japo niko mbali kumuandalia kijacho mazingira mazuri akija ale raha kama ivy blue carter, charminglady nakukosa mbaya, narudi home soon kwa ajili yako, mambo hayaendi huku kwa kukukosa barafu wa moyo wangu, xmas na mwaka mpya tutakuwa wote laaziz,
Wewe unataka nini kwani?
Mkuu mbona fasta hivyo? Hata hatutaarifiani nilete beseni la mtoto?
Uishie huko huko kwenye kutamani, ukithubutu kujisogezesha kwa shemu langu C6 utakuwa huna bahati.
Malavidavi
hahahaha!
japo niko mbali kumuandalia kijacho mazingira mazuri akija ale raha kama ivy blue carter, charminglady nakukosa mbaya, narudi home soon kwa ajili yako, mambo hayaendi huku kwa kukukosa barafu wa moyo wangu, xmas na mwaka mpya tutakuwa wote laaziz,
cheko lako bibie... wenye bahati zetu shaurilo uliyemkataa mkiva saiv pemba na ndimu zisingekuwa mbali na upeo wa macho yako!!!!
tenaaa......................najutaje...............hahahaah!
vipi nkupigie pande tena.... mkaka hensam. modo... mshiko nje nje!!!! bidistrakcha ya ukwenhe!!!!
Hapana.........bado sina amani naye........wanaume wazuri sana hawafai, mambo ya kugombania mapouwda siyataki
teh teh teh... basi nakupa huyu... hakika atakuwa wako pekeyako
![]()
Kha! umenichoka shosti..............lakini poa, nitamchukua
teh teh teh... mekupa hensamu umemkataa huyo pia humtaku... wataka nini weye?!!!! afu nakutaka sana weye jioni ntafte pannde zile zile nina fuko la umbeya.... linanilemeaje???? afu wifi kanambia alikucheck somewhere lolest!!!!!
Hahaha utasutwa...........nilimuona pale karibu na Ryan........lol
cheko lako bibie... wenye bahati zetu shaurilo uliyemkataa mkiva saiv pemba na ndimu zisingekuwa mbali na upeo wa macho yako!!!!
Mh.....japo niko mbali kumuandalia kijacho mazingira mazuri akija ale raha kama ivy blue carter, charminglady nakukosa mbaya, narudi home soon kwa ajili yako, mambo hayaendi huku kwa kukukosa barafu wa moyo wangu, xmas na mwaka mpya tutakuwa wote laaziz,