Dear ladies...

Dear ladies...

Daah umeongea ukweli maana mm mwenyew ilinikuta hii kitu imenifanya mpaka Leo nimetangaza nia mahali

Maana kila nlilofanya ndio kwanza mwenzangu anazidi kunipenda na kusisitiza ananiombea daah kiukweli ilinifanya nikae chini na kutafakari sana mwishowe nkaamua kutuliza wenge maana mkataa pema pabaya panamuita
 
ℍ𝕒𝕡𝕠 𝕄𝔸𝔽𝔼𝕄𝕀ℕ𝕀𝕊𝕋 𝕨𝕒𝕥𝕒𝕜𝕦𝕡𝕚𝕟𝕘𝕒
 
Kuna wanawake wanasema... mwanaume Sio lazima eti kuwa nae..
Doooh....
. WAACHENI wakeshe kwa Mwamposa na Madhabauni..
kumpata mwanaume sahihi katika maisha yako... Ni Jambo la kushukuru Sana.

Mwanaume na AHESHIMIWE.... Man are important to us we value them...
pisi jacky wanawake kama mlivyojitanabaisha mpo kweli ?
Au ni wanaume walioumizwa wameamua kutoa elimu in indirect way , kama ninyi ni wanawake wenye busara hivi basi nawapeni tuzo za first & second lady of jf congore kwenu kwa mitizamo chanya
 
This is one of the best thread of year 2021...
 
Ila uvumilivu ni kitu muhimu sana yule mzee wa miaka 80 aliefia gesti alishindwa kujizuia kabisa alishindwa kuwa na uvumilivu anajikuta

Anakojoa mpka roho
Reward ya huyo mjane wake Ni nini hasa Kwa kuvumilia ushenzi wa mume wake aliefia kwenye kifua cha mwanamke mwenye umri sawa na mjukuu wake?

Wanawake wanapata nini kuvumilia mabaya ya waume zao Zaidi ya presha, msongo wa mawazo na aibu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom