DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

Mbona mnaku hivyo? Hata kama watapoteza pesa zao kwanini msiwaache? Maana naona mnashabikia wee bila kutoa mbadala Kinachosikitisha serikali ilikuwa inachukuwa kodi na bila kujua kuwa hawa watu wanafanya kazi gani!

Tungekuwa na elimu tusinge ibiwa , Ila nawapa pole woote ambao mmeona DECI tu! Ndio wezi pole sana kutokana na upeo wenu. Ili kuepuka haya matatizo naiomba serikali iwe inapima upe kwa kila kitu kinachoendelea watu wafanye kazi zao.
 
Uongozi wa DECI wakubali utafiti ufanyike? Kakobe atoa tamko kwa kusema DECI inaenda kinyume na mafundisho ya Mungu. Mafundisho ya Mungu yanakataza kucheza michezo upatu. Hii ni kwenda kinyume na mapenzi ya MUNGU.

Uongozi wa DECI umekana taarifa kwamba wanapata msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi. Viongozi wa DECI wamakiri walipata maono kutoka kwa Mungu. Waziri Mkuu alikataa kabisa kwamba DECI si maono kutoka kwa MUNGU? Alieleza kwamba DECI haina mwelekeo mzuri. Kuwekeza DECI ni kuharibu mitaji ya wananchi. Ipo siku watalia, hii hali inaweza kuvuruga amani nchini. I think cure is better than prevention.
 
Wameamua kufunga ofisi zao zote mpaka watakapomalizana na Serikali. Kwa jinsi mambo yalivyo sasa, lawama zote zitakuwa kwa serikali ingawa ukweli wa pyramid scheme unafahamika. Wakifunga moja kwa moja sijui fedha za waliopanda zitapatikana vipi?

Naona wanaDECI wenye hasira walikuwa na msako wa waandishi, kwa kuwatuhumu kuwa ndio wachochezi kwa serikali kufuatilia. Ninadhani wangeweza wangevamia JF, kwa kuwa vuguvugu hili lilianzia hapa muda mrefu. Ninaamini kama nisemavyo siku zote tatizo letu Tz ni kubwa kuliko tunavyofikiria. Elimu yoyote itolewayo kuhusu DECI wanachama wanaandamana, kweli sikio la kufa halisikii dawa.
 
poleni sana kwa MGOMBEA WENU KUSHINDWA VIBAYA, mwambieni ajaribu next time.....!
ila lo labda uraisi wa 'PRAIDI' na sio urais wa Tanzania....!

Wa kulaumu ni maaskofu wa kilokole, ambao wanajua kuwa kila kitu wanachosema waumini wanapokea, na bado wanawapotosha katika mambo ya msingi. Hili watajibu hata kwa Mungu.

Wenzao Maaskofu walokole wa Kenya wamejuta baada ya DECI kuanguka kenya, na wamekiri kupotosha waumini wao.

Wa kulaumu pia ni watu kama wewe Mkuu Mahesabu, ambao mnakataa kukubali MSINGI wa DECI ni Ponzi, na hamuoni mbali bali kutoa mifano ya mama ntilie 'waliovuna' wakati historia imejaa mifano ya maanguko ya Ponzi schemes Columbia, Philipines, Albania, Kenya, Madoff wa USA n.k.

Asiyefahamu, na anadhani anafahamu, huyo ni hatari.

Ni heri asiyefahamu na anajua kuwa hafahamu, huyo anaelimishika....
 
nilivyosikia ni kwamba wamefunga kwa muda ili wazungumze na vyombo husika yaani serikali halafu watawajulisha washirika wao. Nafikiri wanatakiwa kupewa nafasi ya kukutana na serikali kwanza kabla ya kuwahukumu moja kwa moja! kwani viongozi wa DECI wanadai wao sio upatu
 
Issue kubwa hapa ni umaskini uliotawala watanzania waliowengi huku baadhi ya viongozi wakijilimbikizia mali ya umma pasipo hata hata! Umaskini umefanya watu wakafanya unusual things. Ukikopa bank km barclays Tanzania riba ni 25% sasa kwanini nisiende DECI ambayo inatoa mavuno makubwa?

Mifumo yote ya fedha ipo kwa ajili ya matajiri na siyo maskini. Hii inamaanisha serikali ya CCM imeshindwa kutoa huduma za jamii mifano mizuri nenda mahospitalini watu wanalazwa wawili au zaidi kwenye kitanda kimoja. Haya yote ni matokeo mabaya ya uongozi wa CCM wachache ndo wenye nacho, ndo maana wananchi wanakimbilia kwenye DECI
 
Mungu ashukuriwe -- kama ni kweli.

Mungu ashukuriwe kwa lipi ndugu yangu? 1) Ashukuriwe kwa ufisadi waliofanyiwa watu maskini, ambao sasa wanalia na kusaga meno, wakiwa na hofu kuu juu ya usalama wa fedha zao? au 2) Ashukuriwe kwa ufisadi waliofanyiwa watu maskini, ambao kila uchao wanadanganywa na wanasiasa (soma Watawala) kwamba wataletewa maendeleo, ambayo mpaka leo yamekuwa ni ndoto. Nafasi pekee waliyoipata wananchi ya kujipatia maendeleo ya kweli imezimwa kama mshumaa uliozimika kwa upepo mkali... Upepo hauna muamana na kila kilichoko kwenye njia yake... Wanasiasa nao vile vile, hawana muamana na yeyote yule aliyeko kwenye njia yao, wanamuona kila anayetaka kuleta maendeleo ya kweli kuwa hatari kwa uhai wao, kwani, maendeleo yakija, wanasiasa watakosa kazi.

watamwambia nani juu ya maendeleo ambayo tayari YAPO? Mmeshabikia kufutwa kwa DECi bila kupambanua kwa kina nini kinachoendelea. 1) Mwaka 2007, PRIDE Tanzania ilichukua mkopo wa USD 1.2 million kutoka Hivos-Triodos Fund. Kwa mujibu wa taarifa zilizoko kwenye Internet (nenda uka-google utapata), PRIDE Tanzania "is the largest microfinance institution in Tanzania". Haya, hii taasisi ya microfinance iliyo kubwa kuliko zote, iliyoanzishwa miaka ya 90, ina wanachama 75,000 (takriban), mpaka sasa. DECI, iliyoanza shughuli zake 2006 ina takriban wanachama 500,000! Mjiulize:

Kwa nini DECI imefanikiwa mapema haraka kiasi hicho? Ina maana watu wote hao ni wajinga na mbumbumbu, wasiojua kwamba wanatapeliwa? 2) Kuanzia 2006, wakati DECI ilipoanzisha Tushikamane Revolving Fund, haikukopesha, lakini mwaka 2007 ilipoomba kibali cha kuwakopesha wanachama wake huko Wizara ya Biashara na Viwanda ILIKATALIWA. Haya, LEO hii Gavana Benno Ndulu anasema DECI isajiliwe ili IWAKOPESHE wanachama wake. 3) Mojawapo ya kundi la wanachama wa DECI ni wafanyakazi wa Benki (kama vile NMB, CRDB na nyinginezo...).

Hawa, baada ya kuona hawatapata faida ya maana kwenye benki zao, wamekuwa wakichukua mikopo ya muda mfupi, wakipanda mbegu zao na kuvuna, kisha kurejesha mikopo hiyo na kuendelea na kupandikiza mbegu hizo, kwenye mfumo huo wa revolving fund. Wale walioanzia 2006 sasa wamekuwa wakivuna zaidi ya Shs. 10 million kwa mara moja. 4) Matatizo ya upatikanaji wa pesa yameanza tu mara Serikali ilipoingilia kati mpango huu, kwa kuwa nia ilikuwa kuhakikisha kwamba DECI INAKUFA KWA HALI YOYOTE ILE.

Mikakati iliyopangwa ilikuwa ni pamoja na (i) kujenga hoja potofu kwamba DECI ni utapeli, bila hata ya kutaja ni aina gani ya utapeli unaofanyika, (ii) kujenga hoja kwamba wasimamizi wa DECI ni watu matapeli, bila kusema ni watu wa aina gani (ukweli ni kwamba hawa ni watu wa Kanisa, kama sikosei, Kanisa la Kibaptisti... MIMI NI MUISLAM, na si mwanachama wa DECI... lakini kama ningejua kuhusu undani wa DECI singeangalia UDINI wa walioianzisha, ningejiunga nao...), (iii) kujenga hoja kwamba DECI itakufa, bila hata ya kusema itakufa kwa namna gani. 5) Kuna tofauti kubwa kati ya "Pyramid Scheme" na "Revolving Fund". Mkitaka niwafafanulie, hiyo ni mada pekee, inayojitosheleza.

BOT, kwanza ninashangaa, jinsi ilivyojazwa na ufisadi inapataje uhalali wa kusema kwamba DECI ni matapeli, imetoa tangazo kwamba DECI inakwenda kinyume na sheria. Mbona haikutangaza ni sheria gani (na vifungu vyake) iliyokiukwa? Unapomshtaki mtu, tena kosa la jinai, ana haki ya kujua anashtakiwa kwa kosa gani. DECI hawakuambiwa wameshtakiwa kwa kosa gani, mbaya zaidi, wananchi/wanachama wa DECI wametishwa na BOT waondoe fedha zao kule, au wasiwe na imani na DECI, ili DECI ife! 6) Kama DECI - na hiki ndicho kiini cha matatizo - ingeachwa iendelee, watu wangeendelea kuvuna, na kuvuna, kiasi kwamba benki za kawaida zingekosa uhalali wake. Watu wangeondoa amana zao kwenye benki (NMB, CRDB, NBC, BARCLAYS, STANBIC, etc.), kisha kuzipeleka DECI, ambapo wangepata faida kubwa zaidi, kwa kuwa DECI HAIKOPESHI. Wote mnajua (na hili si kwa Uislam pekee) kwamba vitabu vya Mungu vimeharamisha RIBA!

Mikopo yote inayotolewa kwa minajili ya kutoza RIBA ni haramu. Lakini tumezaliwa na kukuukuta mfumo huu, ambao ndio umeanza kuhatarisha mfumo wa kiuchumi wa dunia... si mmeyaona wenyewe? 7) DECI haikuanzishwa ili IKOPESHE wanachama wake, kwani waanzilishi wake, ambao ni watu wa KANISA, walitambua kwamba kufanya hivyo kungekuwa ni kuzidi kuwakandamiza watu maskini, mafukara, wasiokopesheka, wasio na hata hati ya kibanda, ambao wakienda benki wanarudishwa nyuma, na wakienda PRIDE na FINCA wanaambiwa wajiunge vikundi vya watu 5 kila kikundi, na wanageuzwa kuwa watumwa wa kufanya kazi kwa bidii ili WALIPE RIBA ya mkopo, hatimaye kushindwa kulipa mkopo! Kama ninayoyasema ni uongo, waulizeni PRIDE na FINCA wawambie wana wanachama wangapi mpaka sasa na DECI wana wanachama wangapi?

Benki huwa zinaikopesha Serikali ili iweze kuendesha shughuli zake za kiserikali (soma kifisadi), na kama watu wakitoa amana zao kwenye hizo benki, hakutakuwa na pesa za kuikopesha Serikali, hatimaye Serikali itaporomoka na kukosa uhalali wa kuitwa "Serikali", kwani, kadri jinsi watu wanavyoneemeka na kuwa na uwezo mkubwa wa kiuchumi, viongozi wa kuchaguliwa wanakosa watu wa kuwasimamia. Wananchi wakijenga Shule zao wenyewe, Hospitali zao wenyewe, mifumo yao wenyewe, na (asilani!) mitambo yao wenyewe ya kuzalisha nishati ya umeme, ili waweze kuwa na (a) nyumba bora, (b) lishe bora, (c) elimu bora, (d) afya bora, hapo ndipo kutakuwa na MAENDELEO! DECI waliwapa nuru Watanzania wanyonge - maskini - walio wengi. Lakini Serikali yetu hii - ya kifisadi - imediriki kwenda kuwakandamiza na kuizima nuru hiyo ya matumaini! Kumbe zile ahadi za "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania" zilikuwa danganya toto?

Sasa mmeamini wenyewe! Mmeshabikia DECI kufungwa, haya, nendeni, kama kondoo mnaotaka kuchungwa, mkaweke pesa zenu kwenye benki (NMB, NBC, CRDB, BARCLAYS, STANBIC, PRIDE, FINCA, etc.) tuone kama mtayapata hayo "Maisha Bora"! Kumbukeni, PRIDE ilikuwa na wanachama 75,000. Sasa wamepungua, na kuwa takriban 50,000! Ina maana, 25,000 waliondoka na kwenda DECI. Sasa Iddi Simba aliona hatari, atarudishaje mkopo wa USD 1.2 million huko kwa Wadachi wa Hivos-Triodos Fund? Ukitaka kusoma habari hizo, just Google "Pride Tanzania", utaona link mojawapo! Wala si siri!

Ama kweli, wajinga ndio waliwao! Nimetoa somo... atakayekwazwa, aniwie radhi! Sasa kilichobaki, Uchaguzi Mkuu! 2010 ni keshokutwa! Tutaona itakavyokuwa, au sio? Umejiandikisha kupiga kura? ./Mwana wa Haki
 
Mungu ashukuriwe kwa lipi ndugu yangu? 1) Ashukuriwe kwa ufisadi waliofanyiwa watu maskini, ambao sasa wanalia na kusaga meno, wakiwa na hofu kuu juu ya usalama wa fedha zao? au 2) Ashukuriwe kwa ufisadi waliofanyiwa watu maskini, ambao kila uchao wanadanganywa na wanasiasa (soma Watawala) kwamba wataletewa maendeleo, ambayo mpaka leo yamekuwa ni ndoto. Nafasi pekee waliyoipata wananchi ya kujipatia maendeleo ya kweli imezimwa kama mshumaa uliozimika kwa upepo mkali... Upepo hauna muamana na kila kilichoko kwenye njia yake... Wanasiasa nao vile vile, hawana muamana na yeyote yule aliyeko kwenye njia yao, wanamuona kila anayetaka kuleta maendeleo ya kweli kuwa hatari kwa uhai wao, kwani, maendeleo yakija, wanasiasa watakosa kazi... watamwambia nani juu ya maendeleo ambayo tayari YAPO? Mmeshabikia kufutwa kwa DECi bila kupambanua kwa kina nini kinachoendelea. 1) Mwaka 2007, PRIDE Tanzania ilichukua mkopo wa USD 1.2 million kutoka Hivos-Triodos Fund. Kwa mujibu wa taarifa zilizoko kwenye Internet (nenda uka-google utapata), PRIDE Tanzania "is the largest microfinance institution in Tanzania". Haya, hii taasisi ya microfinance iliyo kubwa kuliko zote, iliyoanzishwa miaka ya 90, ina wanachama 75,000 (takriban), mpaka sasa. DECI, iliyoanza shughuli zake 2006 ina takriban wanachama 500,000! Mjiulize: Kwa nini DECI imefanikiwa mapema haraka kiasi hicho? Ina maana watu wote hao ni wajinga na mbumbumbu, wasiojua kwamba wanatapeliwa? 2) Kuanzia 2006, wakati DECI ilipoanzisha Tushikamane Revolving Fund, haikukopesha, lakini mwaka 2007 ilipoomba kibali cha kuwakopesha wanachama wake huko Wizara ya Biashara na Viwanda ILIKATALIWA. Haya, LEO hii Gavana Benno Ndulu anasema DECI isajiliwe ili IWAKOPESHE wanachama wake. 3) Mojawapo ya kundi la wanachama wa DECI ni wafanyakazi wa Benki (kama vile NMB, CRDB na nyinginezo...). Hawa, baada ya kuona hawatapata faida ya maana kwenye benki zao, wamekuwa wakichukua mikopo ya muda mfupi, wakipanda mbegu zao na kuvuna, kisha kurejesha mikopo hiyo na kuendelea na kupandikiza mbegu hizo, kwenye mfumo huo wa revolving fund. Wale walioanzia 2006 sasa wamekuwa wakivuna zaidi ya Shs. 10 million kwa mara moja. 4) Matatizo ya upatikanaji wa pesa yameanza tu mara Serikali ilipoingilia kati mpango huu, kwa kuwa nia ilikuwa kuhakikisha kwamba DECI INAKUFA KWA HALI YOYOTE ILE. Mikakati iliyopangwa ilikuwa ni pamoja na (i) kujenga hoja potofu kwamba DECI ni utapeli, bila hata ya kutaja ni aina gani ya utapeli unaofanyika, (ii) kujenga hoja kwamba wasimamizi wa DECI ni watu matapeli, bila kusema ni watu wa aina gani (ukweli ni kwamba hawa ni watu wa Kanisa, kama sikosei, Kanisa la Kibaptisti... MIMI NI MUISLAM, na si mwanachama wa DECI... lakini kama ningejua kuhusu undani wa DECI singeangalia UDINI wa walioianzisha, ningejiunga nao...), (iii) kujenga hoja kwamba DECI itakufa, bila hata ya kusema itakufa kwa namna gani. 5) Kuna tofauti kubwa kati ya "Pyramid Scheme" na "Revolving Fund". Mkitaka niwafafanulie, hiyo ni mada pekee, inayojitosheleza. BOT, kwanza ninashangaa, jinsi ilivyojazwa na ufisadi inapataje uhalali wa kusema kwamba DECI ni matapeli, imetoa tangazo kwamba DECI inakwenda kinyume na sheria. Mbona haikutangaza ni sheria gani (na vifungu vyake) iliyokiukwa? Unapomshtaki mtu, tena kosa la jinai, ana haki ya kujua anashtakiwa kwa kosa gani. DECI hawakuambiwa wameshtakiwa kwa kosa gani, mbaya zaidi, wananchi/wanachama wa DECI wametishwa na BOT waondoe fedha zao kule, au wasiwe na imani na DECI, ili DECI ife! 6) Kama DECI - na hiki ndicho kiini cha matatizo - ingeachwa iendelee, watu wangeendelea kuvuna, na kuvuna, kiasi kwamba benki za kawaida zingekosa uhalali wake. Watu wangeondoa amana zao kwenye benki (NMB, CRDB, NBC, BARCLAYS, STANBIC, etc.), kisha kuzipeleka DECI, ambapo wangepata faida kubwa zaidi, kwa kuwa DECI HAIKOPESHI. Wote mnajua (na hili si kwa Uislam pekee) kwamba vitabu vya Mungu vimeharamisha RIBA! Mikopo yote inayotolewa kwa minajili ya kutoza RIBA ni haramu. Lakini tumezaliwa na kukuukuta mfumo huu, ambao ndio umeanza kuhatarisha mfumo wa kiuchumi wa dunia... si mmeyaona wenyewe? 7) DECI haikuanzishwa ili IKOPESHE wanachama wake, kwani waanzilishi wake, ambao ni watu wa KANISA, walitambua kwamba kufanya hivyo kungekuwa ni kuzidi kuwakandamiza watu maskini, mafukara, wasiokopesheka, wasio na hata hati ya kibanda, ambao wakienda benki wanarudishwa nyuma, na wakienda PRIDE na FINCA wanaambiwa wajiunge vikundi vya watu 5 kila kikundi, na wanageuzwa kuwa watumwa wa kufanya kazi kwa bidii ili WALIPE RIBA ya mkopo, hatimaye kushindwa kulipa mkopo! Kama ninayoyasema ni uongo, waulizeni PRIDE na FINCA wawambie wana wanachama wangapi mpaka sasa na DECI wana wanachama wangapi? Benki huwa zinaikopesha Serikali ili iweze kuendesha shughuli zake za kiserikali (soma kifisadi), na kama watu wakitoa amana zao kwenye hizo benki, hakutakuwa na pesa za kuikopesha Serikali, hatimaye Serikali itaporomoka na kukosa uhalali wa kuitwa "Serikali", kwani, kadri jinsi watu wanavyoneemeka na kuwa na uwezo mkubwa wa kiuchumi, viongozi wa kuchaguliwa wanakosa watu wa kuwasimamia. Wananchi wakijenga Shule zao wenyewe, Hospitali zao wenyewe, mifumo yao wenyewe, na (asilani!) mitambo yao wenyewe ya kuzalisha nishati ya umeme, ili waweze kuwa na (a) nyumba bora, (b) lishe bora, (c) elimu bora, (d) afya bora, hapo ndipo kutakuwa na MAENDELEO! DECI waliwapa nuru Watanzania wanyonge - maskini - walio wengi. Lakini Serikali yetu hii - ya kifisadi - imediriki kwenda kuwakandamiza na kuizima nuru hiyo ya matumaini! Kumbe zile ahadi za "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania" zilikuwa danganya toto? Sasa mmeamini wenyewe! Mmeshabikia DECI kufungwa, haya, nendeni, kama kondoo mnaotaka kuchungwa, mkaweke pesa zenu kwenye benki (NMB, NBC, CRDB, BARCLAYS, STANBIC, PRIDE, FINCA, etc.) tuone kama mtayapata hayo "Maisha Bora"! Kumbukeni, PRIDE ilikuwa na wanachama 75,000. Sasa wamepungua, na kuwa takriban 50,000! Ina maana, 25,000 waliondoka na kwenda DECI. Sasa Iddi Simba aliona hatari, atarudishaje mkopo wa USD 1.2 million huko kwa Wadachi wa Hivos-Triodos Fund? Ukitaka kusoma habari hizo, just Google "Pride Tanzania", utaona link mojawapo! Wala si siri! Ama kweli, wajinga ndio waliwao! Nimetoa somo... atakayekwazwa, aniwie radhi! Sasa kilichobaki, Uchaguzi Mkuu! 2010 ni keshokutwa! Tutaona itakavyokuwa, au sio? Umejiandikisha kupiga kura? ./Mwana wa Haki

Mwanahaki,

Vipi unampango wa kuingia kny kinyang'anyiro chochote cha uchanguzi next year? You sound good politician man.....!Though umeponda siasa za Tz hapo juu!

Umedwell kny politics tu bila kuelezea operations za DECI technically kama unaijua vizuri ndg yangu, ambalo lingekuwa jambo jema sana ili na sisi wengine tunafikiri ni pyramid scheme tujiridhishe kuwa ni Revolving Fund kama unavyodai!

Kama huwezi kutoa technical operations za DECI ili tuzichambue, sorry sisi wengine kadiri tulivyoielewa hii kitu itabikia tu kuwa ni scheme ya kitapeli ndugu yangu!
 
Mkuu,

This is TOO LOW!

Dah! yaani kama ungekuwa unachangia hivi kule Ethinktank ingekuwa hatari.

CCM itashinda tu hata iweje mkuu. NO doubt abt that.

Anyway kila mtu ana haki ya kuandika.
 
kuwahi kupata ila nasikitikia watanzania waliopanda ktk ardhi yenye mwamba.
Mwanahaki ameelezea kwa kina namna ya kuhalalisha au uhalali wa mfumo wa upatikanaji wa fedha chapchap ambapo in real sense ni kwamba hakuna hata mchanganuo walioutoa DECI kuonesha how wanavyozalisha hiyo mijihela.

Lawama kwa BOT hazikwepeki na uwajibikaji uchukue mkondo wake kwani taasisi hii DECI walikuwepo mda mrefu wakinyonya vijisenti vya ngama vya watanzania wenzetu.

Watanzania nawapa shime kuwa tuamke tufanye kazi, tuishi ktk bajeti ili kukimu maisha ya sasa. pia vyombo hasa mabenki na saccoss na mashirika kama pride na finca waache utoto wa kuwahamasisha wananchi kukopa mitaji ya elfu hamsini kuanzishia biashara, kwani huku ndiko kuwafilisi maskini.

Mwanahaki hebu nifute tongotongo unipe somo kuwa jinsi gani mdau atafaidika na pyramid scheme?
 
Mungu ashukuriwe kwa lipi ndugu yangu?

(1) Ashukuriwe kwa ufisadi waliofanyiwa watu maskini, ambao sasa wanalia na kusaga meno, wakiwa na hofu kuu juu ya usalama wa fedha zao? au

(2) Ashukuriwe kwa ufisadi waliofanyiwa watu maskini, ambao kila uchao wanadanganywa na wanasiasa (soma Watawala) kwamba wataletewa maendeleo, ambayo mpaka leo yamekuwa ni ndoto. Nafasi pekee waliyoipata wananchi ya kujipatia maendeleo ya kweli imezimwa kama mshumaa uliozimika kwa upepo mkali... Upepo hauna muamana na kila kilichoko kwenye njia yake...
Wanasiasa nao vile vile, hawana muamana na yeyote yule aliyeko kwenye njia yao, wanamuona kila anayetaka kuleta maendeleo ya kweli kuwa hatari kwa uhai wao, kwani, maendeleo yakija, wanasiasa watakosa kazi... watamwambia nani juu ya maendeleo ambayo tayari YAPO? Mmeshabikia kufutwa kwa DECi bila kupambanua kwa kina nini kinachoendelea.

(1) Mwaka 2007, PRIDE Tanzania ilichukua mkopo wa USD 1.2 million kutoka Hivos-Triodos Fund. Kwa mujibu wa taarifa zilizoko kwenye Internet (nenda uka-google utapata), PRIDE Tanzania "is the largest microfinance institution in Tanzania". Haya, hii taasisi ya microfinance iliyo kubwa kuliko zote, iliyoanzishwa miaka ya 90, ina wanachama 75,000 (takriban), mpaka sasa. DECI, iliyoanza shughuli zake 2006 ina takriban wanachama 500,000! Mjiulize: Kwa nini DECI imefanikiwa mapema haraka kiasi hicho? Ina maana watu wote hao ni wajinga na mbumbumbu, wasiojua kwamba wanatapeliwa?

(2) Kuanzia 2006, wakati DECI ilipoanzisha Tushikamane Revolving Fund, haikukopesha, lakini mwaka 2007 ilipoomba kibali cha kuwakopesha wanachama wake huko Wizara ya Biashara na Viwanda ILIKATALIWA. Haya, LEO hii Gavana Benno Ndulu anasema DECI isajiliwe ili IWAKOPESHE wanachama wake.

(3) Mojawapo ya kundi la wanachama wa DECI ni wafanyakazi wa Benki (kama vile NMB, CRDB na nyinginezo...). Hawa, baada ya kuona hawatapata faida ya maana kwenye benki zao, wamekuwa wakichukua mikopo ya muda mfupi, wakipanda mbegu zao na kuvuna, kisha kurejesha mikopo hiyo na kuendelea na kupandikiza mbegu hizo, kwenye mfumo huo wa revolving fund. Wale walioanzia 2006 sasa wamekuwa wakivuna zaidi ya Shs. 10 million kwa mara moja.

(4) Matatizo ya upatikanaji wa pesa yameanza tu mara Serikali ilipoingilia kati mpango huu, kwa kuwa nia ilikuwa kuhakikisha kwamba DECI INAKUFA KWA HALI YOYOTE ILE. Mikakati iliyopangwa ilikuwa ni pamoja na (i) kujenga hoja potofu kwamba DECI ni utapeli, bila hata ya kutaja ni aina gani ya utapeli unaofanyika, (ii) kujenga hoja kwamba wasimamizi wa DECI ni watu matapeli, bila kusema ni watu wa aina gani (ukweli ni kwamba hawa ni watu wa Kanisa, kama sikosei, Kanisa la Kibaptisti... MIMI NI MUISLAM, na si mwanachama wa DECI... lakini kama ningejua kuhusu undani wa DECI singeangalia UDINI wa walioianzisha, ningejiunga nao...), (iii) kujenga hoja kwamba DECI itakufa, bila hata ya kusema itakufa kwa namna gani.

(5) Kuna tofauti kubwa kati ya "Pyramid Scheme" na "Revolving Fund". Mkitaka niwafafanulie, hiyo ni mada pekee, inayojitosheleza. BOT, kwanza ninashangaa, jinsi ilivyojazwa na ufisadi inapataje uhalali wa kusema kwamba DECI ni matapeli, imetoa tangazo kwamba DECI inakwenda kinyume na sheria. Mbona haikutangaza ni sheria gani (na vifungu vyake) iliyokiukwa? Unapomshtaki mtu, tena kosa la jinai, ana haki ya kujua anashtakiwa kwa kosa gani. DECI hawakuambiwa wameshtakiwa kwa kosa gani, mbaya zaidi, wananchi/wanachama wa DECI wametishwa na BOT waondoe fedha zao kule, au wasiwe na imani na DECI, ili DECI ife!

(6) Kama DECI - na hiki ndicho kiini cha matatizo - ingeachwa iendelee, watu wangeendelea kuvuna, na kuvuna, kiasi kwamba benki za kawaida zingekosa uhalali wake. Watu wangeondoa amana zao kwenye benki (NMB, CRDB, NBC, BARCLAYS, STANBIC, etc.), kisha kuzipeleka DECI, ambapo wangepata faida kubwa zaidi, kwa kuwa DECI HAIKOPESHI. Wote mnajua (na hili si kwa Uislam pekee) kwamba vitabu vya Mungu vimeharamisha RIBA! Mikopo yote inayotolewa kwa minajili ya kutoza RIBA ni haramu. Lakini tumezaliwa na kukuukuta mfumo huu, ambao ndio umeanza kuhatarisha mfumo wa kiuchumi wa dunia... si mmeyaona wenyewe?

(7) DECI haikuanzishwa ili IKOPESHE wanachama wake, kwani waanzilishi wake, ambao ni watu wa KANISA, walitambua kwamba kufanya hivyo kungekuwa ni kuzidi kuwakandamiza watu maskini, mafukara, wasiokopesheka, wasio na hata hati ya kibanda, ambao wakienda benki wanarudishwa nyuma, na wakienda PRIDE na FINCA wanaambiwa wajiunge vikundi vya watu 5 kila kikundi, na wanageuzwa kuwa watumwa wa kufanya kazi kwa bidii ili WALIPE RIBA ya mkopo, hatimaye kushindwa kulipa mkopo! Kama ninayoyasema ni uongo, waulizeni PRIDE na FINCA wawambie wana wanachama wangapi mpaka sasa na DECI wana wanachama wangapi?

Benki huwa zinaikopesha Serikali ili iweze kuendesha shughuli zake za kiserikali (soma kifisadi), na kama watu wakitoa amana zao kwenye hizo benki, hakutakuwa na pesa za kuikopesha Serikali, hatimaye Serikali itaporomoka na kukosa uhalali wa kuitwa "Serikali", kwani, kadri jinsi watu wanavyoneemeka na kuwa na uwezo mkubwa wa kiuchumi, viongozi wa kuchaguliwa wanakosa watu wa kuwasimamia.

Wananchi wakijenga Shule zao wenyewe, Hospitali zao wenyewe, mifumo yao wenyewe, na (asilani!) mitambo yao wenyewe ya kuzalisha nishati ya umeme, ili waweze kuwa na (a) nyumba bora, (b) lishe bora, (c) elimu bora, (d) afya bora, hapo ndipo kutakuwa na MAENDELEO! DECI waliwapa nuru Watanzania wanyonge - maskini - walio wengi. Lakini Serikali yetu hii - ya kifisadi - imediriki kwenda kuwakandamiza na kuizima nuru hiyo ya matumaini! Kumbe zile ahadi za "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania" zilikuwa danganya toto? Sasa mmeamini wenyewe!

Mmeshabikia DECI kufungwa, haya, nendeni, kama kondoo mnaotaka kuchungwa, mkaweke pesa zenu kwenye benki (NMB, NBC, CRDB, BARCLAYS, STANBIC, PRIDE, FINCA, etc.) tuone kama mtayapata hayo "Maisha Bora"! Kumbukeni, PRIDE ilikuwa na wanachama 75,000. Sasa wamepungua, na kuwa takriban 50,000! Ina maana, 25,000 waliondoka na kwenda DECI. Sasa Iddi Simba aliona hatari, atarudishaje mkopo wa USD 1.2 million huko kwa Wadachi wa Hivos-Triodos Fund? Ukitaka kusoma habari hizo, just Google "Pride Tanzania", utaona link mojawapo! Wala si siri! Ama kweli, wajinga ndio waliwao!

Nimetoa somo... atakayekwazwa, aniwie radhi! Sasa kilichobaki, Uchaguzi Mkuu! 2010 ni keshokutwa! Tutaona itakavyokuwa, au sio? Umejiandikisha kupiga kura? ./Mwana wa Haki
arrrg siku nyingine ukiandika jaribu kuweka paragraph.....
 
MIMI NI MUISLAM, na si mwanachama wa DECI... lakini kama ningejua kuhusu undani wa DECI singeangalia UDINI wa walioianzisha, ningejiunga nao...) 5) Kuna tofauti kubwa kati ya "Pyramid Scheme" na "Revolving Fund". Mkitaka niwafafanulie, hiyo ni mada pekee, inayojitosheleza. ./Mwana wa Haki

1) Umekiri mwenyewe kuwa hujui undani wa shughuli za DECI iweje unawatetea?
2) Tunaomba utufafanulie hii kitu inayoitwa "Revolving Fund"
 
1) Umekiri mwenyewe kuwa hujui undani wa shughuli za DECI iweje unawatetea?
2) Tunaomba utufafanulie hii kitu inayoitwa "Revolving Fund"

sijapata kuona akili njema kama hii.
well naunga mkono hoja. mwanahaki tupatie majibu muafaka pls
 
MwanaHaki mimi nikuulize swali moja tu, nitajie bishara hata moja duniani inayoweza kuzaa faida asilimia 100 kila mwezi, bila ya kuwa na risk yoyote.

Mdoff alikua anatoa consistent returns za 15% na badio hiyo haiwezekani! Kwasababu lazima kuwe na flactuations kwenye market yoyote. E.g kama unachimba mafuta bei ya mafuta hupanda na kushuka, kama unauza nyumba bei za nyumba hupanda na kushuka. Unless wanachapisha hizo hela haiwezekani kupata faida za namna hiyo.
 
Daima maskini ndiye anayekumbwa na adha zote hizi, kwa mtu aliye na uhakika wa kula kila siku ana haki ya kusema na kuongea sana kama wengine wanavyowaona waliopanda ni wajinga. Lakini sababu ya shida, asilimia kubwa ya Wa TZ hawajui wakiamka watakula nini?

Waandishi wengi pia wa magazeti ukiwapa visenti kidogo issue yako yoyote ile wanaweza kuandika na kukandia jinsi wanavyoweza (fedha inazungumza) mradi lengo limetimilika. Ndiyo maana mambo ya msingi ambayo wananchi wameibiwa mafedha kwa kiwango kikubwa walipozibwa midomo tu wakanyamaza.

Waalimu waliahidiwa mikopo ambayo ukijaza form asubuhi mchana unachukua lakini pasipo wao kujua kuwa watakuja kulipa riba ya asilimia 300 ?????? lakini kwa kuwa fedha inazungumzwa hiyo haionekani kwamba ni wizi wa kuchukua hata kile kidogo cha maskini. ALIYESHIBA HAMJUI MWENYE NJAA !!!!! Kila jambo lina wakati wake
 
Je pale ambapo mwenye njaa anataka kumsaidia mlala hoi mwenzake asiibiwe lakini isikilizwi inakuwaje? Kwani tuliyoyasema humu kuhusu huo wizi ni kidogo? Sikio la kufa..... Na sasa wauguze majeraha tu!

Na je, ukiwa masikini ndo unapoteza hata akili za kawaida tu za kutambua mema na mabaya? Naona kama mengine ni visingizio tu vya kuhalalisha ujuha. Siyo wote waliokwenda kupanda DECI ni masikini au wasiosoma, ingawa si kila aliyesoma ameelimika!
 
Back
Top Bottom