Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,506
- 7,472
- Thread starter
- #121
Mkuu Malcom Lumumba ,MASAMILA Palantir et al mko vizuri sana kwenye History 2 & 3 pia jinsi gani sayansi za kivita na intellijensia zinafanya kazi. Je mnaweza kututatajia Documentaries kadhaa tuzitafute pia maandiko kama uliyokuwa unaweka mkuu Malcom Lumumba ili tuongeze zaidi uelewa?
Briefly ni kuwa Jasusi/ujasusi/Secret service/Intelligency/Espionage n.k na Military/jeshi la vita ni fani dada au tuseme interdisplinary . Uhusiano/undugu wao ni sawa na uhusiano wa damu na nyama(blood-flesh ties)
Majasusi na wanajeshi wanatumia vyeo vya aina moja(Kwamba jeshini kuna kanali na ushushushuni kuna kanali pia na kadhalika). Kwenye Ushushushu unahitajika uwezo wa ziada wa kiakili/mentality in addition to mafunzo tofauti kidogo na jeshi ambalo lenyewe linahitaji mafunzo pekee.
Uhusiano huu ndio umepelekea wanajeshi wa medani kushika nyadhifa za juu katika vyombo vya ushushushu sana( Col. Kitine-TISS, Lt Gen. Kombe-TISS, Gen. Petraeus-CIA na kadhalika)