bucho
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 5,175
- 3,276
nawadediketia wana CC wote wimbo uitwao kilimo ni uti wa mgongo
Wembe ni ule ule ushindi kutoka kwa kepten komba.
Hii ni kwa wanachadema wote wanaota 2015
nawadediketia wana CC wote wimbo uitwao kilimo ni uti wa mgongo
aione mume wetu mtalakiwaumebebwa hubebeki
umeshikwa hushikiki
zawadi huzawadikiii.
Kazi yako kuchakurachakura
nitajitahidi kujisogeza pande hizo, hivi obama atakuwa kishakuja???
kama yupo humu atakuwa ana bahati sanahuyo ni memba humu?
anakuja tarehe 1 jumatatu ijayo kwani itakuwa ngumu kuja hiyo tarehe kwa ajili ya obama
Nipo shamba mie... eti naskia daraja la manzese limehamia mbagala. ni kweli?
Endless Love by Lione Richie....umuendee My Only One..... Anajijuaaaaaaaaa
Asant charminglady.......:clap2::clap2:
" I need you"..................................>>>>> amu
Endless Love by Lione Richie....umuendee My Only One..... Anajijuaaaaaaaaa
ayaaaa. ubazazi at work
Ahsanteeeee. najijua
Shindwaaaaa... Shindwaaaaaaa tena kwa jina lako..... Au ndo kusema wataja kuanzisha SACCOS????