Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,836
- 6,292
Sherehe za kumpokea rasmi zitafanyika usiku wa leo Msata kilingeni... View attachment 722831
Hahaha😀😀 hapo cha mdeko lazima apandishe mapepo 😀😀
Sherehe za kumpokea rasmi zitafanyika usiku wa leo Msata kilingeni... View attachment 722831
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona kama kuna mwanga wa jua la asubuhi. Kwa nini umewahisha? Au ndiyo kanuni za maadalizi? Ushindwe kabisa jamaa wewe na hicho kilinge chako kishike moto kiteketee majivu.
Kule Indiana
Shosti naomnaa uje tukufanyie bachelor party kablaa hujaenda kukabidhiwaa matunguli.na kushika.mafiga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe hufai kuwa baunsa unaweza kugeuza madesaaa loh mme wangu hapaswi kabisa kukupa nafasi tunguli zinanitosha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mshana jr nyee nyee nyee!
Kashaolewa tayari huyo na harusi ishachezwa,na honeymoon kashakaaShosti naomnaa uje tukufanyie bachelor party kablaa hujaenda kukabidhiwaa matunguli.na kushika.mafiga
Weeeee mi nkajuaaa bado khaaa shogaa angu kupigwaa ban nimeshindwaa kuja kukufundaa jinsi ya kumpagawisha huyu mzee mpaka asahau matumizi ya tunguli jaman???Kashaolewa tayari huyo na harusi ishachezwa,na honeymoon kashakaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji23] [emoji23]Weeeee mi nkajuaaa bado khaaa shogaa angu kupigwaa ban nimeshindwaa kuja kukufundaa jinsi ya kumpagawisha huyu mzee mpaka asahau matumizi ya tunguli jaman???
Unaichekaaa eeeeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Biblia inasema usimwache mwanamke mchawi aishi,
Kuwa makini..
Nnavyokwambia umepitwa uwe unanielewaWeeeee mi nkajuaaa bado khaaa shogaa angu kupigwaa ban nimeshindwaa kuja kukufundaa jinsi ya kumpagawisha huyu mzee mpaka asahau matumizi ya tunguli jaman???
Asanteee sana ukipenda boga penda na ua lake kazi kweli kweliPole mwaya, ndo u-mwaii huo siku ya kukabidhiwa jiko ntakuja kukuimbia. ..... mwaaii mwaaii sherere na kinduu. .....
Kila la kheri mamii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]Ndio nini[emoji35] [emoji35] [emoji35]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shakala bagalalalaa bagalaaaHahaha😀😀 hapo cha mdeko lazima apandishe mapepo 😀😀