WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Viongozi wengi wa chadema ni wahuni sana,ni wezi wa wake za watu!
Ni mafisadi,matapeli na malaghai!
Ni mafisadi,matapeli na malaghai!
Ok tuonyeshe demokrasia ya maccm, muwe mnalala kutwa kuiwaza CHADEMzA. .
Ni chama ambacho nilikiamini kutokana na sera zake za kumkomboa mnyonge lakini napata shida kuendelea kuamini kuwa ni Chama cha Demkrasia,Siioni demokrasia ya chadema,Najiuliza kama wameza kuondoa kipengele cha ukomo kwenye katiba yao watashindwaje kuiondoa kwenye katiba ya nchi?
Kama wamejongezea muda wa kukaa madarakani mpaka uchaguzi wa 2015 bila uchaguzi kuna demokrasia gani hapo...alafu baadae wagombee viongozi wale wale kwenye uongozi usio na kikomo.....Chadema kwa sasa hawana tofauti na MUGABE au Museveni...wote ni wale wale kasoro tarehe...
Mungu ibariki Tanzania tuweze kupata viongozi wanafanya kazi kwa vitendo na si maneno!!
Viongozi wengi wa chadema ni wahuni sana,ni wezi wa wake za watu!
Ni mafisadi,matapeli na malaghai!
Kwani inayozungumziwa hapa ni CCM au CHADEMA?!
By the way ccm ilishajulikana kwamba haina demokrasia ndio maana tukaelekeza masikio na macho yetu kwa chadema,lakini kumbe na wenyewe hovyooooo!!,
Demokrasia ni kuwa na ukomo wa uongozi??Kwani inayozungumziwa hapa ni CCM au CHADEMA?!
By the way ccm ilishajulikana kwamba haina demokrasia ndio maana tukaelekeza masikio na macho yetu kwa chadema,lakini kumbe na wenyewe hovyooooo!!,
Mmekazana CDM mbona Cheyo wa UDP na Mtikila hamjawaona?
Ni chama ambacho nilikiamini kutokana na sera zake za kumkomboa mnyonge lakini napata shida kuendelea kuamini kuwa ni Chama cha Demkrasia,Siioni demokrasia ya chadema,Najiuliza kama wameza kuondoa kipengele cha ukomo kwenye katiba yao watashindwaje kuiondoa kwenye katiba ya nchi?
Kama wamejongezea muda wa kukaa madarakani mpaka uchaguzi wa 2015 bila uchaguzi kuna demokrasia gani hapo...alafu baadae wagombee viongozi wale wale kwenye uongozi usio na kikomo.....Chadema kwa sasa hawana tofauti na MUGABE au Museveni...wote ni wale wale kasoro tarehe...
Mungu ibariki Tanzania tuweze kupata viongozi wanafanya kazi kwa vitendo na si maneno!!
Kwanza uelewe kuwa mimi si mwanachama wa chama chochote,siko ccm,chadema,nccr nk..ni aheri ya ccm wana uwezo wa kupokezana uongozi na si kubadilisha katiba kihuni,ndugu yangu acha emotions na yakubidi ushirikishe ubongo wako katika kuamua mambo
Unaweza ukawa umetoa criteria nzuri sana za true democracy na ukazichukua criteria hizo na kuifanyia analysis Chadema basing on those criteria. Fine, lakini ulichokosa katika analysis yako ni "Control Experiment" I mean ungechukua analysis zako ukachukua na model political party inayokidhi at least 80% ya criteria zako kisha ukawa unachukua chama kimoja kimoja na kufanya test experiment kama kinakidhi criteria with control to the model political part. Sasa wewe unachukua chama kimoja tu, hiyo inaonekana kama ni personal attack against that political party. Na ndio maana great thinkers wanakupa different views kwa sababu analysis yako imekosa "Control Model"
Hapo umemuelekeza vizuri,alikuwa haelewi tunampinga nini humu! Yaani ana maana CCMndio wanaDemocracy! What a joke,hivi mwenyekiti mwenyewe wanampataje? Je wabunge? huwa wanafuata democracy? Au Autocracy? Au yeye anafikilia hama chake wanafuata nini? Ndipo aje CHADEMA!
yeye anachojua democracy ni Zitto kuwa mwenyekiti tuu,na ndi muelekeo wa Thread yake na watu wameisha msoma ndio maana anapata majibu asiyotarajia! Kama anafikiri Zitto ndio democracy, hebu ajaribu kumsimamisha huyo Zitto leo aone!
kosa ni mama yako hakutaka kutumia demokrasia kukujulisha baba yako ni nani.....kamuulize kwanini alikufanyia hivyo ya chdema waachie chadema......idiot