Degree ni Kigezo cha mtu kufanikiwa maisha?

Ni kosa kubwa San la kitaaluma kuizungumzia Tanzania mifano kutoa Marekani. Hao uliowataja hapo wapo katika dunia ya kisasa wamewekeza kwenye TEKNOLOJIA, ukiibeba hii teknoloji kama silaha ukaileta kitanzania inakugomea mchana kweupe.. Hakuna asiejua teknoloji ya KIAFRIKA INA HALI GANI- WEKEZA MULE. kama haiwezekan I kuwekeza mule ukawa tajiri unahitaji degree ile yenye uwezo wa kuskuma teknolojia ile

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app

Wale ni watu tunaiga kwao, kwaiyo mifano itawahusu waona maana hatuna wengine
 
Mkuu hivi una huakika wote walio na Degree wanajua mwenendo wa dunia uko vipi?.

mfano: mimi niliwahi kuwa na mpenzi wangu, alikuwa na degree. lakini nikimuuliza maswala ya Brela, Tra, mk.. halikiwa haelewi chochote.

Unahisi kuwa na Degree ndo kwamba umemaliza dunia?
Rudia kusoma nilichokiandika.Umeenda kombo kabisa na nilichoandika.
 
Back
Top Bottom