Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Umesema vyema, je unaweza nisaidia ni chama gani hapa tanzania chenye demokrasia?
 
Umesema vyema, je unaweza nisaidia ni chama gani hapa tanzania chenye demokrasia?

watanzania bwana unamuuliza njia ya kufika ubungo anakuuliza umetokea wapi?/ ubongo utakuwa umeliwa na virus tunaitaji wameze antivirus cd
 
watanzania bwana unamuuliza njia ya kufika ubungo anakuuliza umetokea wapi?/ ubongo utakuwa umeliwa na virus tunaitaji wameze antivirus cd

Unaweza ukawa umetoa criteria nzuri sana za true democracy na ukazichukua criteria hizo na kuifanyia analysis Chadema basing on those criteria. Fine, lakini ulichokosa katika analysis yako ni "Control Experiment" I mean ungechukua analysis zako ukachukua na model political party inayokidhi at least 80% ya criteria zako kisha ukawa unachukua chama kimoja kimoja na kufanya test experiment kama kinakidhi criteria with control to the model political part. Sasa wewe unachukua chama kimoja tu, hiyo inaonekana kama ni personal attack against that political party. Na ndio maana great thinkers wanakupa different views kwa sababu analysis yako imekosa "Control Model"
 
tunaongelea wachina kukamatwa na makontena matano ya pembe za ndovu ukitaka democrasia na wewe fanya democrasia sio uhaini ukibambwa unaanza kulia

umemjibu vizuri sana,.Hatuna muda wa kupoteza kujadili mambo yasiyo na tija. Kwa sasa tuko bize kujadili mustkabali wa taifa letu.;;
 
Unaweza ukawa umetoa criteria nzuri sana za true democracy na ukazichukua criteria hizo na kuifanyia analysis Chadema basing on those criteria. Fine, lakini ulichokosa katika analysis yako ni "Control Experiment" I mean ungechukua analysis zako ukachukua na model political party inayokidhi at least 80% ya criteria zako kisha ukawa unachukua chama kimoja kimoja na kufanya test experiment kama kinakidhi criteria with control to the model political part. Sasa wewe unachukua chama kimoja tu, hiyo inaonekana kama ni personal attack against that political party. Na ndio maana great thinkers wanakupa different views kwa sababu analysis yako imekosa "Control Model"
mkuu huwezi kucorect mistke kwa kucommit another mistake
 
Unaweza ukawa umetoa criteria nzuri sana za true democracy na ukazichukua criteria hizo na kuifanyia analysis Chadema basing on those criteria. Fine, lakini ulichokosa katika analysis yako ni "Control Experiment" I mean ungechukua analysis zako ukachukua na model political party inayokidhi at least 80% ya criteria zako kisha ukawa unachukua chama kimoja kimoja na kufanya test experiment kama kinakidhi criteria with control to the model political part. Sasa wewe unachukua chama kimoja tu, hiyo inaonekana kama ni personal attack against that political party. Na ndio maana great thinkers wanakupa different views kwa sababu analysis yako imekosa "Control Model"

Hapo umemuelekeza vizuri,alikuwa haelewi tunampinga nini humu! Yaani ana maana CCMndio wanaDemocracy! What a joke,hivi mwenyekiti mwenyewe wanampataje? Je wabunge? huwa wanafuata democracy? Au Autocracy? Au yeye anafikilia hama chake wanafuata nini? Ndipo aje CHADEMA!

yeye anachojua democracy ni Zitto kuwa mwenyekiti tuu,na ndi muelekeo wa Thread yake na watu wameisha msoma ndio maana anapata majibu asiyotarajia! Kama anafikiri Zitto ndio democracy, hebu ajaribu kumsimamisha huyo Zitto leo aone!
 
mm nikiwa mfuatiliaji wa siasa zetu kiukweli wala bila unafiki ndani ya chadema chama tulichokiamini, chama kilichoanza kuleta matumaini sasa demokrasia ndani ya chama shakani kama si kumalizwa
1. uchaguzi wa bavicha ulionyesha ni namna gani demokrasia kwa vitendo ni ngumu, kuna hujuma kubwa iliofanywa hata haisemeki wakti viongozi wa bavicha wakichaguliwa hii kila mpenda demokkrasia alikwazika mno
2. mwaka 2009 DEMOKRASIA ilizuiwa kufanya kazi yake kwani baadhi ya waasisi wa chama pamoja na wazee kuzuia misingi ya demokrasia ambayo in asema kila mtu yupo huru kuchagua au kuchaguliwa provided havunji katiba lakini hakuna aliejali takwa hili la kidemokrasia
3. uhuru wa mawazo sasa ni kipimo cha utiii ndani ya chama, ukiwa uko tofauti na baadhi yaviongozi unapewa label ya usaliti kisha unaandailiwa sanduku la kuzikiwa ili usisike tena. demokrasia ya kweli si kukimbia changamoto kwa kuwafukuza watu wenye maoni tofauti bali ndio afya ya chama kwani mnajua mkikosea ndani kwa ndani mnakosoana kisha mnajirekebisha, naogopa sasa chama kinakuwa cha kidikteta kama alivyosema malimu nyerere kama angetaka kuwa dikiteta agekuwa kutokana na jinsi alivyokuwa hapendi kukosolewa na alipenda aambiwe zidumu fikra za mwenyekiti....zidumu hapo ndipo hata mwasisi EDIN MTEI alipoamua kutoka CCM sasa mbona leo tumesahau kwa muda mfupi huu na kutaka kukata matawi wakati ndio yanashikilia mti ili ukue
4. uwazi wa matumizi na uteuzi ndani ya chama, demokrasia maana yake ni uwazi kwa kila hatua inayofanyika ndani ya chama, utakuwa mwendawazimu kusema ndan ya chama hakuna malalamiko juu ya matumizi ya fedha na rasilimali za chama pamoja na uteuzi wa maafisa,wakuregenzi, mpaka namna viti maalum vyawanawake kote kuna malalamiko. kutumia ubabe kuua hoja au malalamiko huko ni kuua demokrasia bali demokrasia ni kuijib hoja kwa data, uwazi na malalamiko yataisha
5.waasisi kuchagua nani atakuwa kiongozi au nani hatakuwa kiongozi huo ni ubakaji wa wazi wa demokrasia mfano mzuri ni mzee wetu ARFI alilalamika wazi juu ya mwasisi kuingiliakazi za chama na kutaka kuwachagulia viongozi demokrasia ya kweli haiko hivo, viongoz wote wawe na iko access yanafasi yoyote ndani ya chama n sanduku la kura ndilo liamue nan awe kiongozi wetu na nan asiwe kiongzi wetu.
Democracy consists of four basic elements:

I want to begin with an overview of what democracy is. We can think of democracy as a system of government with four key elements:


  1. A political system for choosing and replacing the government through free and fair elections.

2. The active participation of the people, as citizens, in politics and civic life.

3. Protection of the human rights of all citizens.

4. A rule of law, in which the laws and procedures apply equally to all citizens.


I want to talk about each of these four elements of what democracy is. Then I will talk about the obligations and requirements of citizens in a democracy




I. Democracy as a Political System of Competition for Power

Democracy is a means for the people to choose their leaders and to hold their leaders accountable for their policies and their conduct in office.

The people decide who will represent them in parliament, and who will head the government at the national and local levels. They do so by choosing between competing parties in regular, free and fair elections.

Government is based on the consent of the governed.

In a democracy, the people are sovereign—they are the highest form of political authority.

Power flows from the people to the leaders of government, who hold power only temporarily.

Laws and policies require majority support in parliament, but the rights of minorities are protected in various ways.

The people are free to criticize their elected leaders and representatives, and to observe how they conduct the business of government.

Elected representatives at the national and local levels should listen to the people and respond to their needs and suggestions.

Elections have to occur at regular intervals, as prescribed by law. Those in power cannot extend their terms in office without asking for the consent of the people again in an election.

For elections to be free and fair, they have to be administered by a neutral, fair, and professional body that treats all political parties and candidates equally.

All parties and candidates must have the right to campaign freely, to present their proposals to the voters both directly and through the mass media.

Voters must be able to vote in secret, free of intimidation and violence.

Independent observers must be able to observe the voting and the vote counting to ensure that the process is free of corruption, intimidation, and fraud.

There needs to be some impartial and independent tribunal to resolve any disputes about the election results.

This is why it takes a lot of time to organize a good, democratic election.

Any country can hold an election, but for an election to be free and fair requires a lot of organization, preparation, and training of political parties, electoral officials, and civil society organizations who monitor the process.


II. Participation: The Role of the Citizen in A Democracy

The key role of citizens in a democracy is to participate in public life.

Citizens have an obligation to become informed about public issues, to watch carefully how their political leaders and representatives use their powers, and to express their own opinions and interests.

Voting in elections is another important civic duty of all citizens.

But to vote wisely, each citizen should listen to the views of the different parties and candidates, and then make his or her own decision on whom to support.

Participation can also involve campaigning for a political party or candidate, standing as a candidate for political office, debating public issues, attending community meetingsand membership civic meetings, bably best placed in Article 5 on the Judicial Authority.materials are.pecified.il. ency Council, petitioning the government, and even protesting.

A vital form of participation comes through active membership in independent, non-governmental organizations, what we call “civil society.”

These organizations represent a variety of interests and beliefs: farmers, workers, doctors, teachers, business owners, religious believers, women, students, human rights activists.

It is important that women participate fully both in politics and in civil society.

This requires efforts by civil society organizations to educate women about their democratic rights and responsibilities, improve their political skills, represent their common interests, and involve them in political life.

In a democracy, participation in civic groups should be voluntary. No one should be forced to join an organization against their will.

Political parties are vital organizations in a democracy, and democracy is stronger when citizens become active members of political parties.

However, no one should support a political party because he is pressured or threatened by others. In a democracy, citizens are free to choose which party to support.

Democracy depends on citizen participation in all these ways. But participation must be peaceful, respectful of the law, and tolerant of the different views of other groups and individuals.
III. The Rights of Citizens in a Democracy

In a democracy, every citizen has certain basic rights that the state cannot take away from them.

These rights are guaranteed under international law.

You have the right to have your own beliefs, and to say and write what you think.

No one can tell you what you must think, believe, and say or not say.

There is freedom of religion. Everyone is free to choose their own religion and to worship and practice their religion as they see fit.

Every individual has the right to enjoy their own culture, along with other members of their group, even if their group is a minority.

There is freedom and pluralism in the mass media.

You can choose between different sources of news and opinion to read in the newspapers, to hear on the radio, and to watch on television.

You have the right to associate with other people, and to form and join organizations of your own choice, including trade unions.

You are free to move about the country, and if you wish, to leave the country.

You have the right to assemble freely, and to protest government actions.

However, everyone has an obligation to exercise these rights peacefully, with respect for the law and for the rights of others.
CDM inakuhusu nini wewe gamba wa chama kilichochakaa?
Baki hukohuko huitajiki CDM, ufe na magamba yako.
 
Mleta mada kasema ukweli mtupu, CDM inakufa kutokana na kiburi cha viongozi wake
 
Magamba mtahangaika sana,hatuwezi kuwaacha kenge waongoze chama chetu! watu wanaonunua na kujenga mtandao haramu kinyume na maadili ya CDM,hayo mambo ya mitandao ya ushindi kwa kununua watu yapo ccm tu na kila mmoja wetu anaona jinsi mitandao hiyo inavyoangamiza chama chao cha mizigo.Kibaya kingine ni kule kujenga mtaandao kwa msaada wa ccm! CDM HATUTARUHUSU HUO UPUUZI NA WOTE WANAOFANYA HUO UJINGA SHARTI WAFUKUZWE TENA HARAKA! Hawajengi chama,wenzao daily wapo field kujenga chama huku wao wakila raha na mafisadi yanayowafadhili wapindue uongozi halali kwa njia zao haramu! badala ya kujenga chama wao wanawaza madaraka! WAFUKUZWE TENA HARAKA!
 
Mleta mada kasema ukweli mtupu, CDM inakufa kutokana na kiburi cha viongozi wake

Kama inakufa,mbona mnahangaika sana kama kuku anayetaka kutaga? Kaokoe jahazi huko BUNDA mmekosa mgombea wa udiwani!
 
Hivi ma CCM yanaipenda sana CHADEMA?
 
Kama kesi ni ZZK kwanini asiitwe CCM ambako kuna kuna demokrasia yakweli? kwamaana naona hili linamhusu yeye na CHADEMA, suala linalonipa wasiwassi nikwanini anatetewa zaidi nahao wazandiki na mafisadi wa CCM? nakwanini walitishia kumfukuza FILIKUNJOMBE hakuna mtu aliyewaingilia!! ACHENI U....NGA.
 
Mleta mada kasema ukweli mtupu, CDM inakufa kutokana na kiburi cha viongozi wake


Kama Chadema inakufa kwa nini ccm mnahangaika kama mna kipele sehemu fulani !!!!?.Kila wakati Zitto/Zitto/ Zitto mchukueni basi mkampe huo uongozi mnauona unamfaa !!!!?.
 
Mimi nasema haya maneno kwa sababu ya mwenendo wa watu mtaana ila zaidi humu jf.

watu wametoka kwenye uzalendo wa nchi na kujikuta wanakuwa wazalendo wa vyama vya siasa pia hata kufikia hatua ya kuwa wazalendo wa watu flani. Niweke wazi kuwa mi ni mwanachama halisi wa chadema toka mwaka 2005 nikiwa form one kipindi cha uchaguzi,ndipo nilanza kupenda siasa za chadema na nitazidi kuitumikia chadema maana mpaka sasa naitumikia.
Ila tusipokuwa na tamaduni ya kuwakosoa viongozi wetu pale wanapopatwa na tuhuma mbalimbali mfano za ufisadi hakika hatuokwepa chochote hata tukishika madaraka kutoka ccm. Sio busara kuona hoja za tuhuma zinazorushiwa viongozi wetu sisi kushindwa kuhoji kwa kina kama nikweli au la ili kuweza kutengeneza kutengeneza utawala bora.

kuna mtu kaja na threst yake hapa kuhusu kupanda kwa umeme na kusema tusijikite umeme ushushwe ila tuangalie chazo cha kupanda mara kwa mara kuwa ni mkono wa maswahiba wa viongozi wanaofaidika katika ununuzi wa mafuta akitolea mfano kutokufanikisha mradi wa kumia umeme wa maji wa bwawa la kihansi na bonde la mto maragarasi kwa kigezo cha kutoweka kwa vyura kuwa ikiwa ni dili la IPTL kujinufahisha kwa ununuzi wa mafuta. Sasa watu tungejikita katika hoja hii inayowanufaisha hawa viongozi ambao ni rostam, lowasa pamoja na mbowe kuingiziwa zaidi ya 80% ya fedha za nje.

nilitegemea tungejadili hoja ya ufisadi huu ila cha kushangaza wa chadema wamebaki kumtetea mbowe huku wa ccm wakimtetea lowasa je huu ndio uzalendo?
 
Ni chama ambacho nilikiamini kutokana na sera zake za kumkomboa mnyonge lakini napata shida kuendelea kuamini kuwa ni Chama cha Demkrasia,Siioni demokrasia ya chadema,Najiuliza kama wameza kuondoa kipengele cha ukomo kwenye katiba yao watashindwaje kuiondoa kwenye katiba ya nchi?
Kama wamejongezea muda wa kukaa madarakani mpaka uchaguzi wa 2015 bila uchaguzi kuna demokrasia gani hapo...alafu baadae wagombee viongozi wale wale kwenye uongozi usio na kikomo.....Chadema kwa sasa hawana tofauti na MUGABE au Museveni...wote ni wale wale kasoro tarehe...
Mungu ibariki Tanzania tuweze kupata viongozi wanafanya kazi kwa vitendo na si maneno!!
 
Ok tuonyeshe demokrasia ya maccm, muwe mnalala kutwa kuiwaza CHADEMzA. .
 
Back
Top Bottom