwa mwenyekiti wa jimbo la Temeke hana utovu wa nidhamu kwa chama na viongozi wake wajuu
Kauli ambazo bwana joseph yona amezitowa katika magazeti ya 29-11-2013 mwananchi,Rai,Mtanzani na majira ni kama zifwatazo.
1. Kupinga vikali maamuzi ya kamati kuu kwa niaba ya wanachama wote wa Jimbo la temeke
2. Kuziita operation za chama yani vuguvugu la mabadiliko M4C ni uhaini
3. Kusema kuwa kila wakati chama kinapoelekea kwenye uchaguzi za ndani Viongozi wanaanzisha migogoro
Kwa kufanya haya yote bwana joseph yohna Patrick avunja katiba kifungu namba 10.1(viii,ix,x)
Msimamo wa chama Temeke
Sisi kama wanachama na viongozi wa jimbo la Temeke tuna towa tamko rasmi kwamba tunaunga mkono uhamuzi wa kamati kuuu, pia tuna mtaka bwana Joseph Yohna Patrick afute kauli yake kwa vyombo vya habari la sivyo tutamchukulia hatua za kinidhamu
Taarifa hii imeandaliwa na wanachama na viongozi wa M4C Temeke
Asante
 
Yona ni kibaraka wa Mchange ambaye amenunuliwa na CCM, huyo Yona ana njaa kali kupita maelezo,natoa rai Yona atimuliwe mara moja na anyang'anywe uanachama, anajuwa baada ya hili vuguvugu atakuwa hoi kwa sababu mteja wake atakuwa hana furum ya kuongelea Yona,Mchange kushnei
 
Mimi siwapendi hawa vijana kwa sababu ys visenti vidogo wanavyopewa na CCM
 
1. Kupinga vikali maamuzi ya kamati kuu kwa niaba ya wanachama wote wa Jimbo la temeke
2. Kuziita operation za chama yani vuguvugu la mabadiliko M4C ni uhaini
Taarifa hii imeandaliwa na wanachama na viongozi wa M4C Temeke
Asante

Hao wanachama wamekutana lini na kukubaliana kutoa tamko rasmi? Inaelekea kila kibaraka sasa anajitokeza kujifanya anawakilisha mawazo ya wengi, kwa nini uchaguzi usifanyike ili tuone kati ya Mbowe na Zitto ni nani ataibuka kidedea?
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
CHADEMA JIMBO LA TEMEKE
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH:KUPINGA KAULI YA MWENYEKITI WA JIMBO LA TEMEKE NDUGU JOSEPH PATRICK YOHANA ALIOITOA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu wanahabari sisi viongozi na wanachama wa Chadema Temeke tunapinga kwa kauli moja tamko liliotolewa na mwenyekiti wa Chadema jimbo la Temeke lakupinga maamuzi ya kamati kuu na kudharau agizo la katibu mkuu wa chama Dr Wilbrod salaa ya kuwa mijadala yote inayohusu uamuzi wa kamati kuu kuwavua uongozi Zitto na wenzake imefungwa
Hii inadhihirisha kuwa mwenyekiti wa jimbo la Temeke hana utovu wa nidhamu kwa chama na viongozi wake wajuu
Kauli ambazo bwana joseph yona amezitowa katika magazeti ya 29-11-2013 mwananchi,Rai,Mtanzani na majira ni kama zifwatazo.
1. Kupinga vikali maamuzi ya kamati kuu kwa niaba ya wanachama wote wa Jimbo la temeke
2. Kuziita operation za chama yani vuguvugu la mabadiliko M4C ni uhaini
3. Kusema kuwa kila wakati chama kinapoelekea kwenye uchaguzi za ndani Viongozi wanaanzisha migogoro
Kwa kufanya haya yote bwana joseph yohna Patrick avunja katiba kifungu namba 10.1(viii,ix,x)
Msimamo wa chama Temeke
Sisi kama wanachama na viongozi wa jimbo la Temeke tuna towa tamko rasmi kwamba tunaunga mkono uhamuzi wa kamati kuuu, pia tuna mtaka bwana Joseph Yohna Patrick afute kauli yake kwa vyombo vya habari la sivyo tutamchukulia hatua za kinidhamu
Taarifa hii imeandaliwa na wanachama na viongozi wa M4C Temeke
Asante
Ma F4F waja na mbinu za kujiokoa na mashambulizi.
Lakini utwajua tu kwa jinsi wanavyokurupuka kuandika walichoamriwa kuandika!
Hapo kwenye red, mtoa posti fafanua!!
 
mm nikiwa mfuatiliaji wa siasa zetu kiukweli wala bila unafiki ndani ya chadema chama tulichokiamini, chama kilichoanza kuleta matumaini sasa demokrasia ndani ya chama shakani kama si kumalizwa
1. uchaguzi wa bavicha ulionyesha ni namna gani demokrasia kwa vitendo ni ngumu, kuna hujuma kubwa iliofanywa hata haisemeki wakti viongozi wa bavicha wakichaguliwa hii kila mpenda demokkrasia alikwazika mno
2. mwaka 2009 DEMOKRASIA ilizuiwa kufanya kazi yake kwani baadhi ya waasisi wa chama pamoja na wazee kuzuia misingi ya demokrasia ambayo in asema kila mtu yupo huru kuchagua au kuchaguliwa provided havunji katiba lakini hakuna aliejali takwa hili la kidemokrasia
3. uhuru wa mawazo sasa ni kipimo cha utiii ndani ya chama, ukiwa uko tofauti na baadhi yaviongozi unapewa label ya usaliti kisha unaandailiwa sanduku la kuzikiwa ili usisike tena. demokrasia ya kweli si kukimbia changamoto kwa kuwafukuza watu wenye maoni tofauti bali ndio afya ya chama kwani mnajua mkikosea ndani kwa ndani mnakosoana kisha mnajirekebisha, naogopa sasa chama kinakuwa cha kidikteta kama alivyosema malimu nyerere kama angetaka kuwa dikiteta agekuwa kutokana na jinsi alivyokuwa hapendi kukosolewa na alipenda aambiwe zidumu fikra za mwenyekiti....zidumu hapo ndipo hata mwasisi EDIN MTEI alipoamua kutoka CCM sasa mbona leo tumesahau kwa muda mfupi huu na kutaka kukata matawi wakati ndio yanashikilia mti ili ukue
4. uwazi wa matumizi na uteuzi ndani ya chama, demokrasia maana yake ni uwazi kwa kila hatua inayofanyika ndani ya chama, utakuwa mwendawazimu kusema ndan ya chama hakuna malalamiko juu ya matumizi ya fedha na rasilimali za chama pamoja na uteuzi wa maafisa,wakuregenzi, mpaka namna viti maalum vyawanawake kote kuna malalamiko. kutumia ubabe kuua hoja au malalamiko huko ni kuua demokrasia bali demokrasia ni kuijib hoja kwa data, uwazi na malalamiko yataisha
5.waasisi kuchagua nani atakuwa kiongozi au nani hatakuwa kiongozi huo ni ubakaji wa wazi wa demokrasia mfano mzuri ni mzee wetu ARFI alilalamika wazi juu ya mwasisi kuingiliakazi za chama na kutaka kuwachagulia viongozi demokrasia ya kweli haiko hivo, viongoz wote wawe na iko access yanafasi yoyote ndani ya chama n sanduku la kura ndilo liamue nan awe kiongozi wetu na nan asiwe kiongzi wetu.
Democracy consists of four basic elements:

I want to begin with an overview of what democracy is. We can think of democracy as a system of government with four key elements:


  1. A political system for choosing and replacing the government through free and fair elections.

2. The active participation of the people, as citizens, in politics and civic life.

3. Protection of the human rights of all citizens.

4. A rule of law, in which the laws and procedures apply equally to all citizens.


I want to talk about each of these four elements of what democracy is. Then I will talk about the obligations and requirements of citizens in a democracy




I. Democracy as a Political System of Competition for Power

Democracy is a means for the people to choose their leaders and to hold their leaders accountable for their policies and their conduct in office.

The people decide who will represent them in parliament, and who will head the government at the national and local levels. They do so by choosing between competing parties in regular, free and fair elections.

Government is based on the consent of the governed.

In a democracy, the people are sovereign-they are the highest form of political authority.

Power flows from the people to the leaders of government, who hold power only temporarily.

Laws and policies require majority support in parliament, but the rights of minorities are protected in various ways.

The people are free to criticize their elected leaders and representatives, and to observe how they conduct the business of government.

Elected representatives at the national and local levels should listen to the people and respond to their needs and suggestions.

Elections have to occur at regular intervals, as prescribed by law. Those in power cannot extend their terms in office without asking for the consent of the people again in an election.

For elections to be free and fair, they have to be administered by a neutral, fair, and professional body that treats all political parties and candidates equally.

All parties and candidates must have the right to campaign freely, to present their proposals to the voters both directly and through the mass media.

Voters must be able to vote in secret, free of intimidation and violence.

Independent observers must be able to observe the voting and the vote counting to ensure that the process is free of corruption, intimidation, and fraud.

There needs to be some impartial and independent tribunal to resolve any disputes about the election results.

This is why it takes a lot of time to organize a good, democratic election.

Any country can hold an election, but for an election to be free and fair requires a lot of organization, preparation, and training of political parties, electoral officials, and civil society organizations who monitor the process.


II. Participation: The Role of the Citizen in A Democracy

The key role of citizens in a democracy is to participate in public life.

Citizens have an obligation to become informed about public issues, to watch carefully how their political leaders and representatives use their powers, and to express their own opinions and interests.

Voting in elections is another important civic duty of all citizens.

But to vote wisely, each citizen should listen to the views of the different parties and candidates, and then make his or her own decision on whom to support.

Participation can also involve campaigning for a political party or candidate, standing as a candidate for political office, debating public issues, attending community meetingsand membership civic meetings, bably best placed in Article 5 on the Judicial Authority.materials are.pecified.il. ency Council, petitioning the government, and even protesting.

A vital form of participation comes through active membership in independent, non-governmental organizations, what we call "civil society."

These organizations represent a variety of interests and beliefs: farmers, workers, doctors, teachers, business owners, religious believers, women, students, human rights activists.

It is important that women participate fully both in politics and in civil society.

This requires efforts by civil society organizations to educate women about their democratic rights and responsibilities, improve their political skills, represent their common interests, and involve them in political life.

In a democracy, participation in civic groups should be voluntary. No one should be forced to join an organization against their will.

Political parties are vital organizations in a democracy, and democracy is stronger when citizens become active members of political parties.

However, no one should support a political party because he is pressured or threatened by others. In a democracy, citizens are free to choose which party to support.

Democracy depends on citizen participation in all these ways. But participation must be peaceful, respectful of the law, and tolerant of the different views of other groups and individuals.
III. The Rights of Citizens in a Democracy

In a democracy, every citizen has certain basic rights that the state cannot take away from them.

These rights are guaranteed under international law.

You have the right to have your own beliefs, and to say and write what you think.

No one can tell you what you must think, believe, and say or not say.

There is freedom of religion. Everyone is free to choose their own religion and to worship and practice their religion as they see fit.

Every individual has the right to enjoy their own culture, along with other members of their group, even if their group is a minority.

There is freedom and pluralism in the mass media.

You can choose between different sources of news and opinion to read in the newspapers, to hear on the radio, and to watch on television.

You have the right to associate with other people, and to form and join organizations of your own choice, including trade unions.

You are free to move about the country, and if you wish, to leave the country.

You have the right to assemble freely, and to protest government actions.

However, everyone has an obligation to exercise these rights peacefully, with respect for the law and for the rights of others.
 
Haya mambo ya kukopi na kuweka hapa ni noma sana, utajua vipi kama CDM kuna demokrasia au la wakati, umeshindwa kutoka nje ya boksi la CCM??? wewe ni kama kifaranga akiwa ndani ya yai, anatamani kujua kama yeye ni kuku au kenge maana wote huwa ndani ya yai, ni mpaka watoke ndo hujitaambua.
 
Back
Top Bottom