Karibu sana umeshandaa songilako lifanyiwe mchujo na majaji wa cc hapa? Kabla ya hiyo tarehe na tukupange ili uimbe kwa ufupi sana bila kutaja jina lako ila majaji ndo watakaojua kwani utakwenda mbele yao na kuandikisha jina lako ndipo watakupa nafasi hatutaki kumbugudhi mtu ili atambulikane wakati yeye labda ahapendi labda yeye pale platform ajitangaze mwenyewe kwani tunawapa waimbaji siku hiyo nafasi ya kujimwaga pia kivyaovyao bila usumbufu na zawadi ziko tayari zinawasubiria tu ninyi ni seriou sio stori best kazi kwako
Dada mkubwa Lugha ya Malkia hii MAJANGAAA..... Haya asante kwa kutudadavulia!!!! Karibu tena eeeh....
limekushuka eeee.
majanga majanga ..by snura umfikie ladyfurahia
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 375"]
[TR]
[TD] Going too soon[/TD]
[TD] @Slave[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Nataka nilewe[/TD]
[TD] @Mr Rocky[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Navumilia tu[/TD]
[TD] @Bishanga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Natafuta raha Bwana[/TD]
[TD] @Arushaone [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Uke wenza uke wenza[/TD]
[TD] @Dena Amsi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Wajomba wame...... wamekuja juu harusini[/TD]
[TD] @Nicas Mtei[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Twist ni pendo langu[/TD]
[TD] @Manoah[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Haleluya Kuu[/TD]
[TD] @Bujibuji[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Tazama Ramani Utaona Nchi Nzuri[/TD]
[TD] @PAW[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ni chama cha mapinduzi ccm .....[/TD]
[TD] @chama[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hellow wana-chitchat,kama una rafiki humu,adui,mpenzi,mume,mke,ndugu,ex,mzazi...dedicate wimbo kwake. Me naanza na wana chitchat wote,nadedicate inde moni ya bongo man!
My wife AshaDii niwatie hawa watoto viboko? Ushakunaku hadi wamekuamsha
mbona mm ujanilist bestito?