Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Si mlisema hatuwezi kumng'oa kibaraka wenu, sasa ndo muisome namba, hatufanyi kazi kwa mazoea.. imekula kwenu..
Hivi kwa akili yako unadhani game imeisha ndiyo kwanza kumekucha huu mchakamchaka mpaka 2015 kama Chadema haijabakia unga limited, peke yake kuna fita kubwa tunachochea kuni tu hapa.
 
Bigshow unahangaika sana mkuu, wewe ni KAFU ambaye ni mke wa CCM.... inashangaza sana hasa kwetu tunaopenda utaifa zaidi ya siasa mnavyoacha siasa za maana na kukomalia kujadili yanayotokea kwenye chama kichanga na kisicho na serikali kwa sasa, chama pinzani

I think people like you wanachangia sana Tanzania kuwa maskini, hakuna sera, hakuna hoja bali ni kabila, dini, gesi haitoki mtwara wakati huohuo mkipewa vitender vidogovidogo mnabadilika kama vinyonga

it makes me sick kuona watanzania tunaacha kuangalia namna ya kusaidia wajukuu zetu kimaendeleo na kukomalia matatizo ya wanandoa wawili walio na shida zao.... TALAKA YA ADUI YAKO INAKUNYIMA NINI USINGIZI?? AU NDIO YALE KA KULA MKE WA MTU HALAFU AKIACHIKA UNALALAMA KAONEWA

SIASA ZA TANZANIA KIUJUMLA NI UTUMBO MTUPU, IWE CCM, CHADEMA, KAFU NA HATA KILE CHAMA CHA MCHUNGAJI MBWABWAJO AKA MTIKILA

IMEFIKA WAKATI TUANGALIE NAMNA YA KUPUNGUZA NGUVU ZA SIASA NA WANASIASA NA TUIPE SERIKALI MENO MAKALI YA KUNYOOSHA WAPUUZI

KUNA RUMOURS KWAMBA NUSU YA SERIKALI SASA IKO BIZE KUANDAA 2015 - WHICH IS WRONG


Ukweli ni lazima tuuseme hata kama ni mchungu
 
Hapo umesema kweli mkuu,kimsingi vyama vyote vya upinzani vinashadidia juu ya demokrasia nchini lkn kiuhalisia viungozi wa vyama hivi wote wanachembechembe za ujuha ambazo zinakinzana na demokrasia.Bob marley alisema "usimnyooshee mtu kidole wakati mikono yako ni michafu",hii inamaana ya kwamba siku zote kabla ya kutoa aibu za mwenzako kwanza weka hadharani aibu zako. Kwa hili wapinzani wameshindwa kujifunza na ndio maana mie huwa nawachukulia kama mtu anayejitia kidole mwenyewe makalioni halafu anawanukiza wenzie ili watoe ushuhuda wa upumbavu wa alichokifanya, na hivi wapinzani ndivo wanavyofanya kila mara.
 
THE BIG SHOW heshima kwako. Nahisi kama hututendei haki wasomaji wa JF humu.
Unasema "uliamua kuingia CDM kwa dhati yako". Ina maana hukulaghaiwa wala kushawishiwa na mtu. Hukuweka tangazo hapa JF kuomba ushauri siku siku unaingia. Uliingia kimya kimya kwa misimamo yako...
Kwa nini leo unapotoka hutoki kimya kama ulivyoingia? Yes, umeona humo ndani hakuko kama ulivyodhani, kwa nini unataka kuwashawishi wengine ambao nao wameingia kwa dhati zao watoke na wewe? Tuna akili timamu zilizotufanya tuiunge mkono CDM kama ulivyofanya wewe... Akili zetu timamu tutakazozitumia ama kubaki ama kutoka kama tulivyoingia, bila kushawishiwa na maneno ya mtu yeyote...


Kuna watu wanatuma PM za matusi na vitisho kwaangu,

Na kuniambia nimetumwa na Usalama ili nikivuruge chadema,thats why nawaambia hivyo,

Nimeamua kwa dhati yangu,na nasema ili watu wengine wautambue ukweli,

CHADEMA NI WABAKAJI WA DEMOKRASIA'....
 
Ukweli ni lazima tuuseme hata kama ni mchungu

sadly, na hasa baada ya kuwageuka wana mtwara umekosa moral authority ya kunyooshea watu vidole

Nikila mkeo, halafu unamwacha, na nikaanza kulalama mitaani nitaeleweka?? sio kwamba ntakua nahofia vya kuchinja?? maana nilikua wa kunyonga tu??

CCM and KAFU should take this situation ya chadema kuungana kabisa na kuwa chama kimoja ili muwe na nguvu zaidi rather than spending your energy and time kuhangaika na "saccos ka kanda ya kaskazini" as you guys have always been saying

why waste time to a non significant saccos and their naughty boy?
 
Ushauri wa bure,kama chadema hakuna demokrasia huna sababu ya kulalamika nenda chama ambacho kinademokrasia kuna CCM,NCCR,CUF,N.K sioni sababu ya kung'ang'nia demokrasia chadema labda kama una agenda yako ya siri.
 
Kuna watu wanatuma PM za matusi na vitisho kwaangu,

Na kuniambia nimetumwa na Usalama ili nikivuruge chadema,thats why nawaambia hivyo,

Nimeamua kwa dhati yangu,na nasema ili watu wengine wautambue ukweli,

CHADEMA NI WABAKAJI WA DEMOKRASIA'....

wewe ni kama mimi tu, wabwabwajaji tu humu jamvini na wala hatuna significance ya kutumia na chochote kile kuvuruga chama chochote, labda kile chama chenu cha kusaidiana

usijidanganye kwamba wewe ni significant... YOU ARE DEFINITELY NOT, JUST LIKE ME

STOP HIYO GRANDIOSE HAINA TIJA KWAKO WALA KWA MTU YOYOTE
 
ushauri wa bure,kama chadema hakuna demokrasia huna sababu ya kulalamika nenda chama ambacho kinademokrasia kuna ccm,nccr,cuf,n.k sioni sababu ya kung'ang'nia demokrasia chadema labda kama una agenda yako ya siri.

he is not chadema wala nini..... Anaganga njaa tu humu
 
Tunapokizungumzia Chadema tunazungumzia mambo mawili makuu; Demokrasia na Maendeleo. Ni imani yangu kuwa waasisi wa chama hawakukurupuka katika kutafuta hayo maneno mawili ili yawe mwongozo katika kile viongozi, wanachama na wananchi kwa ujumla wanaanimi. Ni vyema basi kujua kwa muhtasari nini maana ya maneno haya.

Demokrasia
Neno Demokrasia linatumika kijamii pamoja na kisiasa. Linatumika katika nyanja nyingi za maisha kama katika kazi, ndoa, dini, elimu, kiuchumi n.k. Ila neon hili linatumika zaidi katika siasa.

Demokrasia inaweza kutafsiriwa katika misingi yake toka lugha ya Kigiriki. Demos = the people, Kratos = power. Hivyo basi demokrasia ni mfumo wa kiutawala ambapo nguvu ya kisiasa inatoka kwa wananchi. Au ni mfumo wa kisiasa ambampo nguvu za kiutawala zinatoka kwa wananchi.

Kadhalika demokrasia inaweza kuwa ya moja kwa moja ama ya uwakilishi. Katika mazingira yetu hatuwezi wote wananchi mil 40 kufanya maamuzi kwa niaba na kwa ajili yetu. Hivyo umuhimu wa demokrasia ya uwakilishi ndipo inapohusika. Demokrasia ya uwakilishai ni pale ambapo watu wachache wamechaguliwa ama kuteuliwa kuwakilisha mawazo ya wengi, na kwa usawa na haki katika vyombo vya maamuzi kama serikali, bunge na mahakama.

Maendeleo
Umoja wa mataifa kitengo cha maendeleo kinafafanua maendeleo kuwa ni kuwa na maisha marefu nay a afya, kuwa na ufahamu, kuwa na uwezo wa kuzifikia rasilimali zinazohitajika kwa maisha bora na kuweza kushiriki katika maisha ya kijamii kwa ujumla. Kwa lugha nyingine maendeleo ni kuwajengea watu uwezo katika nyanja zote za kimaisha kama siasa, uchumi, kijamii, kiutamaduni ili watu waweze kudhibiti maisha yao, kuelezea mahitaji yao na kutafuta ufumbuzi kwa matatizo yao.

Demokrasia na Maendeleo ni dhana mbili zinazoelekea kufanana na wakati huo huo kutofautiana. Zinafanana kwa misingi kuwa dhana zote mbili ni hitimisho la maisha bora kwa wananchi husika. Zinatofautiana kwa misingi kuwa kipi kianze na kipi kifuate . wakati mwingine ili pawepo na maendeleo, nguvu ya ziada inabidi kutumika. Tuliona hili katika utekelezaji wa Azimio la Arusha. Tunaona hili kwa wenzetu kama ilivyokuwa kwa Ujerumani, USSR na mataifa mengine. Demokrasia kwa upande wake inataka maridhiano na maamuzi ya wengi ama uwakilishi wa hayo maamuzi, kitu ambacho kinaweza kuchelewesha utekelezaji kisa tu mawazo ya mtu/watu Fulani yaheshimiwe.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA
Tunapoangalia katika ngazi ya chama tunaona kuwa Chadema kikiwa na dhana zake mbili kinashindwa aidha kuwa na kauli moja ni dhana gani ifuatwe kwanza, ama mawazo ya nani yapewe kipaumbele. Inawezekana mambo kuwa shwari ndani ya Chadema ila ni media na Dola kutaka kuchafua tu hali ya hewa ya chama. Inawezekana pia kuwa ndani ya chama hali si shwari hivyo kusababisha mivutano ya utekelezaji wa dhana hizo mbili-kwamba nani anatekeleza demokrasia na nani anatekeleza maendeleo.
Labda tujadili kuanzia hapa. Ndani ya Chadema kuna wanaoamini katika demokrasia na kuna wanaoamini katika maendeleo ila mwisho wa siku wana kauli ya kikasuku ya People's Power! Kuna uwezekano wa kubeba dhana hizi mbili kwa wakati mmoja? Kuna haja ya kuchelewesha moja ili iliyobaki ifanye kazi ili mwisho wa siku lengo litimie? Tuyajadili haya kwa manufaa ya chama chenyewe, pamoja na imani na matumaini ambayo tumeyaweka juu ya chama kwa mustakabali wa maisha bora kwa kila mtanzania


Yajue pia ya CCM kwa ufupi hapa

Soma uchambuzi wa wengine hapa

Nimekusoma Mkuu,

MODS HATA KAMA MKUNGANISHA UZI HUU,UJUMBE UMEFIKA
 
Mkuu THE BIG SHOW , nakupongeza kwa kuonyesha nia ya dhati ya kuwa unapenda demokrasia itawale katika vyama vya siasa.
Ila Pia nikuase kuwa usipoteze muda mwingi saaana kuwafundisha hawa manunda wa CHADEMA somo la utawala bora, ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa! Hawasikii, hawaelewi, hawaoni, na hawataki kujifunza.
Duniani kote, CHADEMA ndio chama cha kwanza cha siasa ambacho muasisi na Mwenyekiti ni mtu na baba mkwe wake.


Mwarobain wao tunao sisi,na watake wasitake watashikishwa adabu episode hii
 
Hakika UDINI UTATUMALIZA mashabiki wengi wa ZITTO kwa sasa ni VIJANA wa CUF na MACCM walio kuwa wanashabikia CHADEMA kwa kuwa tu ZITTO ni MUISLAM, But hakika 2015 tutasaga meno na kulia, hapa LOWASAA vs MEMBE huku SLAA wote WAKRISTO, Sijuhi BAKWATA NA MUJAHDINA KAMA WEWE MTAJIFICHA WAPI.


Akili yako inakutosha wewe mwenyewe tuh,

Hoja iliyopo na unayoyazungumza ni ujuha mtupu,usipoteze mantiki,huo udini unauleta wewe
 
Mkuu Ritz ubungo wala usiwe na shida tumeshaona hakuna jipya na tumeshajipanga kurudisha jimbo letu chama tawala
Katika nukta hii nawataka wana Chadema wa Arusha Mjini, Mbeya Mjini, Ubungo na Singida Mashariki wayaangalie majimbo ya Hai, Moshi Vijijini na Kigoma Kaskazini..

Kwa kina Zitto Kabwe, Philemon Ndesamburo, na Freeman Mbowe watagundua tofauti na hila zilizoko ndani ya chama hicho..

Katu Mchagga hawezi kuitifua barabara ya Kilimanjaro, wala kuchoma jengo wala kuacha shughuli za kuzalisha mali akashiriki maandamano..

Ndio maana maeneo yao yametulia. Tukiangalia fujo za Mbeya tunaona wazi kwamba ziliandaliwa..

Na uharibifu mkubwa ulipangwa na kuratibiwa kwa umakini na Chadema
 
2015 ccm imepita kirahisi, hehehe

CCM kweli mnachekesha.Wananchi watawahoji kama Mshahara wa 150,000/=unatosheleza mahitaji na si kwa kiwango gani mmefanikiwa kumnunua Zitto.Kwa ugumu huu wa Maisha CCM ijiandae kupoteza Wabunge wengi zaidi na ikiwezekana hata Urais.
 
Kuna watu wanatuma PM za matusi na vitisho kwaangu,

Na kuniambia nimetumwa na Usalama ili nikivuruge chadema,thats why nawaambia hivyo,

Nimeamua kwa dhati yangu,na nasema ili watu wengine wautambue ukweli,

CHADEMA NI WABAKAJI WA DEMOKRASIA'....


CDM siyo wabakaji wa Demekrasia. CDM wamempa Zitto nafasi ya kutekeleza ndoto zake, ambazo ki-style, zilikuwa hazitekelezeki akiwa CDM.
 
CCM kweli mnachekesha.Wananchi watawahoji kama Mshahara wa 150,000/=unatosheleza mahitaji na si kwa kiwango gani mmefanikiwa kumnunua Zitto.Kwa ugumu huu wa Maisha CCM ijiandae kupoteza Wabunge wengi zaidi na ikiwezekana hata Urais.

mmmmmmmhhhhhh hilo la uraisi usahau,nikikumbukaga usemi wa kiongozi mmoja wa chukua chako mapema(ccm) usemao "hatuwezi kuachia nchi kwa makaratasi" aaaah bora bora tupijane kujaza wabunge 2.
 
Ndugu zanguni,

Kama wote mjuavyo kuwa kama unataka uwe padri ni lazima uwe na moyop wa kusamehe, kusikiliza na Upendo. Kama ukishindwa kuwa nayo hayo matatu basi wewe huwezi kuwa mtumishi wa Mungu tena na inabidi ufukuzwe kwenye mafunzo ya upadre

Dr Slaa alisomea upadre na akashindwa, wengi hatujui ni kwa nini alishindwa hii kazi ya kutumikia kanisa na kuamua kuingia kwenye siasa . Lakini leo sote tumejua

Dr Slaa sio mtu wa kusamehe bali ni mtu wa visasi

Dr Slaa sio mtu wa kusikiliza maoni ya wanachama wake bali anapenda kusikia neno NDIO MZEE!

Dr Slaa sio mtu mwenye upendo kwani ameonyesha wazi jinsi anavyowachukia wanaompinga kwa kuwafukuza kama kuku. (Anasahau amri inayosema mpende adui yako)

Dr Slaa ni dikteta ndio maana maamuzi yake na ya Mbowe huwa ni ya kibabe zaidi biloa hata kujali demokrasia ya chama inasema nini.

Dr Slaa hawezi kuyafanyia matendo maneno anayohubiri ya kupiga vita ufisadi kwani yeye mwenyewe ni Fisadi namba moja.

Dr Slaa Mbowe na Lema ni hatari kwa Chadema na taifa kwa ujumla kwani wao ndio watakaoua upinzani ndani ya nchi kwa kusababisha migawanyiko kwa sababu ya tabia zao za kibinafsi na kikabila.

Ni wakati sasa kwa vijana wa Chadema kusimama na kujitambua.

Msikubali kuendeshwa kama misukule.

Dr utanisamehe, lakini nadhani ni wajibu wangu kusema ukweli kwani kama ulivyosema unafiki na uoga ni dhambi mbaya sana.
slaa-200px.jpg




JITAMBUE!
 
Back
Top Bottom