Declassified KGB documents: Churchill alimuua Stalin

Declassified KGB documents: Churchill alimuua Stalin

I like that! Jamaa wa ukweli
====
Sasa ni nani alifichua siri ya bango kitita?

Mambo mengi ya K.G.B yalikuja kuvuja sana baada ya Urusi ya Kisovieti kuanguka,
Majasusi wengi wa Urusi walikuwa wanauza sana taarifa nyingi sana za K.G.B kwa watu waliokuwa wanahitaji,
Ila Information nyingi sana za K.G.B zilikuwa declassified na Rais Boris Yeltsin na Viongozi wa K.G.B miaka ya 90's.
Ndiyo maana ukisoma hicho kitabu utaona baadhi ya hizo tabia zimewekwa pale,...Kusema nani alizitoa siwezi kusema kwasababu sifahamu lakini ninachokijua ni kwamba aliyeandika hichi kitabu ni Mwanazuoni Mkubwa sana ambaye alifanya Utafiti mkubwa sana nchi Urusi na majasusi wa Urusi walimsaidia kufanya huo utafiti.

NB: Nyaraka nyingi za K.G.B zilivuja na nyingine kama Manuals za Jinsi ya Kufundishia Majasusi zinasemekana zipo kabisa, (According to James Clapper, The Former Director of American National Intelligence) Lakini zile nyetu sana FSB na SVR hawaruhusiwi kuzitoa nje na wamezitunza mpaka leo....
 
Kumbe yanatokea kirahisi hiyo?? dunia kubwa sana Afrika,Ulaya zote, Asia na Marekani
 
Daah aisee noma sana, huko kwenu mkuu nasikia ni rahisi kuzipata?
 
Mbabe wa stalin
 
Attachments

  • Adolf-Hitler-789141.jpg
    Adolf-Hitler-789141.jpg
    38.2 KB · Views: 110
Huyo walimpatia. Aliua Wayahudi wa kutosha maana walikuwa wapinzania wa sera zake.
kwa asingeua Wayahudi asingekufa?
kwa hiyo unataka kusema kwamba hakuuwawa kwa sababj ya sera zake kutopendwa na nchi za magharibi?
 
Achana na Genereal Yuri Drozdov wa Illegal Program.
Huyu alikuwa ni Counter Intelligence Officer based in Japan.
Yaani yeye alikuwa ni msomi wa Chuo Kikuu na alikamata sana majasusi wa CIA na MI6 kwa wingi.
NATO walichanganyikiwa sana wakawa wanahisi labda kuna watu wanatoa siri za CIA na MI6; kumbe jamaa katembelea nchi zote za Warsaw Pact na zile za Kikomunisti duniani akafanya utafiti mkubwa kuhusu tabia za kipekee (Peculiara Human Behavior) za majasusi wa CIA na MI6 na akatengeneza Bango-Kitita (Matrix) kubwa kweli akawapelekea KGB.

Hivyo mle ndani kukawa na somo kabisa wanafundishwa majasusi wa KGB-Counter Intelligence kuhusu CIA behaviour. Wanakwambia zaidi ya asilimia 85% ya tabia zilizoorodheshwa mle zilikuwa ni za majasusi wa CIA na MI6. Baada ya kuanguka Urusi ya kisovieti CIA walimfuata awaeleze alitumia mbinu gani kuwakamata wengi vile. Baadae wakaja kuambiwa ni kutumia Peni, Karatasi na kuangalia kwa jicho la tatu tu......!

NB 1: Tafuta kitabu cha Oxford kinaitwa "Near and distant neighbours: A new history of soviet Intelligence (The Extraordinary achievements of Yuri Totrov Page 251 na Page 252)" kimeandikwa na Jonathan Haslam. Sasa huwa najiuliza sana maswali kama: Hivi miaka ya 70's na 80's KGB walikuwa wanafanya hivi unategemea leo ndiyo nchi yenu inakutana na majasusi wa namna hii hivi kuna kupona kweli ???

NB 2: Yuri Totrov ni uthibitisho tosha kwamba hakuna silaha kubwa duniani kama Ubongo wa mwanadamu, pia hakuna kitu chenye nguvu kama Human Intelligence. Aliweza kufanya ujasusi kwa kutumia COMMON SENSE na kuweza kushindana na CIA ambayo ilikuwa iko mbele sana kwenye swala la teknolojia na fedha.

Watanzania tuna nini cha kujifunza hapa ???
Tunaweza tusiwe na pesa nyingi na teknolojia kubwa sana lakini tukafanikiwa kwa kiasi kikubwa mno katika kulinda maslahi mapana ya nchi. Japo ni kweli kwa dunia ya sasa tunahitaji pesa na teknolojia lakini hili halitakiwi kutufanya tulemae na kutegemea kuomba msaada wa taarifa au kununua vyombo vya kijasusi kutoka nchi za nje: Ni hatari sana kwetu.......

CC: Consigliere, Red Giant , zitto junior , chige , mng'ato, Mbimbinho, Da'Vinci , Dragoon , mngony , Bukyanagandi
Mkuu unafahamu jinsi ya kutafuta habari. Full respect !!!! Hizo habari za kijasusi uko sahihi nimepekua documentary kibao, Nimejifunza mengi. Mpaka raha. Hii Dunia ipo ndivyo sivyo.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mkuu umeniita ???

Mkuu baada ya kuisoma ile doc uliyoitoa, nimeshawishika kwamba at least kulikuwa na significant but not relative Air weaponry supply kwenda kwa Ho Chi Minh.

Naamini hata hivyo lau kungekuwa na Relative supply of armaments kwenda kwa wale jamaa sidhani kama Mmarekani angedominate uwanja wa vita. Maana ukiachana na kwamba US walishindwa at the end but walidominate battle ground, tofauti kabisa na ilivyokuwa cold war proxy wars in Stalin's Era
 
Daah noma kweli jamaa noma kumbe hao looh
 
Mkuu tofauti na jinsi ambavyo vitabu vingi vinatudanganya,
Vietnam ziligawanyika na kuwa nchi mbili tofauti tokea mwaka 1954 baada ya kumpiga Mfaransa.
Walikuwa na nchi kabisa ya Kikomunisti iliyokuwa na masilaha mazito tokea Urusi na Uchina.
Vita vya msituni vilikuwa vinapigwa na Vietcong nchini Vietnam Kusini na ndiko walikuwa wanatuma Guerrillas Fighters!

Marekani alitawala Uwanja wa vita kwasababu sehemu kubwa ya vita imepiganiwa Vietnam Kusini na siyo Vietnam Kaskazini ambako vikosi vya Marekani na NATO vilikuwepo. Kule juu makao makuu ilikuwa ni ngumu sana kwenda kwasababu kulikuwa na maelfu ya Warusi, Wachina na Wakorea Kaskazini. Hivyo hii hoja ya kusema warusi hawakutoa silaha haina ukweli wowote ule.

NB: Hebu angalia hii ramani na uone maeneo ambapo vita zilipiganwa halafu uone kwamba Marekani alitawala vita kwasababu Vietnam Kaskazini walikuwa wanatuma wanajeshi wa Msituni wasio na silaha nzito sana. Walikuwa wanapitia nchi ya Laos ili kuingia Vietnam Kusini ambapo Marekani alikuwa ameweka kambi yake.
Vietnam War-Belligerent Movement.jpg
 
Back
Top Bottom