NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 28
Mod please iunganishwe na main thread ya DECI ni mwendelezo tu hakuna jipya
2009-04-10 10:08:00
In Morogoro, a CCM official, Mr Amos Makalla, paid a surprise visit to the local Deci branch, and said he would voice support for any scheme that enabled ordinary Tanzanians prosper.
.
Hivi huyu Makalla mimi binafsi nina allergy naye au na wengine humtambua kama nionavyo mie? kila siku yeye ni pumba kwa kwenda mbele, why yuko pale UWVT?
Kwangu hii DECI na hii VUNAVUNA NA SETO ya kwenye TV hakuna tofauti.
Ujinga unakuja wakati kimoja kinaonekana sawa na vingine kuonekana si sawa. Hivi vyote viko designed kuibia wananchi na vyote viondolewe kwa sababu hatuitaji pesa ya bure. Unasemaje hapo MMKJJ?
Hivi huyu Makalla mimi binafsi nina allergy naye au na wengine humtambua kama nionavyo mie? kila siku yeye ni pumba kwa kwenda mbele, why yuko pale UWVT?
Deci owners revealed
By The Citizen Reporters
In [/B]Kenya, when the same revolving fund scheme collapsed last December, it had KSh600 million (over Sh10 billion) in members? deposits.
The Kenyan government is still investigating the scheme, which was also run by religious leaders who were said to have confessed to luring members of their church into the scheme.
The collapse of the Kenyan firm ended in tragedy when angry investors threw one of its officials out from the window of a high-rise building, killing him in the process.
Another woman is said to have also collapsed and died after learning that she would not be able to recover her money from the company. Deci officials in Tanzania have not yet commented on their suspected links to the Kenyan company.
Manitoba; Jedwali lako nimelipitia lakini lina matatizo. Jinsi hawa jamaa walivyoiunda DECI ya Tanzania naaamini wali fine tune ile scheme yenyewe ili kuchelewesha kucollapse as much as possible halafu pia kuhakikisha itakapocollapse ina collapse in pieces not as a whole.
a. Katika hesabu zako upande wa mbegu mpya inaonekana umetumia a constant figure ya 200,000. Hii itakupa tatizo katika mahesabu kwani inaonekana nyongeza ya mbegu iko katika geometric progression. Hili ni tatizo kwani unatumia a constant 200,000 kuzidisha namba ya wanaojiunga. Hata hivyo, kiasi cha mbegu kinachopandwa kinabadilika badilika is not fixed. Hilo tatizo la kwanza.
b. Tatizo la pili la jedwali lako liko kwenye kukadiria watu wapya. Unakadiria wanaojiunga na DECI mama au kwenye matawi? Kungekuwa na DECI moja kubwa ni rahisi kuona mwelekeo huo wa kimahesabu, lakini kutokana na kuwepo kwa matawi, wajanja hawa wameamua kuspread risk katika sehemu mbalimbali. NI kama jengo kubwa ambalo limesimamishwa kwenye mihimili kadhaa (tunayoita matawi). Kuanguka kwake basi kunatoka kwa kudhoofisha mihimili yake. Kama ni jengo tunasema limeanguka kutokana na structural weakness.
c. Jambo la tatu ni kuwa kuweza kuelewa kuanguka kwa DECI ilivyo ni lazima kwanza kuelewa uhusiano kati ya matawi na mama (je matawi yanapoanzishwa mikoani, yanalipa fedha kiasi gani kwa tawi mama? Na hili litafungua macho kuweza kuona kuwa fedha za DECI haziingii kwenye akaunti moja ni lazima kuna aidha fedha taslimu mkononi, au matawi nayo yana akaunti zao. Hawa wachungaji waliojitokeza kusupport ningependa kweli kuona akaunti zao za kibenki!
Jana Jumamosi DECI waliweka tangazo kwenye magazeti kuwatuliza wanachama wao -- kwamba kutokana na matangazo ya BoT na ya Mamlaka ya Masoko ya Amana na Mitaji -- Capital Markets and Securities Authority (CMSA,) shirika lao (DECI) limo katika mchakato wa kurekebisha uhalali wa uwepo wao -- ("the Company is taking all the necessary efforts to regularise its operations in line with the established laws and regulations."
Mnaona uongo wao mwingine! Hawa viongozi wa DECI kwa kuwahadaa wanachama wake ni namba wani.
Wana-regularise nini iwapo the whole scheme is illegal according to the law? Au wanatoa msukumo ili sheria ilioanzisha CMSA ibadilishwe kukidhi uwepo na uhalali wao?
Isitoshe, IGP Mwema anasema Polisi tayari inachunguza shughuli za DECI. Kama ni hivyo hao DECI inatakiwa ibakie ktk status quo -- ili kuruhusu uchunguzi. Haiwezekani kwamba inachunguzwa kwa haramu iliyofanyika huku hapo hapo inatafuta namna ya kujiondoa kwenye haramu hiyo!
KAMA halali mwaiita HARAMU....!
BASI NI WAKATI WAITAFUTE HALALI MNAYOITAKA NYIE NA SI NINYI MNAVYOIWAZIA NAMNA INAVYO-OPERATE....!
NI SAWA NA TUNAVYOONA POLISI WETU WANAVYOBAMBIKIA WANANCHI KESI ZISIZO ZAO NDIVYO INAVYOFANYIWA DECI.....!
WENYEWE WANASEMA SI UPATU, VIBARAKA WA WAGOMBEA URAIS WALIOSHINDWA WANANG'ANG'ANA KUWA NI PONZ SCHEME....!
kama halali mwaiita haramu....!
Basi ni wakati waitafute halali mnayoitaka nyie na si ninyi mnavyoiwazia namna inavyo-operate....!
ni sawa na tunavyoona polisi wetu wanavyobambikia wananchi kesi zisizo zao ndivyo inavyofanyiwa deci.....!
wenyewe wanasema si upatu, vibaraka wa wagombea urais walioshindwa wanang'ang'ana kuwa ni ponz scheme....!