amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,357
huyo ni memba humu?
unapenda nyeupe ooo.
Haya dad wako kafilisika mahali hao ni sinia la dhahabu utatoa wapi?
Dadi kafilisika,mie ndio nipo on fire kuzisaka.. Hapana sio kwasababu weupe, imetokea tumejipenda automatic, toto nywele ndefuu hadi mie mwenyewe na mtamani, mtoto anapiga pharmacy muhas so, kichwani zimo, siku ukiniona nitakua nimenepa kidogo.....
huyo ni memba humu?
he he he mwaka wako huu na huyo soon atakubwaga.
Nasema ole wako tuonane uwe hujanenepa
nawadediketia wana CC wote wimbo uitwao kilimo ni uti wa mgongo
asante sana bestito sijui umepotelea wapi wewe katoto jamani nimekumiso
Mie mzma sana.. mbona watu huwa wanasema kupendwa raha?