assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
mkuu soma upande wa pili wa shilingi usiwe unapende alwayz kusikia unachotaka kusikia utakuwa mlemavu wa ubongoHaya mambo ya kukopi na kuweka hapa ni noma sana, utajua vipi kama CDM kuna demokrasia au la wakati, umeshindwa kutoka nje ya boksi la CCM??? wewe ni kama kifaranga akiwa ndani ya yai, anatamani kujua kama yeye ni kuku au kenge maana wote huwa ndani ya yai, ni mpaka watoke ndo hujitaambua.