Demiss chamdeko rasmi kilingeni

Demiss chamdeko rasmi kilingeni

Mahaba niue...

Utembee kwa miguu toka hapo ulipo hadi Kasie alipo kisa..... umpelekee motoo yaani firee yaani chechee hadi Kasie atembee migulu baja.

Aahahahahhahaa babu ni kitambo eeeh.

Kasie Mahaba mie, usipoyaoga kwa Kasie utayanywa kwa Hadija au kuyanawa kwa Saumu. Kazi kwako babuu mradi tuu ukae mbali na vumbi.
 
Leo ni ijumaa unajua??
 
Lips zimefanania na wa kwenye avatar japo haiwezi kuwa ndo uhalali wa kusema huyu ndo yeye..... ni mlinganisho tuu wa macho na ubongo kukubali kuwa wanafanana.

Mbona kama puani amewekewa pamba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yan mashikolo mageni ninayopitia acheni tu
 
Back
Top Bottom