Declassified KGB documents: Churchill alimuua Stalin

Aiseeee"" Uzi umeshiba nondo huu""... wallahi " kuna watu mnatisha ...
 
Mkuu umemsoma vizuri Leonid Brezhnev ???
Kama ungemsoma vizuri usingemfananisha kabisa na akina Gorbachev au Khrushchev.
Kama kuua Wakomunisti wote walikuwa wanauwana sana bila woga wowote ule, Vladmir Lenin aliua sana watu kama Joseph Stalin kipindi kile cha The Civil War na Red Terror. Yuri Andropov alipokuwa kiongozi wa nchi ndiyo alikuwa anajiandaa kabisa kupigana vita ya Kinyuklia na Urusi, Konstantin Chernenko alipokuwa kiongozi wa nchi naye akaja na yele yale ya wakina Brezhnev..Pitia vizuri mkuu utaona.

Mikhail Gorbachev pekee ndiye alikuwa mlaini na alikuwa mwoga sana,
Alitaka kuwabadilisha Wasovieti na kuwafurahisha wazungu wakati huo huo.

NB: Kinachomtofautisha Joseph Stalin na viongozi wengine wa Urusi ni kwamba yeye ndiye aliyeifanya Urusi ya Kisovieti iwe ndiyo nchi yengu nguvu sana kijeshi baada ya Vita ya dunia ( He was a political, Scientific and Military Reformer). He understood the setbacks of International Communism and he concentrated much energy in modernizing Russia at the threshold no other Soviet Leader did....!

Tofauti yake ni ipi?

Soviets walibwagwa kwenye Arms race na capitalists wakati akiwemo jamaa huyu madarakani.

Kingine ni evolvement of Industrialization compared na wakati wa Nyuma ilislow kama sio kufa. Soviet Five year leaps zilikuwa hazifikii malengo wakati Leonid yupo madarakani, USSR pamoja na ukubwa ule(more than two thirds of African continent) ilikuwa inaachwa mbali sana na America na hapo hapo Production ilikuwa chini ya utawala(socialist/communist mode of economy) .Kama unachukulia factor kuwa jamaa ndie aliepeleka mbele sana propaganda za ukomunisti hapo nitakubali. Alikuwa vizuri sana kwenye propaganda,
 
Its an undeniable fact that Leonid Brezhnev was a precursor of the Soviet demise, but we cannot under-look the role he played in the Vietnam War. Sera yake ya mambo ya ndani ilikuwa mbaya sana na inakumbukwa kama "The Era of Stagnation" lakini Sera yake ya mambo ya nje iliweza kufanikiwa kwa asilimia kubwa. Kipindi cha Utawala la Leonid Brezhnev wataalamu wa kutoka Pentagon waliulizwa na Raisi Richard Nixon kama kungekuwa na njia nyingine kijeshi ya kuishinda Urusi ya Kisovieti, wakamjibu kwamba mpaka Urusi ya Kisovieti ilipofika haitakuwa rahisi kushindana nao kijeshi.

Ndiyo maana tukashuhudia kipindi cha Detente tokea mwaka 1967 hadi 1979, tukashuhudia Mkataba wa Strategic Arms Limitation Treaty mwaka 1972, tukashuhudi Marekani akikimbia nchini Vietnam mwaka 1975. Yote haya ni mafanikio ya Sera ya mambo ya nje ya Urusi chini ya Leonid Brezhnev, japo tukiangalia Sera ya mambo ya ndani aliboronga sana kwa kushindwa kuifanya nguvu ya Viwanda ya Viwanda (The Soviet Industrial Base) kwenda hatua nyingine ili kuleta mapinduzi makubwa ya Kisayansi ambayo yangeinua Uchumi wa Urusi. Walikataa mabadiliko ya kiuchumi na kukumbatia mfumo wao wa Ujamaa ambao ulishudia uchumi wote wa nchi ukiongozwa na Serikali. (Kosa kubwa sana)

Wakina Alexei Koysgin walipendekeza mabadiliko yafanyike kwamba mfumo wa masoko uingizwe kwenye Uchumi wa nchi nchi kama zilivyo nchi za kibepari. Hili walitegemea kwamba lingesaidia kuinua nguvu ya viwanda kwasababu raia wa nchi ndiyo wangekuwa soko kubwa kutokana na kugawanywa kwa vyanzo vya Uchumi (Diversification of the Economy). Hapo ina maana nchi ingejikita sana kwenye kuzalisha bidhaa za matumizi ya raia (Consumer Goods or Civilian Goods), lakini wenyewe wakawa wamekeza sana kwenye bidhaa kubwa kutoka kwenye viwanda vikubwa (Heavy Industries) wakimuiga bwana Joseph Stalin. Urusi wakawa wanazalisha Chuma, Silaha na Mafuta kwa wingi, huku mteja wao mkubwa wa ndani akiwa ni Jeshi la Urusi...Hapa unategemea utafika popote ????

Jingine kubwa la kukumbuka ni kwamba Vita ya pili inaisha taifa lililokuwa linaongoza kwa kuuza bidhaa nyingie nje ya mipaka yake (The Leading Exporter of merchandise) lilikuwa ni Marekani, likifuatiwa na Urusi ya Kisovieti. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani kipindi cha Raisi Abraham Lincoln, Bwana William Henry Seward aliwahi kusema haya yafuatayo "Nchi itakayoonga kwa kuuza bidhaa nyingi nje ya mipaka yake ndiyo itakayokuwa na nguvu kuliko zote". Huku akimaanisha kwamba ukiwa unauza kwa wingi utakuwa unapokea pesa kutoka nje ya mipaka yako na ndani ya mipaka yako. Yeye Urusi anategemea Uchumi wa Gesi, Mafuta, Silaha na Chuma tu, unategemea Silaha zitakuwa zinauzwa nje kila siku ??? Hapa lazima utaboronga.

Kikubwa kilichowaumiza zaidi, nchi Marekani, Japan, Ujerumani, Uchina na Korea kaskazini walifahamu ukweli kwamba dunia inabadilika na hawatategemea tena kuuza bidhaa kubwa tu kama vyuma. Wakawekeza kwenye teknolojia ya kompyuta, mtandao, kilimo, nguo, mavazi pamoja na viwanda vikubwa huku wakiuza nje na ndani ya mipaka. Uchumi wa dunia ulikuwa unakua kwa kasi sana kuanzia mwaka 1970's tukishuhudia mataifa kama Ujerumani na Japan wakifanya makubwa kwenye biashara. Lakini Urusi hali ikawa mbaya uchumi Unadidimia, Rushwa imekithiri, Haki za binadamu zinaminywa, uchumi ukashuka kwa Asilimia kama 3% nyuma.

NB 1: Mwisho wa siku nchi ikawa kwenye mpangaranyiko mkubwa, jeshi linanunua lakini raia hawana bidhaa wala maisha mazuri. Ndiyo hapa unakuja kufahamu ukweli mchungu kwamba japo Sera ya mambo ya nje inajitegemea lakini Sera ya mambo ya ndani ina nafasi kubwa sana kwenye kujenga taswira ya nchi na kufanikisha Sehemu kubwa kwenye Sera ya Mambo ya nje. Uchumi wa nchi ukipangaranyika hata kama muwe mnajiona ni wataalamu wa Mahusiono ya Kimataifa, lazima mambo yatawashinda tu. Urusi uchumi wake umepangaranyika, Saudi Arabia akaanza kuuza mafuta kwa wingi, Marekani na Uchina wakaanza kuuza Chuma na Silaha, bidhaa zile zile ambazo yeye Urusi anazo. Hapa kikatengenezwa kitu kinachoitwa MARKET CHOICE AND COMPETITION kitu ambacho Uchumi wa Urusi haukuandaliwa kufanya. Nchi nyingi zikawa zinaenda Uchina na Marekani badala ya Urusi na mambo yakaanza kuwa mabaya.

NB 2: Akajikoka zaidi kutaka kuvamia Afghanistani mwaka 1979 wakati Uchumi wake umekaa vibaya yakamkuta yaliyomkuta. Lakini kitu ambacho Brezhnev anasemekana alikuwa anacho ni kwamba alikuwa haambiliki na siyo mtu wa kupenda Ushauri wa Kitaalamu, yaani yeye anajua kila kitu. Unaambiwa alikishika Chama cha Kikomunisti kama cha kwakwe vile na hakukuwa na Uhuru wa maoni tena, huku ikishuhudiwa Majasusi na Wanajeshi wakishika nyadhifa kubwa za serikali na kwasababu hawakuwa wanawajibika popopte pale, mazingira ya ubadhifu yakajengeka na Rushwa ikaanza kuitafuna nchi. Kuna kitabu kimoja kinasema kwamba Chama cha Kikomunisti kilikuwa kimejaa viongozi wengi ambao walikuwa siyo wataalamu na wana maamuzi ya hovyo hovyo tu.

Hapa mkuu Masamila Urusi lazima ingejifia tu, bila hata kuvamiwa na Marekani. Brezhnev alikuwa ni mbabe sana sana laikini ndiyo hivyo, alishindwa kuleta mapinduzi ya kiuchumi nchini kwake. Japo alikuwa anaongoza kwa Propaganda za Uwajibikaji, viwanda na kilimo huku akiwa hajui nini anafanya.
 
NB 2: Akajikoka zaidi kutaka kuvamia Afghanistani mwaka 1979 wakati Uchumi wake umekaa vibaya yakamkuta yaliyomkuta. Lakini kitu ambacho Brezhnev anasemekana alikuwa anacho ni kwamba alikuwa haambiliki na siyo mtu wa kupenda Ushauri wa Kitaalamu, yaani yeye anajua kila kitu. Unaambiwa alikishika Chama cha Kikomunisti kama cha kwakwe vile na hakukuwa na Uhuru wa maoni tena, huku ikishuhudiwa Majasusi na Wanajeshi wakishika nyadhifa kubwa za serikali na kwasababu hawakuwa wanawajibika popopte pale Rushwa ikaanza kuitafuna nchi. Kuna kitabu kimoja kinasema kwamba Chama cha Kikomunisti kilikuwa kimejaa viongozi wengi ambao walikuwa siyo wataalamu na wana maamuzi ya hovyo hovyo tu.

Hapa mkuu Masamila Urusi lazima ingejifia tu, bila hata kuvamiwa na Marekani. Brezhnev alikuwa ni mbabe sana sana laikini ndiyo hivyo, alishindwa kuleta mapinduzi ya kiuchumi nchini kwake. Japo alikuwa anaongoza kwa Propganda za Uwajibikaji, viwanda na kilimo huku akiwa hajui nini anafanya.
hapo kwenye NB 2 namuona JIWE
 
Its an undeniable fact that Leonid Brezhnev was a precursor of the Soviet demise, but we cannot under-look the role he played in the Vietnam War. Sera yake ya mambo ya ndani ilikuwa mbaya sana na inakumbukwa kama "The Era of Stagnation" lakini Sera yake ya mambo ya nje iliweza kufanikiwa kwa asilimia kubwa. Kipindi cha Utawala la Leonid Brezhnev wataalamu wa kutoka Pentagon waliulizwa na Raisi Richard Nixon kama kungekuwa na njia nyingine kijeshi ya kuishinda Urusi ya Kisovieti, wakamjibu kwamba mpaka Urusi ya Kisovieti ilipofika haitakuwa rahisi kushindana nao kijeshi.

Ndiyo maana tukashuhudia kipindi cha Detente tokea mwaka 1967 hadi 1979, tukashuhudia Mkataba wa Strategic Arms Limitation Treaty mwaka 1972, tukashuhudi Marekani akikimbia nchini Vietnam mwaka 1975. Yote haya ni mafanikio ya Sera ya mambo ya nje ya Urusi chini ya Leonid Brezhnev, japo tukiangalia Sera ya mambo ya ndani aliboronga sana kwa kushindwa kuifanya nguvu ya Viwanda ya Viwanda (The Soviet Industrial Base) kwenda hatua nyingine ili kuleta mapinduzi makubwa ya Kisayansi ambayo yangeinua Uchumi wa Urusi. Walikataa mabadiliko ya kiuchumi na kukumbatia mfumo wao wa Ujamaa ambao ulishudia uchumi wote wa nchi ukiongozwa na Serikali. (Kosa kubwa sana)

Wakina Alexei Koysgin walipendekeza mabadiliko yafanyike kwamba mfumo wa masoko uingizwe kwenye Uchumi wa nchi nchi kama zilivyo nchi za kibepari. Hili walitegemea kwamba lingesaidia kuinua nguvu ya viwanda kwasababu raia wa nchi ndiyo wangekuwa soko kubwa kutokana na kugawanywa kwa vyanzo vya Uchumi (Diversification of the Economy). Hapo ina maana nchi ingejikita sana kwenye kuzalisha bidhaa za matumizi ya raia (Consumer Goods or Civilian Goods), lakini wenyewe wakawa wamekeza sana kwenye bidhaa kubwa kutoka kwenye viwanda vikubwa (Heavy Industries) wakimuiga bwana Joseph Stalin. Urusi wakawa wanazalisha Chuma, Silaha na Mafuta kwa wingi, huku mteja wao mkubwa wa ndani akiwa ni Jeshi la Urusi...Hapa unategemea utafika popote ????

Jingine kubwa la kukumbuka ni kwamba Vita ya pili inaisha taifa lililokuwa linaongoza kwa kuuza bidhaa nyingie nje ya mipaka yake (The Leading Exporter of merchandise) lilikuwa ni Marekani, likifuatiwa na Urusi ya Kisovieti. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani kipindi cha Raisi Abraham Lincoln, Bwana William Henry Seward aliwahi kusema haya yafuatayo "Nchi itakayoonga kwa kuuza bidhaa nyingi nje ya mipaka yake ndiyo itakayokuwa na nguvu kuliko zote". Huku akimaanisha kwamba ukiwa unauza kwa wingi utakuwa unapokea pesa kutoka nje ya mipaka yako na ndani ya mipaka yako. Yeye Urusi anategemea Uchumi wa Gesi, Mafuta, Silaha na Chuma tu, unategemea Silaha zitakuwa zinauzwa nje kila siku ??? Hapa lazima utaboronga.

Kikubwa kilichowaumiza zaidi, nchi Marekani, Japan, Ujerumani, Uchina na Korea kaskazini walifahamu ukweli kwamba dunia inabadilika na hawatategemea tena kuuza bidhaa kubwa tu kama vyuma. Wakawekeza kwenye teknolojia ya kompyuta, mtandao, kilimo, nguo, mavazi pamoja na viwanda vikubwa huku wakiuza nje na ndani ya mipaka. Uchumi wa dunia ulikuwa unakua kwa kasi sana kuanzia mwaka 1970's tukishuhudia mataifa kama Ujerumani na Japan wakifanya makubwa kwenye biashara. Lakini Urusi hali ikawa mbaya uchumi Unadidimia, Rushwa imekithiri, Haki za binadamu zinaminywa, uchumi ukashuka kwa Asilimia kama 3% nyuma.

NB 1: Mwisho wa siku nchi ikawa kwenye mpangaranyiko mkubwa, jeshi linanunua lakini raia hawana bidhaa wala maisha mazuri. Ndiyo hapa unakuja kufahamu ukweli mchungu kwamba japo Sera ya mambo ya nje inajitegemea lakini Sera ya mambo ya ndani ina nafasi kubwa sana kwenye kujenga taswira ya nchi na kufanikisha Sehemu kubwa kwenye Sera ya Mambo ya nje. Uchumi wa nchi ukipangaranyika hata kama muwe mnajiona ni wataalamu wa Mahusiono ya Kimataifa, lazima mambo yatawashinda tu. Urusi uchumi wake umepangaranyika, Saudi Arabia akaanza kuuza mafuta kwa wingi, Marekani na Uchina wakaanza kuuza Chuma na Silaha, bidhaa zile zile ambazo yeye Urusi anazo. Hapa kikatengenezwa kitu kinachoitwa MARKET CHOICE AND COMPETITION kitu ambacho Uchumi wa Urusi haukuandaliwa kufanya. Nchi nyingi zikawa zinaenda Uchina na Marekani badala ya Urusi na mambo yakaanza kuwa mabaya.

NB 2: Akajikoka zaidi kutaka kuvamia Afghanistani mwaka 1979 wakati Uchumi wake umekaa vibaya yakamkuta yaliyomkuta. Lakini kitu ambacho Brezhnev anasemekana alikuwa anacho ni kwamba alikuwa haambiliki na siyo mtu wa kupenda Ushauri wa Kitaalamu, yaani yeye anajua kila kitu. Unaambiwa alikishika Chama cha Kikomunisti kama cha kwakwe vile na hakukuwa na Uhuru wa maoni tena, huku ikishuhudiwa Majasusi na Wanajeshi wakishika nyadhifa kubwa za serikali na kwasababu hawakuwa wanawajibika popopte pale, mazingira ya ubadhifu yakajengeka na Rushwa ikaanza kuitafuna nchi. Kuna kitabu kimoja kinasema kwamba Chama cha Kikomunisti kilikuwa kimejaa viongozi wengi ambao walikuwa siyo wataalamu na wana maamuzi ya hovyo hovyo tu.

Hapa mkuu Masamila Urusi lazima ingejifia tu, bila hata kuvamiwa na Marekani. Brezhnev alikuwa ni mbabe sana sana laikini ndiyo hivyo, alishindwa kuleta mapinduzi ya kiuchumi nchini kwake. Japo alikuwa anaongoza kwa Propganda za Uwajibikaji, viwanda na kilimo huku akiwa hajui nini anafanya.

Comrade Leonid ukiongezea na mwenzake Mikhail; Hawa jamaa ndio walioiua USSR sema Mikhail ndio alikuja kuinyonga kabisa. They were worst leaders. Nikikumbuka jinsi Stalin alivyoitransform USSR kwa ujasiri mkubwa na umahiri wa kutukuka kwa kipindi kifupi ukilinganisha na muda uliotumiwa nchi za ulaya kutransform , ilikuwa ni kama laana kwa USSR kupata viongozi wa calibre ya waliomfatia Joseph Stalin.

Stalin nae alipwaya kwenye kitu kimoja; Hakuwa na Succession plan !
 
alibre ya waliomfatia Joseph Stalin.
Stalin nae alipwaya kwenye kitu kimoja; Hakuwa na Succession plan !
Tyrants do not have succession plans...
They always rule through terror, murder, fear and a cult of personality.
Julius Caesar, Napoleon Bonaparte, Adolf Hitler , Benitho Mussolini, Iddi Amin and the likes.
 
Kuanguka kwa USSR kulidhoofisha balance of power Duniani. Angekuwepo kiongozi mzuri wa USSR Patrice Lumumba asingeuawa vile. Ukoloni mambo leo ungekuwa mgumu kwa Capitalists. Kruschev, Leonid na Mikhail ni watu wa ovyo sana.

Kingine ni kuwa kuanguka kwa Ukomunisti ni pigo kubwa kwa sisi nchi masikini, maana wakomunisti matajiri wanashare utajiri wao na wajamaa masikini.

Mabepari ni watu wenye roho ya kishetani au mashetani kabisa. Nchi ya Afrika ya kati Per capita GDP ni dola 400 wakati nchi za kibepari per capita GDP ni zaidi ya dola 40,000. Umasikini na hali duni vinatesa watu na kuudhalilisha ubinadamu Afrika ya kati wakati USA wanatumia mamia ya mabilioni ya dola kila mwaka kununua silaha ambazo zinakuja kuexpire kwenye stoo.
 
NB: Kama KGB walikuwa na Intelijensia kinzani dhaifu basi hujawahi kumsikia mtu anaitwa Yuri Titrov (The most ruthless spy catcher in KGB history)..CIA walimfuata kumhonga mabilioni ya pesa baada ya kuanguka Urusi ya Kisovieti ili kujua alikuwa anatumia mbinu gani kukamata CIA na MI6 wengi vile.....
kama una makala yake idondoshe hapa na usisahau kunitag
 
Huyo mwanakamati anasema kuwa Kumuua Stalin hao majasusi walitumia kidonge, sasa mpaka Mkuu wa nchi anauawa kirahisi hivyo we mkuu huoni huo ni udhaifu mkubwa?
Dunia ina story nyingi sana....zingine mpaka mtu afe ndio zinasemwa tena za kufunga tu. Stalin was a bastard...
 
Usibase kwenye Disadvantages zake tu, balance kotekote

Bila ya Stalin katika dunia yetu kusingekuwa na Balance of power!

Ni nani angecompete na US in terms of Military&Armaments baada ya kumalizika kwa vita kuu ya pili ya Dunia? Canada au Brazil ? Ulaya yote ilikuwa ni kama haina uwezo wa kusimama/kujiendesha kwa kurun governments sababu ya kuathirika zaidi na vita (WW 2) kuliko eneo lolote lile duniani.

Stalin pekee ndie aliefanya muujiza wa kuifukuzia na kuikuta Post WW2 Newly emergent Superpower United States of America
 
Mkuu umenena vema, binafsi ninaamini nina mchango mkubwa sana hususani wa taarifa muhimu za kuisaidia taasisi zetu za kiuchunguzi ....ila namna ya kuwapata ndio kazi
Achana na General Yuri Drozdov wa Illegals Program.
Huyu alikuwa ni Counter Intelligence Officer based in Japan.
Yaani yeye alikuwa ni msomi wa Chuo Kikuu na alikamata sana majasusi wa CIA na MI6 kwa wingi.
NATO walichanganyikiwa sana wakawa wanahisi labda kuna watu wanatoa siri za CIA na MI6; kumbe jamaa katembelea nchi zote za Warsaw Pact na zile za Kikomunisti duniani akafanya utafiti mkubwa kuhusu tabia za kipekee (Peculiar Human Behavior) za majasusi wa CIA na MI6 na akatengeneza Bango-Kitita (Matrix) kubwa kweli akawapelekea KGB.

Hivyo mle ndani kukawa na somo kabisa wanafundishwa majasusi wa KGB-Counter Intelligence kuhusu CIA behaviour. Wanakwambia zaidi ya asilimia 85% ya tabia zilizoorodheshwa mle zilikuwa ni za majasusi wa CIA na MI6. Baada ya kuanguka Urusi ya kisovieti CIA walimfuata awaeleze alitumia mbinu gani kuwakamata wengi vile. Baadae wakaja kuambiwa ni kutumia Peni, Karatasi na kuangalia kwa jicho la tatu tu......!

NB 1: Tafuta kitabu cha Oxford kinaitwa "Near and distant neighbours: A new history of soviet Intelligence (The Extraordinary achievements of Yuri Totrov Page 251 na Page 252)" kimeandikwa na Jonathan Haslam. Sasa huwa najiuliza sana maswali kama: Hivi miaka ya 70's na 80's KGB walikuwa wanafanya hivi unategemea leo ndiyo nchi yenu inakutana na majasusi wa namna hii hivi kuna kupona kweli ???

NB 2: Yuri Totrov ni uthibitisho tosha kwamba hakuna silaha kubwa duniani kama Ubongo wa mwanadamu, pia hakuna kitu chenye nguvu kama Human Intelligence. Aliweza kufanya ujasusi kwa kutumia COMMON SENSE na kuweza kushindana na CIA ambayo ilikuwa iko mbele sana kwenye swala la teknolojia na fedha.

Watanzania tuna nini cha kujifunza hapa ???
Tunaweza tusiwe na pesa nyingi na teknolojia kubwa sana lakini tukafanikiwa kwa kiasi kikubwa mno katika kulinda maslahi mapana ya nchi. Japo ni kweli kwa dunia ya sasa tunahitaji pesa na teknolojia lakini hili halitakiwi kutufanya tulemae na kutegemea kuomba msaada wa taarifa au kununua vyombo vya kijasusi kutoka nchi za nje: Ni hatari sana kwetu.......

CC: Consigliere, Red Giant , zitto junior , chige , mng'ato, Mbimbinho, Da'Vinci , Dragoon , mngony , Bukyanagandi
 
Attachments

Back
Top Bottom