Single lady unaweza Kuushinda uraibu wa ngono

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,514
21,996
Lady ikiwa una uraibu wa ngono, na umelala na wanaume wengi sana lakini hakuna hata mmoja wao aliyetamani kukuoa. unaweza kuushinda uraibu huo wa ngono kwa kuamua tu kuachana na hiyo tabia.

Binadamu tunashinda uraibu wowote tunapokusudia kubadilika. Ni kufanya uamuzi tu.

Tambua tu kwamba ni vigumu kumvutia mwanaume akuoe kupitia ngono.

Mara nyingi, kufanya ngono kabla ya ndoa humfanya mwanamume awe mbali na mwanamke mwenye tabia hiyo, hivyo mwanamke wa tabia hiyo huchezewa na kukimbiwa na wanaume.

Unapolala na mwanaume kabla ya ndoa, baadhi ya wanaume wanakuona wewe ni mwanamke mlegevu - sio wife material. Hukushusha thamani kabisa.

Kufanya ngono kwa ajili ya usiku wa harusi yako ni kutenda kwa manufaa yako.

Lakini utahitaji kuomba kwa Mungu juu ya jambo hili. Kwa kuomba wewe mwenyewe Mungu atasikia maombi yako, na atauvunja uraibu huo.

Mwalike Mungu katika mapambano yako, atakuweka huru kutokana na uraibu huu na kuamuru hatua zako maishani.

Chukua hatua sasa.
 
Natamani nimtag mtu ila ngoja tu nitulie πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Back
Top Bottom