Hahahaaa kaka kesho si ndo kama vile?Shemeji yangu mwenyeweView attachment 722864
Eeeeh kaka, kama kawaida!Hahahaaa kaka kesho si ndo kama vile?
karibu sanaLeo nitakuja kushangaa mataa mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe hufai kuwa baunsa unaweza kugeuza madesaaa loh mme wangu hapaswi kabisa kukupa nafasi tunguli zinanitoshaNaomba kazi ya ubaunsa ili tuwe tunasafiri pamoja na fast jet ile kwa sekunde tu nchi nzima
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Leo nitakuja kushangaa mataa mjini
Na bado...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Honeymoon haijaisha kwani?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Na bado...
Sherehe za kumpokea rasmi zitafanyika usiku wa leo Msata kilingeni... View attachment 722831