Demiss chamdeko rasmi kilingeni

Leo ni ijumaa unajua??

Nafahamu sana ndo maana nimekuchokoza na niko na jezi mbili.... muda wa kafiri ukiisha nabadili jezi hapo hakuna atayejua kuwa huyu ndo Kasie. .....

Kafiri ataniona tena jumatatuuu. ....... kuanzia leo hadi jumapili usiku ni mwendo mdundo.
 
Back
Top Bottom