[QUOTE="Kataskopos, post: 25754602, member: 94736"
NB 2: Yuri Totrov ni uthibitisho tosha kwamba hakuna silaha kubwa duniani kama Ubongo wa mwanadamu, pia hakuna kitu chenye nguvu kama Human Intelligence. Aliweza kufanya ujasusi kwa kutumia
COMMON SENSE na kuweza kushindana na CIA ambayo ilikuwa iko mbele sana kwenye swala la teknolojia na fedha.
Watanzania tuna nini cha kujifunza hapa ???
Tunaweza tusiwe na pesa nyingi na teknolojia kubwa sana lakini tukafanikiwa kwa kiasi kikubwa mno katika kulinda maslahi mapana ya nchi. Japo ni kweli kwa dunia ya sasa tunahitaji pesa na teknolojia lakini hili halitakiwi kutufanya tulemae na kutegemea kuomba msaada wa taarifa au kununua vyombo vya kijasusi kutoka nchi za nje: Ni hatari sana kwetu.......
NB: Ukitaka hiki kitabu kinachomzungumzia
Yuri Totrov utakipata kwenye bandiko namba
[HASHTAG]#120[/HASHTAG], tunamshukuru sana Mkuu
Palantir kwa kufanya jitihada za ziada kututafutia nakala yake (Softcopy) ili wengi wakisome.
[/QUOTE]
KITABU HICHO HIKI HAPA
NB 1: Tafuta kitabu cha Oxford kinaitwa "
Near and distant neighbours: A new history of soviet Intelligence (The Extraordinary achievements of Yuri Totrov Page 251 na Page 252)" kimeandikwa na Jonathan Haslam. Sasa huwa najiuliza sana maswali kama: Hivi miaka ya 70's na 80's KGB walikuwa wanafanya hivi unategemea leo ndiyo nchi yenu inakutana na majasusi wa namna hii hivi kuna kupona kweli ???